kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LUKAMA

    JamiiForums Tanzania Bonyeza hapa kwa majadiliano ya kina kuhusu madai ya kazi ya upwork

    Kwema hapo wakuu mimi ni mdau wa remote jobs hasa upwork. Niliona tangazo huko upwork nika apply jamaa kanijibu nikapata kazi. Jamaa alinipa link ya telegram ambo upwork hawaruhusu kufanya ivo cos upwork hawapati chochote kutoka kwangu (upwork wanakata 10% kwa kila kazi ninayo fanya). Kazi...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa watawala kuhusu matumizi yasiyo ya lazima sana

    Kila kukicha tunashauri tubane matumizi katika kila eneo, sasa mimi nikiwa mwanchi wa kawaida kabisa nashauri yafuatayo kwa Watawala kuhusu kupunguza matumizi makubwa ya Serikali. (1) Wananchi tumeshuhudia misafara mikubwa ya magari ya umma yakisindikiza misafara ya Viongozi Wakuu mfano Mhe...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Ahadi za Serikali kuhusu kumalizika kwa Mgawo wa Umeme kwa takriban miaka 13 kuanzia 2010 - 2024

    Baadhi ya ahadi za Serikali kuhusu kumalizika kwa Mgawo wa Umeme zilizotolewa kwa takriban miaka 13 kuanzia mwaka 2010 hadi mwaka 2024.
  4. BUSH BIN LADEN

    JamiiForums Tanzania Kanuni za TFF kuhusu ushirikina viwanjani.

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri. Wakuu nina swali kwa mwenye ufahamu atusaidie wana jukwaa. Tff wanatumia vigezo gani kugundua kwamba kitendo flani kilichofanyika ni cha kishirikina na kutoa adhabu kwa mujibu wa kanuni zao? Mfano hii issue ya Simba Sc kuukataa uwanja wa Azam Complex sio imani...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kuhusu Treni ya umeme

    Habari wakuu! Mimi kama mzalendo jana nimefuatilia majaribio ya treni ya kisasa kutoka Dar to Morogoro, nilichokibaini ni hiki kama kwenye uzinduzi ambao kulikuwa na viongozi ndani yake imetumia masaa mawili kufika Morogoro, tafsiri yake uwezekano wa kutumia masaa manne kwa mfumo wetu wa...
  6. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Employee Equity Incentive Plan

    Equity incentive plan ni mipango ya Motisha ya Ushiriki iliyoundwa na makampuni kutoa motisha kwa wafanyakazi wao kwa kutoa hisa au chaguo la kununua hisa kama sehemu ya malipo yao. Mipango hii inalenga kumfanya mfanyakazi ajisikie kuwa sehemu ya mafanikio ya kampuni na kumtia moyo kufanya kazi...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu kesi yangu na app za mikopo

    Kama nilivoahidi kuwa leo Jumatatu tarehe 26/02/2024 naanza mchakato wa kuwashitaki hawa watu. Nimeanzia TCRA ambako nimepeleka malalamiko yangu, Majibu ya TCRA ni kwamba wao hawahusiki kwa sababu hasimamii watu bali wabasimamia makampuni ya mawasiliano. Hii kidogo imeshitua hivo ikabidi niende...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mtu anayeweza kutoa ushauri mzuri kwa Watanzania kuhusu mtindo wa maisha (lifestlye) ni Rais Mstaafu Mzee Ali Mwinyi

    Mungu amemjalia maisha marefu mzee wetu huyu, mpaka sasa anaikaribia miaka 100. Pamoja na kuwa tunasema ni kwa neema na kudra za mwenyezi Mungu lakini nina uhakika kuna mambo huwa anaepuka kuyafanya ama huyafanya kwa kiasi mpaka kuufikia umri huu. Basi ni muda umefika mzee wetu aulizwe ili...
  9. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Kufilisika na Umaskini/Ufukara

    Habari za wakati huu; Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea salama na jitihada zenu za kujenga uchumi binafsi na wa Taifa. Kwa heshima na taadhima kabisa nimeona leo nilete mjadala kuhusu Mtu aliyefilisika au kwa lugha ya mtaani Kufulia na Mtu Maskini/Fukara.Lengo la kuleta mjadala huu ni ili...
  10. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Umewahi kusikia dhana gani kuhusu hali ya Ujauzito ambayo ungependa kufahamu undani wake?

    Kuna dhana nyingi ambazo watu huishi wakiamini kuhusu hali ya ujauzito. Dhana hizo hutofautiana kati ya jamii moja hadi nyingine. Je, mdau wetu wa JamiiCheck unafahamu dhana zipi kuhusu hali ya ujauzito? Zitaje upate undani wake
  11. M

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Simba kabla ya jana kuhusu Yanga

    1. Hamuwezi mechi za kimataifa 2. Medali ya kombe la looser 3. Huku ni ligi ya Mabingwa bhana 4. Sio Shirikisho huku. NB Nasubiri update ya misemo mipya baada ya hii
  12. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, kauli ya Lema kuhusu Uislamu ni msimamo wa chama?

