kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais Ramaphosa amfuta kazi Mshauri wa Uchumi baada ya kuibuka utata kuhusu Elimu yake

    AFRIKA KUSINI: Rais Cyril Ramaphosa amemuondoa kazini Dkt. Thabi Leoka ambaye ni mmoja kati ya Washauri wake katika masuala ya Uchumi kufuatia hoja zilizoanza kuibuliwa kuhusu uhalali wa sifa zake Kitaaluma. Kwa mujibu wake Dkt. Leoka anadai alipata 'PhD' yake kutoka Chuo Kikuu cha London...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkuu wa Majeshi: Baadhi ya Wakimbizi wamepewa teuzi Serikalini katika nafasi zenye maamuzi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye Mkutano wa Saba wa CDF na Makamanda unaofanyika 302 KV Brigade Mess, Mwenge jijini Dar es Salaam leo tarehe 22 Januari, 2024 CDF: VIJANA WETU WA MIAKA 15 HADI 35 WANALENGWA NA WANA MTANDAO WA UGAIDI Mkuu wa...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jeshi la Polisi: Hatujakubali au kukataa maandamano, tutawapa majibu tarehe 23

    Mbombo ngafu.....jidanganye kwamba maandamano yamekubaliwa!!!! ====== Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema limekutana na Viongozi wa CHADEMA na kuwahoji kuhusu maandamano waliyopanga kuyafanya January 24,2024 na wamekubaliana kuwa watawapa majibu kimaandishi kesho January...
  4. JamiiForums Tanzania Namna filamu zinavyotumika kufundisha Jamii kuhusu Matatizo na Ugonjwa.

    Habarini Wanajukwaana na Watanganyika wenzangu kwa ujumla! Ni wakati mwingine kama mmoja wa mwanamaendeleo katika jamii yangu kuleta mjadala mpana kuhusu mambo kadha wa kadha yanayoikumba jamii ya Watanganyika. Ni wazi kuwa filamu ni moja ya sehemu muhimu sana ya Maisha ya jamii ya sasa, kupitia...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Debate challenge: Mgogoro wa Hamas na Israeli

    Pamoja na uwepo wa mdahalo kati yao, mdahalo huo haukuwa na topic maalum isipokuwa aina ya majigambo. Sasa basi huu ni mdahalo wa wiki nzima kwanzia leo Jumapili mpaka Jumapili ijayo tutakapopata mshindi wetu. Nyani Ngabu na FaizaFoxy karibuni katika mdahalo huku tukisubiri ule wa makonda...
  6. JamiiForums Tanzania Hatimae nimeamua kuandika kitabu kuhusu mtindo wa maisha ya watu wa mikoa ya Kusini mwa Tanzania

    Wakuu baada ya kupiga kambi Mtwara na Newala nimevutiwa sana na ustaarabu, uungwana na ukarimu wa watu wa kusini mwa Tanzania. Sasa ninaandika kitabu kuhusu maisha ya watu wa kusini mwa Tanzania. Kitabu kitagusa nyanja zote kuanzia utamaduni hadi shughuli za kiuchumi ikiwa ni pamoja na fursa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli mtupu usiopingika kuhusu maisha

    Katika maisha ya leo ukijionea huruma, utakuja kutia huruma. Ukikosa nidhamu, utakuwa kuadabishwa na walimwengu Ukijidanganya utakutana na ukweli muda ukiwa umepita. Tujifunze na kutia maanani yafuatayo: 1.Thamani yako ndo inaamua mkate unaoingiza. Ikiwa chini, lazima ipande kubadili matokeo...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Jumuiya za Kimataifa kutoa tamko kuhusu maandamano ya CHADEMA

    Leo nilifika Ubalozi wa Marekani kwa shughuli yangu binafsi. Nimekutana na jamaa yangu mfanyakazi wa Ubalozi huo. Ameniambia baada ya Mbowe kufanya mazungumzo na Ubalozi huo kuhusu masuala ya demokrasia na siasa za Tanzania, Marekani imemuunga mkono. Na baada ya Mbowe kuondoka Balozi huyo...
  9. JamiiForums Tanzania Wazee wanatuchanganya kuhusu kuoa

    Mitandaoni na mitaani wazee wetu wanatushauri kutokuoa wanawake wasomi. Wakati huohuo hao wazee wanawasomesha mabinti zao, inamaana hawataki mabinti zao waolewe?
  10. JamiiForums Tanzania Mbowe amekutana na Balozi wa Uingereza (British High Commissioner) David Concar hii leo kuzungumzia maswala kadhaa ya kuhusu siasa nchini Tanzania

