kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa hatua za kufuata niweze kokodisha boat binasfi

    Wakuu habari zenu! Hivi mtu ukiwa na boat na unajitaji kuifanyia huduma za kupeleka watu uko Bongonyo Island or Mbudy je unafanya process? Namaanisha process zote za kupaki na kupeleka watu kuinjoi zikoje?
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kenya wamkejeli Samia kuhusu uhaba wa dola Tanzania

    Miezi kadhaa iliyopita Rais Samia alisikika akisema Tanzania ipo vizuri kwenye hifadhi ya fedha za kigeni, huku akisema kuna nchi jirani ina hali mbaya ambayo inahitaji msaada Kenya walielewa kuwa anailenga nchi yao yenye tatizo la fedha za kigeni pia) Sasa baada ya Tz kutangaza kuwa na uhaba...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Professor Kabudi apotosha kuhusu Uraia pacha! aombe msamaha

    Msikilize Emanuel akitoa data za ukweli anzia dakika ya 17:05
  4. JamiiForums Tanzania Maamuzi ya Mawaziri 8 na Baraza la Mawaziri Kuhusu Ugawaji wa Maeneo Kaliua Yaheshimiwe

    MHE. MUNDE TAMBWE APIGILIA MSUMARI MAAMUZI YA TIMU YA MAWAZIRI NANE NA BARAZA LA MAWAZIRI KUHUSU UGAWAJI MAENEO KALIUA Mbunge Viti Maalum Wanawake Mhe. Munde Abdallah Tambwe amemshukuru Waziri wa Maliasili na Utalii kwa tamko lake la kusema Maamuzi ya Timu ya Mawaziri Nane (08) ya Baraza la...
  5. JamiiForums Tanzania Story gani ya uongo uliwahi kusikia kuhusu Baba wa Taifa?

    Mimi niliwahi kusikia aliamuru uwanja wa ndege wa KIA ujengwe pale ulipo ili kuzuia madini ya Tanzanite yasichimbwe kwakuwa bado hatukuwa tumeelimika kuhusu madini. Wewe ulisikia ipi?
  6. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu PES 2017 kwenye kompyuta

    Habari wakuu wa tech. Nina game la mpira PES 2017 kwenye kompyuta yangu nikiwa na patch ya 2023. Juzi nimepiga Windows mpya game ikagoma kuplay ikihitaji baadhi ya files, hivyo anikaamua kubadilisha HDD yenye windows na kuweka nyingine ambayo huwa natumia kwenye laptop. Sawa game lina play ila...
  7. JamiiForums Tanzania SoC03 Maoni kuhusu Uwajibikaji na Utawala Bora katika nyanja mbalimbali

    Uwajibikaji na utawala bora ni sehemu katika kila jamii. Kwa Tanzania vipengele hivi ni muhimu kwa utendaji mzuri wa serikali na nyanja mbalimbali kama elimu, huduma ya Afya, na miundombinu. Nchi imepata maendeleo makubwa katika kuboresha uwajibikaji na utawala bora miaka ya karibuni. Hata hivyo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni taarifa zaidi kuhusu Kazi ya labour officer (Afisa Kazi)

    Habari zenu wana jamvi... Nimeulizwa hapa na machalii mtaani nimekosa jibu, nimejaribu kutafuta katika google ya ubongo wangu mtu wakimuuliza nimekosa nikakumbuka kuwa kuna jamvi lipo linawajuvi wa mambo.. bila shaka nitapata taarifa sahihi.. Hivyo BASI, Naombeni taarifa zaidi juu ya Kazi ya...
  9. JamiiForums Tanzania Mbunge Bupe Mwakang'ata aibana Serikali kuhusu Matibabu ya Afya kwa Wazee

    "Je, Serikali ina mpango gani wa kupunguza gharama za matibabu kwa akina Mama wanapokwenda Kliniki Sumbawanga?" - Mhe. Bupe Nelson Mwakang'ata, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa "Sera ya Afya ya mwaka 2007 kifungu cha tano (3)(4c) kinaeleza kuwa huduma za afya ya uzazi ikiwemo kuhudhuria...
  10. JamiiForums Tanzania Fahamu uwazi katikati ya Mapaja unaakisi nini Kuhusu Ustadi wako wa kufanya Mapenzi