    Friends and Our Enemies, Niliposikia kauli ya Shangazi Fatma Karume aliposema ya kwamba Chadema waache chuki dhidi ya waislam na uislam nikatanabahi kuwa kumbe siyo Mimi pekeyangu ambae nimeliona jambo Hilo. Siyo mara ya kwanza Kwa chadema kama Taasisi au kama viongozi wake kuingia kwenye...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Bunge la Wananchi wanatoa tamko muda huu, kuhusu ardhi

    23 February 2024 Morogoro, Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=Z53l5mEXWwU Migogoro ya ardhi kutokana na wingi ya idadi ya watu nchini, matumizi ya ardhi kwa kilimo na ufugaji yanatakiwa kupatiwa ufumbuzi wa haraka. Pia ufafanuzi wa umiliki wa ardhi elimu ya uraia yatolewa na bunge la...
  14. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa viongozi wangu wa chama na Serikali kuhusu ahadi za umeme

    Sasa ni dhahiri kuwa suala la umeme linakitweza na kukiaibisha chama tawala-CCM. Pia, umeme unaitweza na kuiaibisha Serikali iliyopo madarakani. Umeme unakatikakatika. Umeme haueleweki. Umeme hauaminiki. Umeme hauzoeleki. Umeme unagawiwa. Unaleta athari kubwa kwa wananchi na kwa nchi. Mimi...
  15. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Alichokisema Rais mstaafu Kikwete kuhusu Sukari na Umeme

    Wakati kilio cha mgawo wa maji na umeme, na uhaba wa sukari kikiendelea nchini, Rais mstaafu Jakaya Kikwete, amemtaka Rais Samia Suluhu Hassan kuendelea kuwa imara anapoendelea kutafuta suluhisho la changamoto hizo kwa kuwa ni mambo ya kawaida kwenye uongozi. Kikwete amesema anachoonyesha Rais...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Joyce Kiria ana upeo mdogo kuhusu haki, aache kupotosha jamii

    JOYCE KIRIA ANAUPEO MDOGO KUHUSU HAKI, AACHE KUPOTOSHA JAMII. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Baada ya kuishiwa kifurushi nikajikuta nipo Channel 10, huko nilikutana na mwanamama aitwaye Joyce Kiria ambaye kwa mazungumzo yake ni dhahiri anapotosha jamii. Joyce Kiria elewa kuwa kwenye nchi...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana mambo yako yakaenda vibaya sababu hujawahi kuwakumbuka ndugu zako marehemu?

    Naomba kuuliza hivi Mambo yako yanaweza yakaenda vibaya kila unachofanya kisifanikiwe kwa sababu hujawahi kuwakumbuka ndugu zako marehemu waliotangulia? Yaani kuwakumbuka kwa kufanya ibada? Je, kuna mahusiano?
  18. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Sidhani kama kuna haja ya kumlaumu Rais Msataafu Jakaya kikwete Kuhusu ugombea Urais wa hayati Edward Lowassa na kupatikana Magufuli

    Habari jf , nimejaribu kawaza sana kwanini Nchi yetu bado hatujapata Rais Mlutheri mbali na kwamba tuna walutheri wengi? Walokole nao ni wengi pia kwanini hatujapata Rais mlokole? Inawezekana kukawa mambo mengi nyuma ya Urais yaani zaidi ya kura za wajumbe. Lakini Inawezekana pia mfumo...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Lupembe, Edwin Swalle: Ipi Kauli ya Serikali Kuhusu Taarifa za Mitambo Miwili ya Kufua Umeme Katika Bwawa la JNHPP

    Mbunge wa Lupembe, Edwin Swalle: Ipi Kauli ya Serikali Kuhusu Taarifa za Mitambo Miwili ya Kufua Umeme Katika Bwawa la JNHPP Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga amesema kutokana na jitihada za Serikali na wakandarasi, kwa mara ya kwanza jana Februari 15, 2024 yamefanyika majaribio ya kuwasha...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Siku hizi Makanisani 90% mahubiri ni kuhusu Sadaka Sadaka Sadaka!

    Unaingia kanisani na shida zako kwa kutegemea upunguziwe mastress ya maisha matokeo yake unaenda kubebeshwa madeni tena. Kanisa siku nzima linachangisha fedha, bado kuna sadaka kama 7 hivi aloo. Hawa majamaa hapana aisee. Mungu hajaagizo mambo ya hivyo. Sadaka ni hiari ya mtu ila siku hizi...
Back
Top Bottom