Kubali ama ukatae kunajambo ulisha wahi kulipia ili mtu mwingine akusaidie ukaona kabisa hapo umepigwa na kitu kizito kichwani.😭
Namaanisha ungetuliza tu kichwa mwenyewe na ukajifunza tena kwa dakika tano tu, ungeweza kukifanya hicho ulicholipia elfu 30, mtu mwingine akusaidie tena chepesi tu...
Ukiangalia namna wanavyopangwa Watangazaji wa Azam TV utaona kuwa Baraka Mpenja ndiyo Mtangazaji namba 1 hivyo hupewa mechi nyingi kubwa au zile zenye mvuto. Utaratibu huu pia upo kwenye Channel kubwa za Kimataifa kama Sky Sports, BT Sports pamoja na ITV ( Uingereza) ndiyo maana Peter Drury...
Februari 21 ni Siku ya Kimataifa ya Lugha Mama ambayo ilianza kuadhimishwa 2000 ili kudumisha Utamaduni na Amani kupitia Lugha
UNESCO wamesema hadi sasa 40% ya watu duniani hawatumii Lugha wanazozielewa kwenye kupata elimu. Jamii hizo zimelazimika kufahamu Lugha zaidi ya moja
Kwa 2022 Siku ya...
Uzi huu upo kwa ajili ya madhumuni ya kujifunza, Lengo ni utambue hatua za ziada za kuzifuata ili uweze kulinda gari lako.
Zipo Tech nyingi ambazo zinatumika kwenye wizi wa magari, Hapa nazungumzia tech ambazo mtu anaweza kuwasha na kuondoka na gari lako kwa muda usiozidi dakika moja.
Tech...
Natafuta mtu wa kujifunza naye uchawi
Sifa
Awe mwanamke
Awe anajua kusoma na kuandika kiingereza(Tutatumia vitabu vya kizungu kujifunza)
Awe ndani ya Dar es Salaam
Awe na umri wa kufanya maamuzi binafsi preferably 25+
Akiwa na elimu kuanzia Bachelor itakuwa poa zaidi
Hit my inbox
Mimi ni mtu ambaye uwa nikiwa na muda napenda kujifunza vitu vipya. Vingine uwa najifunza just for fun na vingine uwa vinakuja nilipa na vingine vinanisaidia tu mwenyewe kwenye mambo yangu hasa kama namwelekeza mtu anitengenezee kitu.
Jana nimeamuza kuwa ntaaza jifunza kudesign prototypes za...
Habari nduguzanguni,
Kwa hekima nawaombeni mnisaidie kuhusu hili jambo kuwa mitandao na internet kuna fursa za kujipatia pesa na ukaishi kwa kupunguza stress za maisha kwa access ya internet!
Tangu nimesikia kuhusu hili na kukomaa kufatilia youtube chanel tofautitofauti na sehemu nyingine na...
HABARINI za muda huu Wakuu, mimi ni kijana nimeenda age kidogo, kwasasa nipo chuo mwaka wa3. Nilikua natamani kujua kutengeneza animation since 2016 ila sikua na wakunisapoti nilielezea hili suala kwa familia ila walilizalau.
Sasa hivi nahitaji kujifunza kwan nimeshanunua tablet Xpen mini deco...
Habari za wakati huu;
Nikiwa na umri mchanga kwa sera za kitanzania nilikuwa na kiu kubwa sana ya kumiliki biashara na kuwa mfanya biashara mkubwa.Kipindi hicho internet ilikuwa adimu sana na kompyuta nazo zilikuwa adimu sana.Zilikuwa ni zama Pentium 1 na 2 na internet cafes ambazo zilikuwa...
Makonda, almaarufu Bashite, aliongoza Mkoa wa Dar es salaam kwa mkono wa chuma uliojaa damu, ni yeye na sabaya tu waliotembea na mabodigadi wenye silaha za moto, Makonda alithubutu kwenda clouds fm akiwa na askari wanaodaiwa kuwa wa jumba jeupe(makirikiri).
Sasa anaonekana mpweke, wale aliowa...
MAMBO AMBAYO VIONGOZI WANAPASWA KUJIFUNZA KUTOKA KWA MAGAWA.
Kwanza nianze kutoa pole kwa wale wote walioguswa na kifo cha panya shujaa Magawa aliyekuwa mahiri katika kazi yake ya kutegua mabomu yaliyotegwa ardini. Katika makala haya tutaeleza mambo kadhaa ambayo vionozi wanapaswa kujifunza...
Vumbi la Ndugai lingali kutulia. La Polepole ndiyo hivyo tena.
Kwanini tu wazito mno kuzika tofauti zetu? Kwanini wenzetu hawa, hawana uadui wa kudumu?
Kwamba mipira inazagaa golini kwa adui, kipa hayupo:
"Kwa ego tu hatutaki kuisukumia wavuni tuondoke na point 3 muhimu kwa sababu tu adui...
Ni Mimi Mr.Noma napenda sana kuwa Mkuu wa Wilaya au Mkoa! Nahitaji kujifunza.Nikikosa hata Ukurugenzi tu wa halmshauri unanifaa. Kwa ninavyojua wananchi watapata maendeleo sana katika enoe Hilo. Maana sipendi uzembe.
Elimu haina mwisho na hekima ni kujifunza kutoka kwa wengine:
Kutokuwa tayari kujifunza ni kuyakumbatia mawazo mgando:
Yetu ni madai ya uwepo wa haki, usawa, uhuru na demokrasia.
Kila mwenye hoja hizi ni mwenzetu. Hatuwezi kuwa na marafiki wa kudumu bali agenda.
Kwa kila mpambano wa...
Shujaa mpenda haki ametutoka.
Tributes kwa maisha yaliyopotea zinapoendelea kumiminika tuna mengi ya kujifunza.
Hizi hapa ni za Mh. Samia:
Salamu hizi zimewaamsha watema nyongo kwa misingi hii hii:
Tofauti kabisa na salamu za wengine.
Sisi tunakwama wapi? Ni kweli hatupajui?
Habari za Mchana huu. Tukiwa tunafunga wiki kuelekea wikendi hebu tutafakari kidogo.
Nimegundua udikteta sio ishu tena kwenye ulimwengu unaostaarabika.
Dunia ya Sasa madikteta wa zamani wapo lakini hawa wapya wanaoibukia kishamba hakuna nafasi tena kwao. Dunia inapambana na hawa wachache...
Kujifunza ni jambo la kheri kwa waungwana.
Kwa hakika hawakukosea waliotambua elimu haina mwisho.
Kwa umoja wao bila kujali itikadi zao kisiasa, walikuwa na neno la faraja kwa ajili yao.
Ama kweli penye wengi hapaharibiki jambo na ndiyo maana wanachanja mbuga.
Tunaambiwa tujifunze kwa watu wowote, vitabu vinatuambia tukajifunze hata kwa wasio waumini. CHADEMA wana kitu cha kujinza kwa hawa vijana japokuwa ni watoto lakini kuna baadhi ya mambo hata red brigade wana uwezo wa kujifunza.
Hawa vijana kuna baadhi ya mambo nayaona hapa hata red brigade...
Muonekano wangu umekaa kishua mtu akiniona tu anajua nina hela halafu naongea Kiingereza balaa.
Jana kuna mzungu kaja pharmacy ya mama mkwe kununua dawa sasa mama mkwe Kingereza akipandi akamtuma mtoto aje kuniita, nimefika dukani ile kumuona mzungu tu kimoyo moyo nikajisemea nimekwisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.