kujifunza

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana kujifunza pikipiki Kama hujui kuendesha baiskel?

    Wakuu Nina miaka 30 now skuwahi kujifunza baiskel Kama vijana wengine kwa sababu za kiumaskin nk. Naomba kuuliza je inawezekana kujifunza pikipiki bila kujua kuendesha baiskel? Kuna aliewahi jifunza pikipiki ile Hali hajui kuendesha baiskel? Huna haja ya kukejeli kuwa mpole
  2. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnatakiwa sana kujifunza na kukubali kuwa kukosoana, kuvumiliana ndo sehemu ya demokrasia

    Nalisema hili kutoka na tabia ya baadhi ya CHADEMA kuwa ma mtazamo kama ifuatavyo: I) Baadhi ya wanaCHADEMA wamekuwa waligombana sana na watu walio kinyume na sera zao! Mfano mtu akitoka wazo tofauti juu ya CHADEMA inachokiamini watu wa chama hiki hujitokeza kuta kejeli na matusi kama...
  3. dubu

    JamiiForums Tanzania Kabla ya tume huru ya Uchaguzi, Tanzania twende kujifunza Demokrasia Nchi ya Mauritius

    Salaam, Mauritius ndo nchi ya kidemokrasia na mfano wa kuigwa katika bara la Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara. Hadi kufikia 2020, demokrasia ya Mauritania ilipewa pointi 8.14, ikiorodheshwa kama nchi pekee barani Afrika yenye demokrasia kamili. Kulingana mchakato wa uchaguzi, kazi za...
  4. Black Bolt

    JamiiForums Tanzania Hutaji tutotials za kujifunza UX/UI Design kwa FIGMA

    Habari wadau kama Kuna mtu anaweza kuwa na tutorials za kujifunza UX/UI kwa FIGMA naomba anieekeze alipo nizipate kwenye Flash yangu
  5. Shinji_

    JamiiForums Tanzania Hamna kitu hauwezi kujifunza kwa teknolojia tuliofikia

    Kubali ama ukatae kunajambo ulisha wahi kulipia ili mtu mwingine akusaidie ukaona kabisa hapo umepigwa na kitu kizito kichwani.😭 Namaanisha ungetuliza tu kichwa mwenyewe na ukajifunza tena kwa dakika tano tu, ungeweza kukifanya hicho ulicholipia elfu 30, mtu mwingine akusaidie tena chepesi tu...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Baraka Mpenja ana mengi ya kujifunza kutoka kwa Gharib Mzinga

    Ukiangalia namna wanavyopangwa Watangazaji wa Azam TV utaona kuwa Baraka Mpenja ndiyo Mtangazaji namba 1 hivyo hupewa mechi nyingi kubwa au zile zenye mvuto. Utaratibu huu pia upo kwenye Channel kubwa za Kimataifa kama Sky Sports, BT Sports pamoja na ITV ( Uingereza) ndiyo maana Peter Drury...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Siku ya Lugha Mama Duniani: 40% ya watu hawatumii Lugha wanazozielewa katika kujifunza

    Februari 21 ni Siku ya Kimataifa ya Lugha Mama ambayo ilianza kuadhimishwa 2000 ili kudumisha Utamaduni na Amani kupitia Lugha UNESCO wamesema hadi sasa 40% ya watu duniani hawatumii Lugha wanazozielewa kwenye kupata elimu. Jamii hizo zimelazimika kufahamu Lugha zaidi ya moja Kwa 2022 Siku ya...
  8. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Teknolojia za wizi wa magari. Usiache kupitia hapa kujifunza

    Uzi huu upo kwa ajili ya madhumuni ya kujifunza, Lengo ni utambue hatua za ziada za kuzifuata ili uweze kulinda gari lako. Zipo Tech nyingi ambazo zinatumika kwenye wizi wa magari, Hapa nazungumzia tech ambazo mtu anaweza kuwasha na kuondoka na gari lako kwa muda usiozidi dakika moja. Tech...
  9. Mdudu Mende

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kujifunza naye uchawi

    Natafuta mtu wa kujifunza naye uchawi Sifa Awe mwanamke Awe anajua kusoma na kuandika kiingereza(Tutatumia vitabu vya kizungu kujifunza) Awe ndani ya Dar es Salaam Awe na umri wa kufanya maamuzi binafsi preferably 25+ Akiwa na elimu kuanzia Bachelor itakuwa poa zaidi Hit my inbox
  10. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Siku yangu ya kwanza katika kujifunza kutengeneza Ui/Ux kwa Adobe XD

    Mimi ni mtu ambaye uwa nikiwa na muda napenda kujifunza vitu vipya. Vingine uwa najifunza just for fun na vingine uwa vinakuja nilipa na vingine vinanisaidia tu mwenyewe kwenye mambo yangu hasa kama namwelekeza mtu anitengenezee kitu. Jana nimeamuza kuwa ntaaza jifunza kudesign prototypes za...
  11. Jonh-B

    JamiiForums Tanzania Natamani kujifunza mengi zaidi kuhusu namna ya kuingiza hela kwa kutumia intaneti

