Graduate Engineer
Member
- Jan 5, 2021
- 21
- 13
Habari Members !
Kumekuwa na changamoto ya Baadhi ya vyuo vikuu/Taasisi za elimu kuendesha programu zao za Uzamili(Masters) pasipo Uwazi uliopo baina ya Vyuo vikuu vya Tanzania/baadhi Taasisi husika za elimu na TCU umekaa kimya.
1. Baadhi ya vyuo vikuu/Taasisi za elimu kuendesha masters ambazo hazipo kwenye TCU guidebook. TCU imekaa kimya kweny jambo hili ukizingatia taasisi nying zinazofanya hivi ni za serikali.
2. Baadhi ya vyuo vikuu/taasisi za elimu kuendesha masters za Uzamili kwa mwaka mmoja. Je hii inakubalika na kama ndiyo inahitajika Uwazi kwenye kulitolea maaamuzi kwa jamii.
3. Muongozo wa pamoja uwepo wa ku manage masuala ya admissions kwa watu wa postgraduate studies. Kwa mwaka haijulikani intake rasmi ziko ngap (kwa masters).
Nawasilisha.