kujenga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Serikali inatakiwa kujenga vivuko vya juu kwa ajili ya wavuka kwa miguu barabara ya Morogoro (Kimara-Mbezi)

    Hii barabara ni muhimu sana kwasababu inayotumiwa sana kuingia na kutoka Dar es Salaam, ni barabara ambayo iko busy muda wote ikipitisha magari ya kutosha huku pia watembea kwa miguu nao wakiwa wengi sana. Mara chache sana huwa natumia hii barabara nikiwa na gari binafsi au gari la umma, huwa...
  2. JamiiForums Tanzania Mwijaku afunguka: Pesa ya kujenga ghorofa nimeitoa kwa Diamond Platnumz

    Ukweli unatuweka huru. Mwijaku aamua kuwa mkweli na kusema kilicho ndani ya moyo wake. Ghorofa lake alilojenga na kutrend mitandaoni pesa imetoka kwa Diamond Platnumz. Hongera mwijaku kwa kuwa muungwana. Pia sifa ziende kwa diamond kwa kuendelea kubadilisha maisha ya watu. Mungu ataendelea...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kanda ya Ziwa tusikilizwe kuhusu uwanja wa ndege. Haivumiliki tena

    Leo nimemsikiliza Musukuma akizungumzia kuchelewesha kuhusu jengo la uwanja wa ndege wa Mwanza na miundo mbinu yake kuufanya uwe wa kimataifa. Hali hii kwa sasa inatoa picha kama alivyosema Msukuma dharau kwa kanda ya ziwa haijalishi Makonda ni Mwenezi au Dotto ni Naibu Waziri Mkuu,kisiasa...
  4. JamiiForums Tanzania Mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM Taifa, Khamis Hamza Chilo amewataka wana CCM Wilaya ya Ilala kuondoa makandokando na kujenga mshikamano

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Taifa, Khamis Hamza Chilo, amewataka wana CCM Wilaya ya Ilala kuondoa makando kando na kujenga mshikamano kuakikisha CCM inashika dola. MNEC Khamis Hamza Chilo alisema hayo kata ya Ilala katika mkutano mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya chama...
  5. JamiiForums Tanzania Kujenga audio recording booth ya "kienyeji" inaweza gharimu kiasi gani?

    Sikuhizi watu wengi wamejiajiri kama content creator. Sasa ukitaka content zenye quality nzuri unahitaji mahali patulivu pa kurekodia sauti. Nauliza kuunda booth ya kienyeji ya kurekodia itaweza gharimu kiasi gani? Hi zile lining kama matrey ya mayai kwa ajili ya kuzuia mwangi zinapatikanawapi...
  6. JamiiForums Tanzania Musoma Vijijini Waendelea Kujenga Maabara za Masomo ya Sayansi Kwenye Sekondari Zake za Kata

    MUSOMA VIIJIJINI WAENDELEA KUJENGA MAABARA ZA MASOMO YA SAYANSI KWENYE SEKONDARI ZAKE ZA KATA Kwenye miradi ya ujenzi wa maabara tatu za masomo ya sayansi (fizikia, kemia na bailojia) kwenye Sekondari zetu za Kata, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo anashirikiana na: (i)...
  7. JamiiForums Tanzania Bilioni 4 Kujenga Ambulance Boat Kupitia TASAC Ziwa Viktoria, Mwanza

    BILIONI 4 KUJENGA AMBULANCE BOAT KUPITIA TASAC ZIWA VIKTORIA, MWANZA Serikali ya Tanzania kupitia Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) December 22,2023 imetia saini mkataba wa mradi wa ujenzi wa boti yenye vifaa vya matibabu (Ambulance Boat) ambao umesainiwa baina ya TASAC na Kampuni ya...
  8. B

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila - DSM Rasmisheni madanguro kwa kujenga motels na guesthouse siyo vile vibanda

    Mkuu wa mkoa ataka madanguro yawe yenye hadhi na staha badala ya vile vibanda uchochoroni [https://m.youtube.com/watch?v=-L8fJk4mSTk Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam pia azungumzia suala la demand and supply yaani soko na wateja wa biashara ya ngono ilivyo na jinsi ya kwenda nayo RC Albert...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msumbiji kujenga Bwawa la kuzalisha umeme. Litakamilika kabla ya JNHP

    MAPUTO, Msumbiji: MSUMBIJI imesaini mkataba na muungano unaoongozwa na kampuni kubwa ya umeme ya Ufaransa EDF kujenga mradi mpya wa kuzalisha umeme wa Mphanda Nkuwa wenye thamani ya Dola bilioni 5. Bwawa na kiwanda cha kuzalisha umeme wa maji kitajengwa kando ya mto Zambezi katika jimbo la Tete...
  10. M

    JamiiForums Tanzania CCM wapo tayari kujenga ofisi za kisasa kuliko kujenga shule za kisasa