    Habari nduguzanguni, Kwa hekima nawaombeni mnisaidie kuhusu hili jambo kuwa mitandao na internet kuna fursa za kujipatia pesa na ukaishi kwa kupunguza stress za maisha kwa access ya internet! Tangu nimesikia kuhusu hili na kukomaa kufatilia youtube chanel tofautitofauti na sehemu nyingine na...
  12. Mtoto mkubwa

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji kujifunza 2D animation

    HABARINI za muda huu Wakuu, mimi ni kijana nimeenda age kidogo, kwasasa nipo chuo mwaka wa3. Nilikua natamani kujua kutengeneza animation since 2016 ila sikua na wakunisapoti nilielezea hili suala kwa familia ila walilizalau. Sasa hivi nahitaji kujifunza kwan nimeshanunua tablet Xpen mini deco...
  13. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Nyuma ya Pazia la kila Biashara kuna mambo mengi ya kujifunza

    Habari za wakati huu; Nikiwa na umri mchanga kwa sera za kitanzania nilikuwa na kiu kubwa sana ya kumiliki biashara na kuwa mfanya biashara mkubwa.Kipindi hicho internet ilikuwa adimu sana na kompyuta nazo zilikuwa adimu sana.Zilikuwa ni zama Pentium 1 na 2 na internet cafes ambazo zilikuwa...
  14. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wako wapi mabodigadi na wapambe wa Makonda? Sasa anatembea peke yake vijijini. Je, ni laana ya Warioba? Vijana tuna la kujifunza

    Makonda, almaarufu Bashite, aliongoza Mkoa wa Dar es salaam kwa mkono wa chuma uliojaa damu, ni yeye na sabaya tu waliotembea na mabodigadi wenye silaha za moto, Makonda alithubutu kwenda clouds fm akiwa na askari wanaodaiwa kuwa wa jumba jeupe(makirikiri). Sasa anaonekana mpweke, wale aliowa...
  15. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo Viongozi wanapaswa kujifunza kutoka kwa panya Magawa

    MAMBO AMBAYO VIONGOZI WANAPASWA KUJIFUNZA KUTOKA KWA MAGAWA. Kwanza nianze kutoa pole kwa wale wote walioguswa na kifo cha panya shujaa Magawa aliyekuwa mahiri katika kazi yake ya kutegua mabomu yaliyotegwa ardini. Katika makala haya tutaeleza mambo kadhaa ambayo vionozi wanapaswa kujifunza...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Siasa za chuki: Tanzania tunakwama wapi?

    Vumbi la Ndugai lingali kutulia. La Polepole ndiyo hivyo tena. Kwanini tu wazito mno kuzika tofauti zetu? Kwanini wenzetu hawa, hawana uadui wa kudumu? Kwamba mipira inazagaa golini kwa adui, kipa hayupo: "Kwa ego tu hatutaki kuisukumia wavuni tuondoke na point 3 muhimu kwa sababu tu adui...
  17. MR.NOMA

    JamiiForums Tanzania Hivi unaeza teuliwa bila kuwa chamani, bika kuambiwa? Naomba kujifunza wakuu!

    Ni Mimi Mr.Noma napenda sana kuwa Mkuu wa Wilaya au Mkoa! Nahitaji kujifunza.Nikikosa hata Ukurugenzi tu wa halmshauri unanifaa. Kwa ninavyojua wananchi watapata maendeleo sana katika enoe Hilo. Maana sipendi uzembe.
  18. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, tunayo ya kujifunza kwa Askofu Tutu

    Elimu haina mwisho na hekima ni kujifunza kutoka kwa wengine: Kutokuwa tayari kujifunza ni kuyakumbatia mawazo mgando: Yetu ni madai ya uwepo wa haki, usawa, uhuru na demokrasia. Kila mwenye hoja hizi ni mwenzetu. Hatuwezi kuwa na marafiki wa kudumu bali agenda. Kwa kila mpambano wa...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Salamu kwa Tutu zinapowaamsha watema Nyongo

    Shujaa mpenda haki ametutoka. Tributes kwa maisha yaliyopotea zinapoendelea kumiminika tuna mengi ya kujifunza. Hizi hapa ni za Mh. Samia: Salamu hizi zimewaamsha watema nyongo kwa misingi hii hii: Tofauti kabisa na salamu za wengine. Sisi tunakwama wapi? Ni kweli hatupajui?
  20. R

    JamiiForums Tanzania Udikiteta sio dili tena. Wanaccm Kwa haya mapigo saba(7) mna la kujifunza?? Msipokuwa makini mtapata magonjwa ua akili.

    Habari za Mchana huu. Tukiwa tunafunga wiki kuelekea wikendi hebu tutafakari kidogo. Nimegundua udikteta sio ishu tena kwenye ulimwengu unaostaarabika. Dunia ya Sasa madikteta wa zamani wapo lakini hawa wapya wanaoibukia kishamba hakuna nafasi tena kwao. Dunia inapambana na hawa wachache...
Back
Top Bottom