Kuwafananisha Wachaga na Wakinga ni dalili ya kuchelewa kuijua Dunia

Jokajeusi

JF-Expert Member
Jun 1, 2018
6,305
10,582
Kwema wadau!

Nianze kwa kusema nchi hii hatuendekezi Ukabila, hatuupendi, na hatuutaki. Hivyo mada zinazogusa Ukabila isichukuliwe kwamba ni uhamasishaji wa hisia za chuki za kikabila ndani ya Jamii. Kiasili mimi ni Mnyamwezi wa Urambo lakini nimeishi na kukulia Kilimanjaro. Ninadamu ya Kinyamwezi, Kisukuma, Kihaya na kichaga.

Kabila la Wachaga ni moja ya makabila makubwa hapa nchini hasa katika ishu za biashara, Kufananisha Wachaga na vikabila vidogo ni dalili ya kutokuwa na exposure ya kitaifa na kimataifa.

Kumlinganisha Mchaga na Mkinga ni dalili ya wendawazimu. Ni dalili ya mtu ambaye hafuatilii mambo au akii yake iko limited.
Huwezi mfananisha Mchaga na Muha, sijui mpemba, au makabila yeye tabia ya kuji-limit.

Nimeishi na wachaga, ninawafahamu vyema kabisa. Ni kabila ambalo kwa hapa nchini ndilo linaongoza kwa watu wajanja na wenye akili kupitiliza, na ndilo kabila hilo hilo linaloongoza kwa watu mandezi na wapumbavu waliopitiliza.

Kama unataka watu wajinga waliopitiliza ndani ya nchi yetu basi nenda uchagani, utakutana na vijana walevi walioshindikana wasio na mbele wala nyuma, Kuanzia Tarakea, Holili, Rombo, Mwika, Marangu, Uru, Kibosho, Uru, Machame, Sanya juu, n.k kila sehemu kuna walevi hasa ambao maisha yao yanakatisha tamaa. Yaani wajinga sana, muda wote ni pombe tuu na ukiingalia miaka yao ni chini ya miaka thelasini yaani vijana kabisa.

Lakini hilo lisije kukufanya ukafikiri wachaga wote wako hivyo, :D :D Yaani utakuwa umekosea Mno. Lipo kundi la pili la wachaga, hawa ndio kiboko, yaani ni wajanja kupitiliza, wanaakili na maarifa ya kila namna, Kwa ujumla wachaga hawako Limited na hio ndio sifa ya jamii yenye nguvu.

Jamii yenye nguvu haipaswi kuwa limited yaani kuwa na mipaka. Wachaga ukiwataka wajinga wapo, mashoga wapo, malaya wapo, majambazi wapo, walevi wapo, wachawi na washirikina wapo, na sifa zote mbaya uzijuazo, na sio kwa level ya chini yaani kimkoa hapana, ni level ya kitaifa.

Wachaga ukiwataka wasomi wa aina yoyote uijuayo wapo, wafanyabiashara za aina zote wapo, wakulima wapo, wamiliki makampuni wapo, wamiliki makanisa wapo, madalali wapo, Mashekhe na maparoko wapo, wanasiasa wakubwa wapo, wadangaji wakubwa wapo, wamiliki wa vyombo vikubwa vya habari wapo, wamiliki makampuni ya ndege wapo, wamiliki makampuni ya vipuri vya magari kama Saba General wapo, Ombaomba wapo, wamiliki mahospitali makubwa wapo, wamiliki mashule makubwa wapo, wana muziki wakubwa wapo, waigizaji wakubwa wapo,

Kiufupi wachaga hawapo Limited yaani hawana mipaka. Na hiyo ndio siri yao kubwa, yaani wao kila fursa wanaitaka.

Sio kama makabila mengine ambayo wao wameji-limit kwa jambo fulani au mambo mawili tu. Mfano, Wanyakyusaa, wao ni mashuhuri kwa nyimbo za injili, makanisa ya upako, kilimo cha Mpunga na elimu. Mambo matatu

Wakinga wao ni mashuhuri kwa Biashara tena sio kitaifa bali kikanda, yaani Iringa, Mbeya, na Dar es salaam, pia ni wakulima wa viazi, na mbao, na uchawi mambo matatu tu. Waha wao ni mashuhuri kwa biashara ndogo ndogo za kikanda sio nchi nzima katika maeneo ya Morogoro, Dar, Kahama, Kigoma na maeneo ya kanda ya ziwa, uganga na uchawi. na sanaa za uimbaji Mambo matatu tuu.
Wapemba, ni mashuhuri kwa Biashaara za kikanda na uchawi mambo mawili tu ya uparoko, askofu na uchungaji, kilimo cha ndizi, mambo manne tu.

