Kuhusu wahitimu kidato cha 6 kujiunga na JKT

Kuhusu wahitimu kidato cha 6 kujiunga na JKT

Status
Not open for further replies.

Lukenya

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2024
Posts
880
Reaction score
1,202
Wakuu habari za muda huu. Naomba kuuliza utaratibu wa wahitimu wa kidato cha 6 kujiunga na JKT kama bado ni hiyari au kwa sasa ni lazima? Na kama ni lazima,mafunzo hayo huanza mwezi gani kwa hawa ambao wamehitimu kidato cha 6 mwaka huu?
 
Sio lazima ni hiari
Sio wahitimu wote wanapangiwa kambi za kwenda.

Kama hujapangiwa na unataka kwenda hakikisha tarehe ya kuwasili unaenda kambi yoyote wanayopokea kwa mujibu waambie mimi ni mhitimu sijapangiwa lakini nataka kujiunga nanyi.

Nenda na vifaa vyako kabisa sababu hawawezi kukurudisha nyumbani.
 
Nashukuru Kwa ushauri mzuri
 
Hivi malengo ya kujiunga jkt yanaonekana, !? Au Ni just Tu kuweka mwili fit?
Mafisadi hawakupita jkt?
Au ufisadi Na wizi WA rasilimali Za Umma hauna mahusiano Na mzalendo?

Walioandamana 29 hawakuwahi kwenda jkt?

Mnisamehe jamani Nina hangover 😞😞
 
Malengo ya JTK hayajaonekana Kama CCM walivotaka.

Walioandamana wengi ni JKT na vikundi vya Uasi vitakuwa ni vya hawa walioenda JKT.

JKT ilianzishwa kuleta uzalendo lakini walioanzisha Havana uzalendo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom