Experience yangu kuhusu betting (Ukamaria)

Experience yangu kuhusu betting (Ukamaria)

Joanah

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
26,346
Reaction score
97,076
Hey people,

Kimsingi nilianza kubet mwaka 2017,baada ya kuachana na aliyekuwa mwanaume wangu wa kwanza wakati huo kubet ilikuwa kama mbadala wa kuingia kwenye mahusiano mengine, kwasababu sikutaka kuwa na mahusiano na mwanaume mwingine
Niliona nifocus na shule na mpira

Ninavyoona moja ya “biashara/uwekezaji” iliyokuja kwa kasi kubwa ni kubashiri, kama mnavyoona makampuni mapya kila siku yanaanzishwa

Maswali muhimu ya kujiuliza
Je, mnufaika namba moja ni mkamaria?
Kamari imewekwa ili kumpunguzia au kumuongezea nini mkamaria?

Kwa haraka haraka, experience yangu ya kubet kuanzia 2017 hadi around 2023 ilikuwa nzuri, kwa sababu nilikuwa “namtandika Muindi” kwa kadiri nilivyoweza

Lakini kadri muda ulivyokwenda, nikagundua ni kweli nashinda sana lakini je nashinda katika namna ya faida ama "faida feki"? Wakamaria ni watu wenye imani ya ''ipo siku muindi atakaa'' huku ukiendelea kupoteza bila kujua umepoteza pakubwa kiasi gani

Ukweli ni kwamba kampuni nyingi za betting zimejengwa kubaki kwenye faida tu kama zilivyo biashara zingine
Ukiweza kuacha kubet ni better!

Enwei, kesho games za kutosha wazee
 
Kwisha sisi
 
Hilo mbona liko wazi..house always win yaani wenyewe kuna kitu kinaitwa edge...wenyewe wanakukula mdogmdogo ika kwa muda mrefu....

Na kosa kubwa wakamaria wanafanya ni ku chase lost...hawa kina taivina na kina hanscana watakuonyesha won zao tu ila lost hawazionyeshi..

Mwisho wa siku stake what you can afford kupoteza...mimi nacheza sana kwa sababu pia napata hela fulani nalipwa ni kama ya bure kila mwezi so hata nikiishiwa natulia tu ila ni mchezo hatari kama unavyosema ukiweza kuacha acha
 
Kuna Moda u nakula vzr trend nzuri kuna mda bwana mkubwa anaanza kuzirudisha zote
 
Attachments

  • Screenshot_20260523-024451_1xBet-indo.jpg
    Screenshot_20260523-024451_1xBet-indo.jpg
    198.3 KB · Views: 24
  • Screenshot_20260523-024434_1xBet-indo.jpg
    Screenshot_20260523-024434_1xBet-indo.jpg
    191.2 KB · Views: 21
  • Screenshot_20260523-024439_1xBet-indo.jpg
    Screenshot_20260523-024439_1xBet-indo.jpg
    192.6 KB · Views: 19
  • Screenshot_20260523-024520_1xBet-indo.jpg
    Screenshot_20260523-024520_1xBet-indo.jpg
    196.8 KB · Views: 16
  • Screenshot_20260523-024443_1xBet-indo.jpg
    Screenshot_20260523-024443_1xBet-indo.jpg
    169.6 KB · Views: 15
  • Screenshot_20260523-024528_1xBet-indo.jpg
    Screenshot_20260523-024528_1xBet-indo.jpg
    183.4 KB · Views: 16
  • Screenshot_20260523-024517_1xBet-indo.jpg
    Screenshot_20260523-024517_1xBet-indo.jpg
    186.1 KB · Views: 15
  • Screenshot_20260523-024422_1xBet-indo.jpg
    Screenshot_20260523-024422_1xBet-indo.jpg
    170.1 KB · Views: 15
  • Screenshot_20260523-024511_1xBet-indo.jpg
    Screenshot_20260523-024511_1xBet-indo.jpg
    205.6 KB · Views: 13
  • Screenshot_20260523-024427_1xBet-indo.jpg
    Screenshot_20260523-024427_1xBet-indo.jpg
    183.4 KB · Views: 14
  • Screenshot_20260523-024514_1xBet-indo.jpg
    Screenshot_20260523-024514_1xBet-indo.jpg
    192.5 KB · Views: 13
  • Screenshot_20260523-024413_1xBet-indo.jpg
    Screenshot_20260523-024413_1xBet-indo.jpg
    189.5 KB · Views: 14
  • Screenshot_20260523-024502_1xBet-indo.jpg
    Screenshot_20260523-024502_1xBet-indo.jpg
    193.5 KB · Views: 15
  • Screenshot_20260523-024417_1xBet-indo.jpg
    Screenshot_20260523-024417_1xBet-indo.jpg
    178.6 KB · Views: 18
  • Screenshot_20260523-024506_1xBet-indo.jpg
    Screenshot_20260523-024506_1xBet-indo.jpg
    197.1 KB · Views: 16
  • Screenshot_20260523-024455_1xBet-indo.jpg
    Screenshot_20260523-024455_1xBet-indo.jpg
    197 KB · Views: 15
  • Screenshot_20260523-024458_1xBet-indo.jpg
    Screenshot_20260523-024458_1xBet-indo.jpg
    188 KB · Views: 16
  • Screenshot_20260523-024447_1xBet-indo.jpg
    Screenshot_20260523-024447_1xBet-indo.jpg
    180.9 KB · Views: 23
Hilo mbona liko wazi..house always win yaani wenyewe kuna kitu kinaitwa edge...wenyewe wanakukula mdogmdogo ika kwa muda mrefu....

Na kosa kubwa wakamaria wanafanya ni ku chase lost...hawa kina taivina na kina hanscana watakuonyesha won zao tu ila lost hawazionyeshi..

Mwisho wa siku stake what you can afford kupoteza...mimi nacheza sana kwa sababu pia napata hela fulani nalipwa ni kama ya bure kila mwezi so hata nikiishiwa natulia tu ila ni mchezo hatari kama unavyosema ukiweza kuacha acha

Ukiwa na nidhamu betting haikumalizi
 
Back
Top Bottom