Mambo machache niliyojifunza kutoka kwa Wahubiri wa FAITH, LOVE and MIRACLES hapa Mkoani Dar es Salaam

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
1. Hawajisifu balip humsifia sana Kristo na Baba Muumba ( Mungu )

2. Wanahubiri Kiustaarabu na hawapigi Kelele kama Walevi wa Gongo wa Kunduchi Mtongani au wa Kawe kwa Mapupu

3. Wanaenda mno na muda na Wanathamini sana Ratiba za Watu nje ya Ibada

4. Hawatuhimizi kila mara kutoa Sadaka bali kwa Mahubiri yao mazuri Wewe Mwenyewe tu utashawishika kutoa Sadaka

5. Hawatulazimishi tununue Maji au tubebe Mikojo na Vinyesi vyetu vikaombewe ili vitolewe Mapepo

6. Shuhuda za Kipuuzi Kipuuzi na za Kitoto kama za kukutana na Mende au Panya Jikoni Kwako hawazitaki

7. Japo Wanahubiri ila pia Wanaheshimu sana Tafiti za Kisayansi kuhusu Afya ya Mwanadamu tofauti na Wetu wanaodharau Tiba za Kisayansi ( Hospitalini ) wakisema Kristo na Damu yake inatosha Kukutibia hata kama Unaugua hoi na Safari ya kwenda Kulala rasmi Frijini Mochwari unaiona

Ni Matumaini yangu makubwa yale Madhehebu mengine hapa nchini Tanzania ( ukiyaondoa tu ya Catholic, Lutheran, Anglican na SDA ambayo ndiyo yana Ustaarabu,Umakini na Waumini wenye Akili Kubwa na Timamu pia ) nayo yatakuwa yamejifunza Kitu kutoka kwa hawa Wahubiri wa IMANI, UPENDO na MIUJIZA hivyo kuanzia Jumapili hii ( ya Keshokutwa ) katika Ibada zao tutaona Mabadiliko.
 
Usikute unapiga promo yote hii, lakini hata 100 hupewi na hao wahubiri wako! Sijui huwa unakosea wapi jamaa yangu!
 
Hata huko Kukazwa Kwako 24/7 pia huwa nakupigia Promo au? Nasubiri Jibu ili nimalize Kazi kwani naona umenitafuta Siku nyingi na unataka Kupata kile Unachokitafuta.
 
wewe hujielewi sana , umekuwa nani unashutumu dini ya mtu hata kama mtu anaabudu kwa kulialia katiba inaruhusu una diriki ku-mention baadhi ya dini eti wastaarabu na wengine ???

Jitambue ww mpuuzi ,kama umekosa uzi si lazma kutaka kuandika tu kama umebanwa kunya

Idiot

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Kwa Povu hili najua Sindano imepenya.
 
wewe hujielewi sana , umekuwa nani unashutumu dini ya mtu hata kama mtu anaabudu kwa kulialia katiba inaruhusu una diriki ku-mention baadhi ya dini eti wastaarabu na wengine ???

Jitambue ww mpuuzi ,kama umekosa uzi si lazma kutaka kuandika tu kama umebanwa kunya

Idiot

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Mkuu matusi haya yote yanakusaidia nini?
 
Nikiwa nipo zangu ofisini gereji pale jangwani maguzo ma3 nakula neno kama kawa,kuna siku nitajongea nile neno live live.
 
Hata huko Kukazwa Kwako 24/7 pia huwa nakupigia Promo au? Nasubiri Jibu ili nimalize Kazi kwani naona umenitafuta Siku nyingi na unataka Kupata kile Unachokitafuta.
Nikutafute wewe kiazi mviringo usiye jitambua! Halafu nikufanye nini? Nikutafune, au?
 
Back
Top Bottom