Wasukuma, Ufugaji wa ng'ombe, Kilimo na biashara kidogo(awamu hii ndio wameanza), na uchawi, mambo matatu tu.

Nani kabaki? Kabila gani wamebaki?

Yaani ukiondoa wahindi na waarabu na jamii za nchi ya nje anayebaki hapa nchini kwetu ni mchaga.

Sisi makabila mengine tujifunze kupanua huduma zetu na shughuli zetu, tusiwe kama wakurya au wazaramo, ati kwa Vile Babu mwanajeshi basi ukoo mzima unataka kuwa wanajeshi, Sisi makabila mengine tuache ulimbukeni, ati kwa vile Baba ni daktari basi na matoto yote yanataka kuwa madaktari au mainjinia.

Huko kwa Wahaya kwa vile Baba ni Profesa basi atataka kila mtoto wake awe Profesa tuache uzwazwa.

Wachaga wamejitawanya asee, utashangaa familia au ukoo mmoja kuna watoto wanasheria, madaktari, madalali, wafanyabiashara, waalimu, na askari. Na ndio maana kwenye hii nchi hakuna sekta ambayo hutakosa mchaga, hakuna na haitakuwepo.

Nenda Zanzibar utamkuta mchaga
Nenda Nairobi utamkuta mchaga
Nenda Cape Town, Afrika kusini utamkuta mchaga,
Nenda Marekani, utamkuta mchaga,
Nenda ulaya utamkuta mchaga
Nenda Asia, utamkuta mchaga,
Nenda Freemason utawakuta wachaga

Nenda hata kwenye biashara ya mbao utamkuta mchaga
Nenda kwenye Biashara ya madini utamkuta mchaga
Nenda Jela utamkuta mchaga.

Wachaga ni Unlimited, hawana mipaka.

Sio sisi waluguru, mtoto akitaka tuu kwenda hapo Mwanza kikao cha ukoo kitakaa ati kujadili, mnajadili nini sasa, yaani ati wanahofia usalama wa mtoto wao, na hawa ndugu zangu Wazaramo, ni rahisi kumkuta shetani peponi kuliko kumkuta Mzaramo ati yupo mwanza anatafuta maisha.

Makabila mengine tunaule mtazamo kuwa maisha ni Dar pekeake, watu walioko mikoani hasa vijana ndoto yao kubwa ni kwenda kutafuta maisha, hii ni tofauti ni Wachaga(sio wote ila wengi wao) wanajua kuwa maisha ni popote, wanawaza kwenda nchi za nje, au mkoa wowote hapa Tanzania.

Wachaga kuwashinda ni ngumu japo inawezekana kama makabila mengine hatutaji-limit katika shughui za utafutaj mali.

Siku hizi wachaga wamevamia fani zifuatazo;
Udalalali
Uganga na uchawi
Kuuza mitishamba ya nguvu za kiume
Manabii nafikiri hapa wanataka kuchuana na Wanyakyusa
Uprojuza wa miziki
Umario kwa vijana
Udangaji kwa kinadada
Biashara za hatari

Kingine, wachaga wengi wao hasa kina dada wanapata airtime na upendeleo kwa kujipitisha pitisha na kwa watu wenye pesa na wakubwa, mathalani, viongozi wakubwa hapa nchini karibia nusu yao wameoa wachaga, yaani vichaga ni vimutu vya kujichomeka chomeka tuu bila kujali matokeo.

Kingine wachaga walichojitengenezea ni kasumba ya kuogopwa, yaani vijana wa makabila mengine huogopa kuwaoa mabinti wa kichaga kwa kuhofia kuwa wanapenda hela na watatozwa mahari kubwa, hii inapelekea vijana wengi wakipata pesa ndio wanaenda kuoa upande wa uchagani hii inafanya jamii ya kichaga kunufaika indirect kwa watoto wao kuolewa na watu wenye uwezo(japo sio wote).

Hii ni tofauti na sisi wa makabila mengine, kwanza tuna ile kasumba kuwa mtoto akiolewa akitolewa mahari sio kama unamuuza hivyo mahari tunaiweka ndogo au tuwatoe binti zetu sawa na bure. Hili jambo linapelekea dada zetu kuzidi kuolewa na vimtu vimasikini visivyo na mbele wala nyuma.

