kuibiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Namba za kupiga na kutambua kama Simu yako imehakiwa au inafuatiliwa, kuibiwa n.k

    Umewahi kukutana janga la simu yako kufuatiliwa au kuingiliwa mawasiliano yako bila wewe kujua? Basi sasa unaweza kufuta ufuatiliaji wowote uliofanywa kwenye simu yako kwa kujua au kutojua. Pia kama umeibiwa simu yako unaweza kujua taarifa zake kwa urahisi zaidi. Kujua namba ya utambuzi wa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Upinzani Tanzania: CHADEMA wanashangilia ACT kuibiwa kura na CCM

    Kuna chaguzi ndogo zilizofanyika katika maeneo mbalimbali nchini, na Chadema waliamua kutoshiriki, ACT wao wakafanya maamuzi yao kama chama huru cha siasa kushiriki, ACT wamelalamika na kusema kuna ukiukwaji mkubwa wa taratibu za uchaguzi zimefanyiwa kwenye chaguzi hizo. Maajabu ni kuwa...
  3. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Wanachadema wengi tunapiga mahesabu ya kupata ubunge 2025. Tukimwagwa na wananchi tusingizie kuibiwa kama 2020

    Tatizo kubwa makamanda wenzangu huwa wanawaza pesa tu. Mahesabu sasa ni kurudi mjengoni. Kisa tu ukiwa mbunge kuna pesa lukuki za bure. Badala ya kuwekeza kwa kuanza kujenga imani kwa wanannchi ili angalau tukubalike. Tumewekeza kwenye maandamano njaa. Tukimwagwa. Mayowe kibao kama 2020.
  4. I feel good

    JamiiForums Tanzania Nimevamiwa na kuibiwa mali zangu na wezi, nawezaje kuwakomesha?

    Wakuu, hivi karibuni nilishambuliwa usiku na wezi kadhaa nisiowajua na kuniibia vitu vyote nilivyokuwa navyo. Hawa jamaa nawezaje kuwakomesha? maana wamenirudisha nyuma kiuchumi. NB: Kuwakomesha kwa njia yoyote ile.
  5. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji wawakilishi waadilifu ambao watasimama katika kulikomboa taifa hili

    Friends and Enemies, Baada ya mkutano wa berlin mwaka 1884/85,and after scramble and partition of Africa uzalendo wetu ulichukuliwa kutoka kwa mababu zetu kwa lazima na hatimae uhuru na nguvu zao zikageuka rasimali kwa wazungu (MISSIONARIES) ambao walipewa hati miliki ya kumiliki ardhi yetu na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Diamond alikuwa na haki kukasirika kuibiwa kofia

    Mzuka wanajamvi. Lile tukio la msanii maarufu nchini na bara la Africa Diamond la kuibiwa kofia halikuandaliwa staged. Kwa utafiti wangu ni kweli Diamond ile kofia aliporwa. Na hiki kitendo kilimkasirisha sana Diamond siyo kwasababu kofia ni ghali bali kufanyiwa matambiko na kurogwa kupitia...
  7. kavulata

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunasubiri kuibiwa kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    Uchaguzi ni gharama kubwa sana kwa wagombea, vyama vya siasa na taifa kwa ujumla wake. Kupata pesa za kugharamia kupita kwenye kura za maoni, kupiga kampeni, kuchaguliwa, kulinda kura na kutangazwa kuwa mshindi ni bei kubwa sana. Watanzania tunatarajia kusikia wizi au uhalalishaji wizi mkubwa...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mwizi analalamika baada ya kuibiwa: mnachochea hisia ya utaifa!

    “Ndugu yangu, nimekuwa nikizurura nje kwa muda mrefu...mnaweza kunipeleka nyumbani kwetu China?” Siku hizi, tamthilia fupi ya “Kutoroka kwenye Jumba la Makumbusho la Uingereza” iliyotengenezwa na mwanablogu wa China iliibua mjadala mkali ndani na nje ya nchi. Tamthilia hiyo inaelezea jinsi...
  9. jebs2002

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya Wanawake kuibiwa hela imeshamiri sana!

    Ni majanga. Utasikia nimeibiwa na boda, wamekwapuwa pochi yangu baada ya kutoka kutoa hela Mlimani City, ilikuwa na smart phone na ile laki tano niliyotoa baba watoto! Au nikiwa ndani ya daladala, nafikiri yule kijana pembeni yangu alipulizia madawa ya usingizi au ya kulevya, akanikokota...
  10. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kodi vyumba viwili guest kuepuka kuibiwa pesa zako na demu uliyemnunua kulala nae!

