Maajabu ya Upinzani Tanzania: CHADEMA wanashangilia ACT kuibiwa kura na CCM

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,834
18,836
Kuna chaguzi ndogo zilizofanyika katika maeneo mbalimbali nchini, na Chadema waliamua kutoshiriki, ACT wao wakafanya maamuzi yao kama chama huru cha siasa kushiriki, ACT wamelalamika na kusema kuna ukiukwaji mkubwa wa taratibu za uchaguzi zimefanyiwa kwenye chaguzi hizo.

Maajabu ni kuwa viongozi wa chama kingine cha upinzani, CHADEMA, akiwemo mwenyekiti wao wa kanda ya kaskazini Godbless Lema wamekuwa wakishangilia hayo madhila waliyofanyiwa ACT na dola, huku wao wakitarajia kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu ujao katika mazingira haya haya.

Maswali yangu ni;

CHADEMA wao wamekuwa wakishiriki uchaguzi mkuu kila mwaka katika mazingira haya haya lakini ACT wao wakishiriki inawaona ni wasaliti, tawi la CCM.

CHADEMA haiamini katika uhuru wa vyama vingine vya siasa? Kwamba vyama vingine vya siasa vikifanya maamuzi kama wanavyofanya wao (kama kushiriki uchaguzi mkuu uliopita na ujao) wanakuwa ni tawi la CCM?
 
Kuna chaguzi ndogo zilizofanyika katika maeneo mbalimbali nchini, na Chadema waliamua kutoshiriki, ACT wao wakafanya maamuzi yao kama chama huru cha siasa kushiriki, ACT wamelalamika na kusema kuna ukiukwaji mkubwa wa taratibu za uchaguzi zimefanyiwa kwenye chaguzi hizo

Maajabu ni kuwa viongozi wa chama kingine cha upinzani, Chadema, akiwemo mwenyekiti wao wa kanda ya kaskazini Godbless Lema wamekuwa wakishangilia hayo madhila waliyofanyiwa ACT na dola, huku wao wakitarajia kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu ujao katika mazingira haya haya....

Maswali yangu ni..

CHADEMA wao wamekuwa wakishiriki uchaguzi mkuu kila mwaka katika mazingira haya haya lakini ACT wao wakishiriki inawaona ni wasaliti, tawi la CCM

Kwani maoni binafsi ya Lema ndiyo msimamo rasmi wa chama cha Chadema?
 
CHADEMA wapo sahihi. Kiherehere cha ACT kinaua demokrasia
 
Yaani ulitaka tuumie? Ukisema CHADEMA wanashangilia, kuna any official statement issued by CHADEMA au unaota tu??

Mmeibiana Huko, mnashindwa kukabiliana wenyewe huko mnakuja kulaumu wengine
 
Chadema wapo sahihi kabisa. Vyama vya upinzani vinatakiwa kuwsusia CCM haya mambo ya uchaguzi wa kijinga.
Ukiwasusia nyani shamba la mahindi wanatafuna yoote kwa vigelegele.

Tatizo ni kuwa vyama vichache makini vikisusia uchaguzi, vile vyama chawa vya ccm vitashiriki, halafu itaonekana vyama vingi vimeshiriki na ccm itapewa ushindi wa "kishindo" wa mchongo kama siku zote
 
Kuna chaguzi ndogo zilizofanyika katika maeneo mbalimbali nchini, na Chadema waliamua kutoshiriki, ACT wao wakafanya maamuzi yao kama chama huru cha siasa kushiriki, ACT wamelalamika na kusema kuna ukiukwaji mkubwa wa taratibu za uchaguzi zimefanyiwa kwenye chaguzi hizo

Maajabu ni kuwa viongozi wa chama kingine cha upinzani, Chadema, akiwemo mwenyekiti wao wa kanda ya kaskazini Godbless Lema wamekuwa wakishangilia hayo madhila waliyofanyiwa ACT na dola, huku wao wakitarajia kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu ujao katika mazingira haya haya....

Maswali yangu ni..

CHADEMA wao wamekuwa wakishiriki uchaguzi mkuu kila mwaka katika mazingira haya haya lakini ACT wao wakishiriki inawaona ni wasaliti, tawi la CCM

CHADEMA haiamini katika uhuru wa vyama vingine vya siasa? Kwamba vyama vingine vya siasa vikifanya maamuzi kama wanavyofanya wao (kama kushiriki uchaguzi mkuu uliopita na ujao) wanakuwa ni tawi la CCM?Y
Aķili ndogo inashadadia MATOPE.....
 