Kingine wanawake wa kichaga pia wanatabia ya kuleta fujo kwa mume wake hasa wa makabila mengine ikiwa atakuona huna mbele wala nyuma, kisha anakunyang'anya watoto na anawalea yeye mwenyewe kwa msaada wa ndugu zake wenye uwezo, wale watoto wakisoma na kufanikiwa ni mara chache sana kutukumbuka sisi baba wengine wa makabila ya nje.

Pia Wakwe wa kichaga ni rahisi kukunyanyasa kama huna muelekeo na hata ukisusa mke na watoto kwao sio shida wanawachukua watoto na mkeo anaweza kuolewa na mwingine au kubaki single mother.

Kunyang'anywa watoto ni kumalizwa nguvu hasa za uzeeni, kwani watoto wata-base zaidi upande wa kiukeni kuliko kwetu wanaume.

Hii ni tofauti na sisi wa makabila mengine, yaani unakuta dada zetu wanang'ang'ania mume hana mbele wala nyuma bado anampiga au ni mlevi kupitiliza na wazazi nao wanamshinikiza mtoto wako avumilie ndoa, pengine ni kwa sababu ya umasikini.

Wachaga kuwafananisha na Wakinga, au waha, au wapemba au kabila lolote ni dalili ya kutowajua vizuri na kutotembea ndani na nje ya nchi.

Mwisho; Sisi wote ni Watanzania, ukitaka kuwa mchaga unaruhusiwa, ukitaka kuwa Mhaya unaruhusiwa, ukitaka kuwa mkinga unaruhusiwa, unaruhusiwa kuoa yeyote ndani ya nchi hii. Usiumie ukiona kabila jingine linasifiwa.

Nawasilisha
 
unaongea Mada za chuki na huna facts leo hii watu wa njombe wabena na wakinga Wana pesa na shule wapo wengi tu vizur changamoto yao huwezi kujua mambo yao ni kwa kuwa huendesha maisha kwa siri sana hasa mambo yao. History ni wafanyabiashara wazur tokea zamani na hawana ujanja ujanja wa kifala. Hebu tuweke ligi tu Sasa hiv ndiyo makabila yenye nguvu kiuchumi.
 
Mjomba umechambua kwelikweli nimekuelewa Sana hauja kurupuka,

Ila kwa Zama hizi kwenye baadhi ya taasisi wachaga wanapo omba kazi inawabidi kuficha ubini wao sana kozi wameonekana Kama kufunika /kuteka secta fulanifulani hivyo wakisha fanikiwa ndio hujiachia.
 
unaongea Mada za chuki na huna facts leo hii watu wa njombe wabena na wakinga Wana pesa na shule wapo wengi tu vizur changamoto yao huwezi kujua mambo yao ni kwa kuwa huendesha maisha kwa siri Sana hasa mambo yao. History ni wafanyabiashara wazur tokea zamani na hawana ujanja ujanja wa kifala. Hebu tuweke ligi tu Sasa hiv ndiyo makabila yenye nguvu kiuchumi
ID yako ondoa k ya pili Haita kuwa tofauti na ulicho changia mbona jamaa kaeleweka vizuri Sana ukibala unauleta wewe
 
Hv bakhresa na mo ni kabila gani..??

Nikiendaga kkoo wengi wafanyabiashara naonaga ni wachina,wahindi,wapemba na makabila mengne na wengne wachuuzi tu...hzo kabila mnazo ziongelea zpo wapi.

Hvi kabila linahusiana vipi na biashara pamoja na mafanikio ya mtu.....?

Fursa yoyote inahitajia ushirikiano,channels/connection,umakini na kujituma...
 
unaongea Mada za chuki na huna facts leo hii watu wa njombe wabena na wakinga Wana pesa na shule wapo wengi tu vizur changamoto yao huwezi kujua mambo yao ni kwa kuwa huendesha maisha kwa siri Sana hasa mambo yao. History ni wafanyabiashara wazur tokea zamani na hawana ujanja ujanja wa kifala. Hebu tuweke ligi tu Sasa hiv ndiyo makabila yenye nguvu kiuchumi
hiyo nguvu labda ni kwenye mikoa mnayotoka tu na sii Zaid ya hapo
 
Back
Top Bottom