Je, fisi anaona usiku? Kama anaona anajuaje kama binadamu haoni usiku? Nani anamwambia?
Nasema hivi kwa sababu kule Shinyanga ukipita mida ya usiku unakuta fisi kajibanza tu sehemu kwa kuamini kuwa humuoni, lakini mchana hafanyi hivyo.
Anajuaje kwamba binadamu usiku haoni?
Seran,
Shytown.
Ukweli ni kwamba CCM/Samia hayamtaki Heche awe kwenye nafasi yake kwa sababu ya misimamo yake ya kutokutaka maridhiano feki.
Ukweli ni kwamba CCM au regime hii ovu hawatafanikiwa kwa sababu baada ya kufanya yale mauaji na kufanya uhuni kama utekaji,ulawiti,ufisadi Regime hii imelaaniwa kwa...
Mimi si mfuasi wa CHADEMA, lakini hilo halimaanishi nikubali kila tuhuma inayotolewa dhidi ya viongozi wake bila kutumia akili na kuhoji. Katika suala la madai kwamba Heche amekula fedha, binafsi sijaona ushahidi wa wazi unaonifanya niamini tuhuma hizo.
Pia, inapokuja habari, ni wajibu wetu...
Kwenye kikao unasimama na kuhoji usalama wa fedha za chama kisha unamnyooshea kidole moja kwa moja Heche kuwa anapiga pesa za chama.
Kwa kifupi ni kwamba huna imani na Heche. Baadae unapata uungwaji mkono kutoka kwa wenzio, yani kama script iliyokuwa imeandaliwa tayari.
Okay sawa, uhenda nia...
Salaam wakuu, mimi ni mwenzenu ila account yangu sijui imefanyaje na ile email walihack ila nimefungua account mpya.
Sasa ndugu zangu mimi nina 38 sasahv na ndio naingia kwenye ndoa, huyu binti nilizaa nae miaka 12 iliyopita, ila nilikuwa sijapata kibali cha kuishi nae pamoja.
Sasa naombeni...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema Serikali haitoi ruhusa ya utekaji na kwamba vitendo vya utekaji, mauaji na kupotea kwa watu ni makosa ya jinai yanayokiuka sheria na yatachunguzwa kwa kina ili ukweli ubainike.
Amesema endapo mtu anahusishwa na uhalifu, Serikali...
Leo Serikali Kupitia TPDC imeita waandishi na wahariri wa Habari mbalimbali na kutaka kufafanua juu yaadai yaliyotolewa na ACT Wazalendo kuhusiania na kashfa ya uagizaji Mafuta.
Nimesikiliza hotuba Yao na kurejea maswali ya ACT kiukweli bado ufafanuzi inahitajika
Nakuwekea maswali ya ACT hapa...
Ndugu zangu Watanzania,
Waziri Mkuu wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Mr CLEAN Amepiga Marufuku Na kutoa Maagizo Mazito kwelikweli ya kufuatiliwa na kukamatwa wale Viongozi Wote Ambao wamekaa maofisini na kwenye makundi ya Wasapu wakifanya kazi ya kujadili kuhusu Uchaguzi...
apiga marufuku
dkt mwigulu nchemba
kufuatiliwa
kuhusu
kukamatwa
kutoa
maagizo
marufuku
mkuu
mwigulu
mwigulu nchemba
uchaguzi
viongozi
waziri
waziri mkuu
Muda mrefu kabla ya uchaguzi wa urais wa Tanzania wa Oktoba 2025 kufanyika, vyombo vya habari vya Magharibi vilikuwa tayari vimejenga simulizi kwamba Rais Samia Suluhu Hassan angeshinda uchaguzi uliodaiwa kuwa wa udanganyifu, chama kikuu cha upinzani kingezuiwa kushiriki, na maandamano...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, limebaini uwepo wa ujumbe unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii (kama inavyoonekana kwenye picha) ukidai uwepo wa kikundi kinachokamata Bajaji kibabe kwa kigezo cha "Wrong Parking" na kutoza kiasi cha Tsh. 22,000 bila risiti, huku kukiwa na tuhuma kuwa baadhi ya...
Waziri wa Fedha Balozi Khamis Mussa Omaramjibu Luhaga Mpina kuhusu ufisadi kwenye uagizaji mafuta Tanzania
Pia soma: Luhaga Mpina: Bei ya mafuta imeshuka soko la Dunia kwa 22% lakini hatuoni bei zikishuka hapa nchini
Serikali imesema haijauza wala haijakabidhi rasilimali za misitu au maliasili za Tanzania kwa mataifa ya nje kupitia makubaliano ya biashara ya kaboni, ikisisitiza kuwa hatua zinazoendelea zinalenga kuongeza manufaa ya kiuchumi kwa taifa huku zikilinda maslahi ya wananchi.
Akizungumza na...
Kwahali ninavyoiona nahisi tarehe 7/7 siyo siku ya kutoka nyumbani.
Ushauri wa Bure nunua mahitaji ya nyumbani Sasa tena ya kutosha ikifika 7/7 Baki ndani usitoke hata kwenda kununua chumvi dukani ili Yale ya Octoba 29 Yasije yakakukuta.
Usalama wa Taifa si tu kutokuwepo kwa vita, usalama wa Taifa unahusu umoja wa Kitaifa, Utulivu wa kisiasa, uchumi, teknolojia, masuala ya kijeshi na mazingira.
Chadema kimekwisha kuwa chama cha kitaifa kutumia taasisi za serikali kama Jeshi, polisi na usalama kukizuia kufanya kazi ni...
1. Je Yuko hai?
2. Kama Yuko hai anafanywaje? Kula na kulala milele au ?
3.Je anayemtunza kama Yuko hai Huwa anaongea nae?
4. Au anampa Chakula na kuondoka?
5. Je kama Yuko hai anawaza nini? Kwamba kuna siku nitaliona jua?
6. Je anayemtunza/mfuga anamwambia maneno gani?
7. Kwamba pengine...
Ajira mpya katika Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko tunaomba kufikisha kilio chetu kuhusu utata uliojitokeza katika malipo ya fedha za kujikimu baada ya kuripoti kazini.
Tulipokuwa tunaripoti, tuliagizwa kuandika barua za kuomba fedha za kujikimu, maelekezo tuliyopewa, tuliambiwa kiwango cha...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
fedha
fedha za kujikimu
kakonko
kuhusu
kujikimu
malipo
mpya
ufafanuzi
watumishi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.