Kuna chaguzi ndogo zilizofanyika katika maeneo mbalimbali nchini, na Chadema waliamua kutoshiriki, ACT wao wakafanya maamuzi yao kama chama huru cha siasa kushiriki, ACT wamelalamika na kusema kuna ukiukwaji mkubwa wa taratibu za uchaguzi zimefanyiwa kwenye chaguzi hizo

Maajabu ni kuwa viongozi wa chama kingine cha upinzani, Chadema, akiwemo mwenyekiti wao wa kanda ya kaskazini Godbless Lema wamekuwa wakishangilia hayo madhila waliyofanyiwa ACT na dola, huku wao wakitarajia kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu ujao katika mazingira haya haya....

Maswali yangu ni..

CHADEMA wao wamekuwa wakishiriki uchaguzi mkuu kila mwaka katika mazingira haya haya lakini ACT wao wakishiriki inawaona ni wasaliti, tawi la CCM

CHADEMA haiamini katika uhuru wa vyama vingine vya siasa? Kwamba vyama vingine vya siasa vikifanya maamuzi kama wanavyofanya wao (kama kushiriki uchaguzi mkuu uliopita na ujao) wanakuwa ni tawi la CCM?
Hu mnafiki, punguza unafiki ili ukutane na pepo

Watu hawashangilii wizi wa ACT ibiwa kura wanashangilia unafiki wa ACT na kama sio ujinga ,
 
Watanzania tuache kuwa misukule wa ccm, kwa pamoja tugome na tukatae kushiriki kwenye hizi takataka zao wanazoita chaguzi ili watawale rasmi pasipo ridhaa ya wananchi.

Tumechoka na hujuma katika chaguzi kila siku.
 
Kuna chaguzi ndogo zilizofanyika katika maeneo mbalimbali nchini, na Chadema waliamua kutoshiriki, ACT wao wakafanya maamuzi yao kama chama huru cha siasa kushiriki, ACT wamelalamika na kusema kuna ukiukwaji mkubwa wa taratibu za uchaguzi zimefanyiwa kwenye chaguzi hizo.

Maajabu ni kuwa viongozi wa chama kingine cha upinzani, CHADEMA, akiwemo mwenyekiti wao wa kanda ya kaskazini Godbless Lema wamekuwa wakishangilia hayo madhila waliyofanyiwa ACT na dola, huku wao wakitarajia kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu ujao katika mazingira haya haya.

Maswali yangu ni;

CHADEMA wao wamekuwa wakishiriki uchaguzi mkuu kila mwaka katika mazingira haya haya lakini ACT wao wakishiriki inawaona ni wasaliti, tawi la CCM.

CHADEMA haiamini katika uhuru wa vyama vingine vya siasa? Kwamba vyama vingine vya siasa vikifanya maamuzi kama wanavyofanya wao (kama kushiriki uchaguzi mkuu uliopita na ujao) wanakuwa ni tawi la CCM?
Usiandike kama chizi, weka evidence! wapi chadema wameshangilia? weka ushahidi
 
CCM waibe kura kwa usaidizi wa vyombo vya dola, unataka Chadema ifanye nini kuisadia ACT - Wazalendo?
 
Chadema wapo sahihi kabisa. Vyama vya upinzani vinatakiwa kuwsusia CCM haya mambo ya uchaguzi wa kijinga.
Mimi sikubaliani na ACT ila pia sikubaliani hoja za chadema kuwa ndizo ziwe sheria za vyama vyote vya upinzani kwamba asiyezifuata basi anashirikiana na CCM. Kila chama kina malengo yake unless wamekubaliana kwamba agenda yao ya pamoja ni hii hapo sawa lakini si kila mara maamuzi ya chadema ndiyo yawe alfa na omega.
Hili lililowapata ACT ni dalili za kitakachotokea kwenye uchaguzi ujao.
 
Mbona wakati CHADEMA wanampa mwenyekiti wa CCM tuzo na kumkaribisha kuwa mgeni rasmi kwenye shughuli yao, ACT hawakuwatupia maneno ya hovyo? CHADEMA ijitafakari. Kama ni u-CCM B hao CHADEMA wamekidhi vigezo vyote.
 
Back
Top Bottom