Tutaendelea kuibiwa mpaka lini?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2023
5,405
7,383
1. Mfanyabiashara kalipa kodi halali shilingi milioni ishirini na nne, lakini kaandikiwa kalipa milioni tatu. Inawezekana kiasi kilichobaki kimeliwa na wajanja. Hilo limetokea jijini Arusha.

2. Watumishi wa Serikali wajiwekea utaratibu wa kutoa risiti feki na kujipatia mamilioni ya fedha. Tukio ni la Karatu mkoani Arusha.

Inasemekana na mikoa mingine, ingawa sijui kama ni yote, mwendo ni huo pia.

Tutawadhibitije hao wezi?
 
Huyu mfanyabiashara inaonekana ana chembe chembe za uzalendo. Apewe maua yake!
 

Attachments

  • MADUDU_ya_KUTISHA!_MFANYABIASHARA_AMUONESHA_YOTE_MAKONDA_-___UNANIITA_SAA_2_WEWE_UNAFIKA_SAA_4...mp4
    6.6 MB
Watumishi wa Serikali wasio waaminifu wajimilikisha mapato ya Serikali
 

Attachments

  • MAKONDA_AMSIMAMISHA_MKURUGENZI_na_KAMANDA_POLISI_WAELEZE_JAMAA_WALIOKUTWA_na_RISITI_FEKI_WAPO_...mp4
    10.7 MB
Anayetakiwa kuwawajibisha huyu hapa naye analia lia na kulaumu wengine. Utawala huu ukija kuisha we mtumishi wa umma haujatajirika basi utakufa masikini!

Screenshot_20240524_211556_Samsung Internet.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom