Tamko rasmi kuhusu bodaboda wa Jumbe...

Tamko rasmi kuhusu bodaboda wa Jumbe...

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,695
Reaction score
7,876
Ombi kwa Chadema ingefaa na ingeleta maana kitaifa kuwajali wale bodaboda .
Kama itakuwa vema zile pesa mlizokusanya kule shinyanga muwagawie kama kifuta jasho hata kama ni 500 muwape itawajenga bodaboda wengine kujitolea pindi mtu anapoomba msaada .
Hawa bodaboda wana umoja sana kama wangekuwa raia wa kawaida wangebaki kukodoa macho tu.
Maana bila wale kwa sasa chadema mngekuwa katika hali gani.
Hiyo ndio life style yetu ni kuwindana kama wanyama.
 
Kuwaweka hadharani napo ni kuhatarisha usalama wao
 
Back
Top Bottom