Kodi vyumba viwili guest kuepuka kuibiwa pesa zako na demu uliyemnunua kulala nae!

WhoWeBe

JF-Expert Member
Dec 18, 2022
2,301
4,243
Chumba kimoja weka pesa na vitu vyako vingine huku mhudumu ukimwambia kuwa jamaa yako arakayekitumia yuko njiani na atafika muda wowote. Vifiche vizuri lakini, shauri yako.

Chumba cha pili ndo ulale na huyo uliyemnunua huku mfukoni ukiwa na pesa yake TU basi! Ziada mfukoni humo labda mipira tu. Lakini ili asikustukie ongeza na mswaki na dawa ya meno.

My friend, itakugharimu malipo ya bure ya chumba kimoja zaidi (pengine 20k) lakini itakuepushia risk ya kupoteza malaki na mamilioni. Ukiibiwa kwa mbinu hii, njoo na risiti nikurudishie pesa yako.
 
uzinzi ni dhambi, mshahara wa dhambi ni mauti, bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu. Binafsi kwenye guest yangu nimeweka wazi kabisa, ukiingia utaikuta Biblia ndogo, na kwenye karatasi nimeandika kuwa hii ni nyumba ya wageni, sio ya uzinzi, uzinzi ni dhambi na mimi sihusiki. kwisha. na sikosi watena pamoja na hayo. wale wasafi wanagombania Lodge yangu.
 
Uzinzi ni dhambi kwako mkuu, huu ni unafki kma unafki mwingne
 
uzinzi ni dhambi, mshahara wa dhambi ni mauti, bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu. Binafsi kwenye guest yangu nimeweka wazi kabisa, ukiingia utaikuta Biblia ndogo, na kwenye karatasi nimeandika kuwa hii ni nyumba ya wageni, sio ya uzinzi, uzinzi ni dhambi na mimi sihusiki. kwisha. na sikosi watena pamoja na hayo. wale wasafi wanagombania Lodge yangu.
😂😂😂Hatuji lodge yako...biblia yako haitutishi
 
Hao wanawake inabidi uwaathiri kisaikolojia kabla hamjafika chumbani, binafsi huwa nawafanyia Reverse psychology na ku manipulate akili zao, ndani ya muda mfupi tunakuwa na chemistry na uaminifu, tukumbuke hao ni kama binadamu wengine waliojikuta katika shughuli hiyo kujitafutia kipato ama faraja, ukifanikiwa kuwaonyesha unajali wala hawatawahi kukudhuru na mnaweza mkawa marafiki wazuri tu wa kupunguziana uzito.
 
Malaya kabla ya yote nampa codes kama ana akili timamu hatothubutu kuniibia.

Mbili kawaida yangu kama ntachukua Malaya basi huwa natafuta mtu wa kunifanyia REFERENCE.. mara nyingi ni Boda au mtu wa reception hapo hotelini.

So kama kuna uwizi wowote najua wa kudeal nae.

Mwisho kabisa hela kuibiwa sio tatzo. Shida aibe vitu vingine kama Simu, PC au Flash za kazi.

Hapo kijiwe cha Malaya kitaingia shubiri..
 
Back
Top Bottom