  11. R

    JamiiForums Tanzania Waliomkimbia Magufuli na kujenga wazo la kurudi baada ya Samia kuwa madarakani, wamefuta wazo la kurudi sababu as time goes on tyranny rule dominates

    Wengi hasa waliokimbia ukatili wa Magufuli, na watanzania kwa ujumla walijenga matumaini ya utawala bora mara baada ya Samia kuingia madarakani. Sasa matumaini yamepotea kutokana na undemocratic, tyranny rule now becoming quite prevalent! Watu wamepoteza matumain hasa baada ya Samia kukataa...
  12. JamiiForums Tanzania Orodha ya Ramani za Nyumba na Makisio Yake Unazoweza Jenga Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC na Nchi Mbalimbali Afrika

    Hapa katika uzi huu nakupa Orodha ya Ramani za Nyumba na Makisio Yake Unazoweza Jenga Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC na Nchi Mbalimbali Afrika. Zipo nyumba nyingi, so angalia ktk comment kuona zaidi
  13. JamiiForums Tanzania Fundi kaniambia gharama zake za kujenga msingi 750,000 ni fair au ananipiga?

    Ni kwa ramani ya vyumba viwili sebule jiko na wash room. Upana na urefu wa nyumba ni kama mita nane kwa saba na nusu. Ila pesa ya fundi kaniambia ni 750,000. Sasa kabla sijazama, embu naombeni ushauri maa a mimi ndo mara yangu ya kwanza kujenga. Hii ni fair ama napigwa? Msingi wenyewe...
  14. JamiiForums Tanzania Nabii Clear Malisa ana mpango wa kuinunua Ubungo Kibangu yote, kuivunja na kujenga mji wake wa kisasa.

    Nabii kijana Clear Malisa amedhamiria kuinunua Ubungo Kibangu yote akianzia Riverside hadi kwenye mpaka wa kambi ya Jeshi la Wananchi. Tayari ameahidiwa fungu kubwa la pesa na Baba wake wa Kiroho aliyeko Marekani. Pia michango inawndelea kuchangwa na kupokelewa hapo kanisani kwake Kingdom...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Wanaopewa fidia ili wahame bonde la Msimbazi, itawatosha kununua kiwanja na kujenga?

    Wanaopewa fidia ya milioni 6 ili wahame bonde la Msimbazi- Dar itawatosha kununua kiwanja na kujenga? Maana milioni 6 naona Kama ni ndogo, kwanini wasingepewa nyumba (apartment za pale Magomeni)? NOTE: FIDIA NI HURUMA YA RAIS TU Kinadharia hata wasingepewa kwa mujibu ya watoa hela. Vipi...
  16. JamiiForums Tanzania Bilioni 14.5 Kujenga Kituo cha Mabasi, Barabara Mtwara

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi, Deogratius Ndejembi amesema Serikali kupitia mradi wa kubadilisha miundombinu na ushindani wa miji nchini (TACTIC) imetenga Sh14.5 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa kituo kipya cha mabasi pamoja na barabara mbili zenye urefu wa kilometa sita katika Mkoa wa...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Mpango wa kujenga canal kupitia Israel kuunganisha Nagari ya Hindi na Mediterranean

    https://indianexpress.com/article/explained/explained-global/ben-gurion-canal-suez-israel-9021520/
  18. JamiiForums Tanzania Tukumbuke pia Simba waliwahi kuchangishwa fedha za kujenga uwanja.

    Labda nianze kwa kuuliza waliofika Bunju siku za karibuni vipi ule uwanja wa Simba umefika hatua gani ? nimependa kuuliza kwani ni uwanja ambao mashabiki walichangishwa fedha zao hivyo wana haki ya kufahamu kinachoendelea. Kwa mtu anayefikiri vizuri hapa tiyari utajua kosa la Simba lipo wapi...
  19. JamiiForums Tanzania Marekani na Israel wana mpango wa kujenga Ben Gurion canal eneo la Gaza kuipiku Suez Canal

    Mpango wa kujengwa kwa Ben Gurion canal eneo ilipo Gaza ni mpango wa muda mrefu ulioshindwa kuanza mpaka sasa. Kufanikiwa kwa mpango huo kutaipa Israel na Marekani udhibiti wa njia muhimu ya meli za kibiashara.Mbali ya kuwa mtaji mkubwa wa kiuchumi itakuwa ni kujihakikishia usalama wao kutokana...
  20. JamiiForums Tanzania Ngara: Bilioni 41 Kujenga Mradi Mkubwa wa Maji Utakaohudumia Wakazi Zaidi ya 170,678.

    "Wizara ya Maji inatarajia kutekeleza mradi mkubwa wa Maji Ngara Mjini kwa gharama ya Shilingi Bilioni 41. Usanifu wa mradi umekamilika na unatarajia kuhudumia wananchi 170,678 waishio katika Kata ya Ngara Mjini, Kanazi, Kidimba, Nyamiaga na Murukurazo" - Mhe. Maryprisca Mahundi, Naibu Waziri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…