Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 394
- 277
MHE. GHATI CHOMETE AWASILISHA MAONI YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE KUHUSU UTEKELEZAJI 2025/26 NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI 2026/27
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete tarehe 22 Mei, 2026 akiwa katika mwendelezo wa Bunge la Bajeti Jijini Dodoma amewasilisha Maoni ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo kuhusu utekelezaji wa Wizara ya Viwanda na Biashara fungu (44) ya Mwaka 2025/26 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2026/27.
Mhe. Ghati Chomete, amewasilisha maoni hayo kwa niaba ya M/Kiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo muda mfupi kabla ya kuwasilishwa kwa Bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara kwa Mwaka wa Fedha wa 2026/27.
Mhe. Ghati Chomete (Mb),
Viti Maalum Mkoa-Mara,
Mei 22, 2026,
Bungeni-Dodoma.