Kuhusu kutembea au kuoa ndugu wawili

Kuhusu kutembea au kuoa ndugu wawili

Choosen85

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2022
Posts
2,312
Reaction score
5,619
Wakuu adui namba moja wa taifa hili ni ccm wanachopigania ni chama chao kutawala ili kuendelea kuiba na kulinda walichoiba ndiyo maana watapishana vipindi vingine tu ila kipindi cha uchaguzi huitana na kuambizana ukweli kwamba chama kikianguka kila ajue kiama kinakuja, wanatafakari na kurudi pamoja......

Moja kwa moja kwa kilichonileta kumekuwepo na kelele nyingi sana hasa upande wa wanawake wakilaani sana na kukataa mume kutembea na shemeji yake awe mdogo au dada wa mkewe kwamba ni laana na haifai kabisa kitendo hicho.

Mume kutembea au kulala au kuoa ndugu wawili hilo si jambo la kukubalika, lakini mimi nina ushuhuda mwiingi sana wa wanaume kutembea na wadogo wa wake zao mpaka kuzaa nao watoto au mtoto na maisha yanaendelea tu hakuna lolote baya wala hzo laana znazosemwa.

Na wengine unakuta kaona dada na mdogo mtu wote ni wake zake halali kabisa hakuna hzo laana wala hayo maajabu na mishangao.
Hivi kwani ndugu wa mke ni ndugu wa mume, na je mke ana udugu wowote na mumewe namaanisha wa damu huo udugu upo🤔 sa kama haupo ni kwanini kuna baadhi ya wanawake wanapinga sn wakidai ni laana na haifai as if mtu katembea na dada yake wa damu.
Wakati huohuo kuna baadhi ya wanawake wameolewa lakini unakuta mdogo wa mumewe au kaka wa mumewe anajito.mbea tu mke wa ndugu yao ninmaanisha mke anatembea na ndugu wa mumewe ambao ni shemeji zake, na huwez sikia mwanaume anapiga miluzi kwamba hiyo ni laana kbs, tena kuna wanawake wana watoto wa wadogo au kaka wa mumewe kbs na wanajisifu kwamba damu ni ileile tu haina shida kabisa shaaabashiiii.

Swali Je kutembea na mdogo au dada wa mke ni laana, ni kosa, Pili ndugu wa mke ni ndugu wa mume? Tatu kuoa ndugu wawili ni dhambi na imeanza lini dhambi hiyo kwa wakristo Yakobo alioa mtu na dada yake.
 
Attachments

  • FB_IMG_1779830530908.jpg
    FB_IMG_1779830530908.jpg
    106.1 KB · Views: 29
Hakuna laana , ni kulinda maadili ya jamii husika tu
 
nonsense 🐒
 
Maadili yanalindwa hivyo, je hakuna waliooa mtu na nduguye na maisha yanaendelea vema tu....
Wapo kiboa tu, ndio maana nikakumbia kulinda maadili ya jamii husika , pia na sababu za kibiologia
 
ndugu zako wwakike wwameolewa ? Em fanya nipe number niwale kwanza ndio tujadili
 
Back
Top Bottom