Washambuliaji wa kitanzania wanapaswa kujifunza kwa Mayele

Its Pancho

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
14,131
22,485
kuna wakati ukweli unatakiwa kusemwa wala haijalishi utauma vipi. Mshambuliaji wa yanga Fiston Kalala Mayele ni high class, haina budi washambuliaji wengine kujifunza hasa yule kijana Bob Marley kutoka simba..

Kupitia mechi ya leo yanga vs Mbeya Kwanza, unaona namna Mayele anavyokuwa hatari hata Kama hatofunga. Kwenye Box la mbeya kwanza karibu movement za hatari zote amehusika kwa kiasi kikubwa.

Ana hasira na lango, hachoki na wala haridhiki kabisa, Wenzie akina Bob Marley huko mpka sasa hakuna cha maana walichofanya zaidi ya kukimbia kama mwizi uwanjani. Nikiwa kama simba kindakindaki nashauri haya kwa wachezaji wetu tusije aibika tena tarehe 11.

Hivyo haina budi kina kagere na strikers wengine wajifunze kwa mayele. He is another level.

NB: tuzo ya jana Messi hakustahili kabisa aucho alifaa 😁😁
 
Daah watu mna roho ngumu ka mnazo pea mbili, hivi pamoja na utumbo aliocheza mayele lakini mmekuwa wepesi kuridhika kwasababu kafunga goli moja?

Mchezaji ambaye alikuwa katika position ya kufunga magoli 6 ya wazi na kayakosa kabahatika kufunga moja na lingine la offside lakini hiyo ikatosha kupewa dhamana na kuonekana star?

Mayele ni mchezaji wa msimu, hapo katikati alifichika nikajua yanga wamemuuza kisirisiri kumbe hadi mechi anacheza ila ndo hivyo upepo umemwendea vibaya kila mechi anafichika.

Mayele muda wote akipewa mpira alikua mzito sana kukimbia, lakini alipofunga goli nilishangaa kumuona jamaa akikimbia kwa speed ya light kwenda kwa mashabiki kushangilia.
 
Match ya namungo mbona hakucheza?vipi mpaka sasa anaongoza kwa ufungaji kwenye ligi kwa goli ngapi?
 
Utopolo your level of confidence is very low.

Umeongea pumba zako umepuyanga af umeamua kujificha kwenye kichaka eti we ni mwana simba.

FYI simba hatuna watu wasojielewa kama wewe.
 
Mayele anamagoli mangapi na assist ngapi pia na idadi ya dakika alizocheza Afu Uje utepe na takwimu za kagere MK14
 
Back
Top Bottom