    Chumba kimoja weka pesa na vitu vyako vingine huku mhudumu ukimwambia kuwa jamaa yako arakayekitumia yuko njiani na atafika muda wowote. Vifiche vizuri lakini, shauri yako. Chumba cha pili ndo ulale na huyo uliyemnunua huku mfukoni ukiwa na pesa yake TU basi! Ziada mfukoni humo labda mipira tu...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Je naweza weka gypsum board na mikanda then baadae nikatandaza ile final wiring?

    Wakuu niko njia panda kipi kianze je naweza weka gypsum board na mikanda then baadae nikatandaza ile final wiring juu ya dari maana kuna wizi wa hizi nyanya sana
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kushindwa uchaguzi ni pamoja na kuibiwa kura, kulikoni kulia lia

    Penye ukweli pasi na kujali kambi ni heri kuusema. Vinginevyo tutaendelea kutwanga maji kwenye kinu milele. Hongereni CCM Kwa kushinda chaguzi zenu na kama mabwege yakiendelea kulaza damu kazeni uzi hapo hapo. Kwani malengo ya chama cha siasa nini? Si walisema "the end justifies the means?"...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Tudai uchaguzi wa haki badala ya kudai kuibiwa baada ya chaguzi

    Zimbabwe tayari wapinzani wanadai kuibiwa uchaguzi. Gabon uchaguzi wao ni leo: "Huko kwenye mtandao wa internet, TCRA ya huko tayari imeshafanya yake." Zaidi mno Serikali ya huko imepiga marufuku uwepo wa waangalizi na wanabari wa kimataifa. 1. Twendeni mahakamani, 2. Kampeni zetu ziwe na...
  14. Wu-Ma

    JamiiForums Tanzania Baada ya kukoswa koswa kuibiwa nimeamua niuze TV, REDIO, NA FRIDGE

    Iko hivi mi nafanya kazi shirika fulan , huwa tunazurura mikoa mingi , kila mkoa huwa tunakaa at least miez sita . Kwa sasa tupo DSM , nimechukua chumba mitaa ya KAM college Kimara korogwe, nikanunua baadhi ya vtu vya ndani kama TV hisense smart inch 43, Fridge Aborder 128Liters na Radio Boss...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania imebariki raia wake kuibiwa kupitia Makampuni ya Michezo ya Kubahatisha

    Makampuni ya michezo ya kubahatisha yameendelea kuongezeka kwa kasi sana nchini Tanzania kuliko nchi nyingine za ukanda wa Afrika Mashariki. Ongezeko hili linachagizwa na ukweli usiopingika kuwa kumiliki kampuni ya michezo ya kubahatisha ndio njia rahisi zaidi ya kuvuna pesa kutoka kwa watu wa...
  16. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Economic Hit Men wako kazini, rushwa kwa wanasiasa zinaifunganisha nchi kuibiwa pakubwa!

    Sasa ni dhahiri, kuna International Economic Hit Men wako kazini. Nyenzo yao kubwa ni rushwa ya kuifungamanisha nchi na wao , ili wazichote fedha bila kazi, bila jasho na kwa raha mustarehe. Hili linaonekana hasa za kwetu nchi masikini, na inaelekea watazichota fedha nyingi sana kiulaini...
  17. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Ghana: Waziri ashikiliwa baada ya kuripoti kuibiwa Tsh. Bilioni 3 nyumbani kwake

    Cecilia Abena Dapaah aliamini anafanya uamuzi sahihi wa kwenda Polisi kuripoti kuibiwa kiasi kikubwa cha fedha nyumbani kwake lakini kibao kikageuka na kushikiliwa kwa kumiliki kiasi kikubwa cha fedha ambacho kinahusishwa na rushwa. Inaelezwa ameibiwa Dola Milioni 1 (Tsh. Bilioni 2.4), Euro...
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kuhusu mchezaji kuibiwa Airport, Eng. Hersi aongea kwa uchungu

    Simba Sc mlichofanya sio poo kabisa 😀😀😀😀😀
  19. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kuhusu mchezaji kuibiwa Airport, Eng. Hersi aongea kwa uchungu

    Simba Sc mlichofanya sio poa kabisa 😀😀😀😀😀
  20. B

    JamiiForums Tanzania LIssu: Bandari zote bara, DP World kauziwa

    Hoja hupingwa kwa hoja: Bandari zote bara zimeuzwa! Kama ni kwa manufaa yetu, kwa nini siyo za Zenji?
Back
Top Bottom