    Katika Ukurasa wa Ubalozi wa Uingereza Tanzania, Umeonyesha Mwenyekiti wa CHADEMA akiwa amafanya mazungumzo na Balozo huyo kuhusu Mambo kadhaa ya Mustakabali wa siasa nchini.. Huu ni muendelezo wa vikao vyake na Mabalozi kadhaa wa.nchi za ulaya na Marekani kabla ya kuenda kwenye Maandamano...
  11. JamiiForums Tanzania Hospitali ya Muhimbili yatoa ufafanuzi kuhusu kero ya ucheleweshwaji wa utoaji wa Medical Report

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamikia ucheleweshwaji wa kutoa Ripoti ya Matibabu (Medical Report) kwa Mgonjwa licha ya kuwa inalipiwa Tsh. 100,000 kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, akidai kuwa zamani ripoti hiyo ilikuwa bure, Uongozi wa Muhimbili umetoa majibu. Mdau amedai kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada Remotask kuhusu account verification

    Habari, Leo nimeingia kwenye account yangu ya remotask, ila kwenye dashboard, inaniletea natakiwa nifanye verification, ila kila nikiweka namba inanigomea inasema invalid.
  13. F

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Sukari yafika shilingi 5,000 kwa kilo moja

    Kilo ya sukari Tz imefika Tshs.5,000/, nadhani serikali inatakiwa itoe tamko kutupatia walaji mwongozo wa kufuata kutoka kwenye anguko hili. Sababu tunayopewa ni dhaifu kwamba mashamba ya miwa yamefurika maji wakati TMA ilitoa tahadhari miezi 2 kabla ya mvua kushuka. Nadhani ni Tz pekee ambako...
  14. JamiiForums Tanzania Hili ndio jibu la Aunt Ezekiel kuhusu yeye kuolewa na Kusah

    Aunt Ezekiel amejibu swali la ni lini ataolewa na Baba mtoto wake ambae pia ni msanii wa Bongo Fleva "Kusah". ANGALIA VIDEO HAPA Written by Mjanja M1 Video from RickMedia
  15. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Mwamakula: Naona huu sio muda sahihi wa kuwahukumu wabunge kuhusu miswada ya sheria za uchaguzi

    Wakuu kwema? Askofu Mwamakula akiwa anahojiwa na mwandishi wa habari kutoka Jambo TV amesema anaona sasa sio muda sahihi wadau na vyama vya siasa kuanza kuwahukumu wabunge juu ya miswada ya sheria ya sheria za uchaguzi inayotarajiwa kurudi bungeni kusomwa tena baada ya kupokea maoni kutoka kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Vijana wa Tanzania bado wanauelewa mdogo kuhusu siasa hivyo Rais Samia endelea kuteua wazee kwanza

    Nimefatilia siasa zote kutoka Ccm na upinzani Ila vijana bado hawapo matured mentally. Ukiwatazama vijana Wa Uvccm wao hakuna wanachowaza zaidi ya matusi, kuua , kujeruhi na kuwafunga wakosoaji Wa CCM. Ukija kwa upinzani hawa kiasi chake wanakuaga na hoja nzuri ila tatizo lao kubwa ni lile la...
  17. JamiiForums Tanzania Single mother anaamini kuwa step-Dad hampendi mwanae bali anaigiza

    Habari zenu, Ewe Mwanaume uliejibebesha majukumu ya mwanaume mwenzako kwa kusingizia upendo tambua kuwa Single Mother aamini kuwa unampenda mwanae bali unaigiza. Siku mwanae akiwa anaumwa na ukashindwa kumpeleka hospital atasema unataka mwanae afe kwasababu humpendi. Siku ukimkemea mtoto na...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe akutana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Balozi Michael Battle leo kujadili kuhusu Demokrasia nchini

    Kikao hicho kimetokea Leo ikiwa bado siku Kadhaa Ili yafanyike Maandamano Ya Chama Chake una maoni gani??
  19. JamiiForums Tanzania Kuna muda unafika unatambua ile misimamo ya mababu kuhusu Elimu na wanawake kama inakuingia hivi!

    ...
  20. G

    JamiiForums Tanzania TCU inakwepa majukumu yake kuhusu Postgraduate Studies?

    Habari Members ! Kumekuwa na changamoto ya Baadhi ya vyuo vikuu/Taasisi za elimu kuendesha programu zao za Uzamili(Masters) pasipo Uwazi uliopo baina ya Vyuo vikuu vya Tanzania/baadhi Taasisi husika za elimu na TCU umekaa kimya. 1. Baadhi ya vyuo vikuu/Taasisi za elimu kuendesha masters...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…