    Hii ndio tafsiri yake... Kila mtu ana njia tofauti linapokuja suala la ngono lakini je, unajua kwamba uwazi kwenye mapaja yako unaweza pia kusema mengi kuhusu ujuzi wako wa kufanya mapenzi? Jua zaidi uwazi kwenye mapaja yako unaashiria nini kuhusu mtindo wako, na uchague kutoka kwa aina 4...
  11. T

    JamiiForums Tanzania January Makamba ni muongo kuhusu umeme

    January Makamba anasumbuliwa na tatizo kubwa sana la kutojua hesabu na kusema uongo. Anataabishwa sana na kufanya mambo ili kuonekana anafanya makubwa wakati ukweli ni kuwa mbali na maonyesho ya kusaini mikataba kila siku na kuleta porojo za miradi ya umeme bado taifa hili lina matatizo makubwa...
  12. JamiiForums Tanzania Feisal Salumu: Nimeondoka Yanga kutokana na manyanyaso, nilizungumza na Rais wa Yanga kwa saa 6, nikamwambia nataka kuondoka

    "niliambiwa na viongozi wa Yanga kuwa nauza mechi iliniuma sana na nikipokuwa nawapigia simu hao viongozi waliokuwa wanatamka hayo maneno hawapokei simu yangu. "Viongozi walikua wanamtukana mama yangu na kutoa matusi ya kumnyanyasa hata ingekua ni wewe ndugu mwandishi usingekubali kutukaniwa...
  13. JamiiForums Tanzania Urusi yalalamikia Marekani kuhusu mashambulizi ya drones zinazopiga Moscow

    Yaani Urusi inanikumbusha kitambo tukiwa wadogo, kuna mtoto wa ushuani ilikua yeye anaruhusiwa kutuchokoza ila tukimgusa tu inakua shughuli, "jameni msimguse mvumilieni kwenye uchokozi wake ndivyo alivyo......" ======================================== (Reuters) - Washington is encouraging Kyiv...
  14. JamiiForums Tanzania Huu Wimbo umenifumbua Macho kuhusu Uchafuzi wa Kelele. Kweli NEMC hawazimi Muziki

    Kuna watu ambao hawajapata elimu ya Kwanini NEMC inapambana na Bar na Hotel zinazopiga Kelele kisha wakifungiwa wanakimbilia kwenye kichaka cha Muziki na kudai NEMC inakataza na kuzuia Muziki ili wapenda Muziki wawaunge Mkono. Ukweli NEMC inataka watu wapige Muziki kwa sauti inayokubalika na...
  15. JamiiForums Tanzania Ajira mpya za TRA

    Karibuni tupeane Updates kuhusu nafasi za kazi zilizotangazwa TRA, tusaidiane jinsi ya kujaza form na kukamilisha maombi kwa pamoja. Wasilisha hapa changamoto unayokutana nayo katika kufanya maombi yako, kisha wadau watakuja hapa kutoa msaada. karibuni sana
  16. JamiiForums Tanzania Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) chalaani kilichofanywa na TANAPA na TAWA kuhusu uvunjifu wa Haki za Binadamu

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinalaani matukio ya uvunjifu wa Haki za binadamu yanayodaiwa kufanywa na Askari wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyama Pori (TAWA) baada ya kuwepo vitendo vya kupigwa na kuuwawa. Akizungumza na waandishi...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Gharama ya LATRA kupata kadi ya taksi za mtandaoni

    Habari wanazengo, Nilikuwa naomba msaada kuhusu kupata kadi ya Latra kwa ajili ya kufungua akaunt za Uber na bolt gharama yake ni sh ngapi kufanikiwa
  18. JamiiForums Tanzania Warsha ya kujenga uelewa katika Sekta ya Kidigitali kuhusu Sheria, Sera na Kanuni zinazosimamia Anga ya Kidigitali Tanzania

    Leo Jumanne Mei 30, 2023, Shirikisho la Wadau Wanaotetea Haki za Kidigitali Tanzania (Digital Rights Coalition Tanzania) limeandaa Warsha ya kujenga uelewa kwa Wadau katika Sekta ya Kidijitali kuhusu Sheria, Sera na Kanuni zinazosimamia Anga ya Kidijitali Nchini Tanzania pamoja na kuwezesha...
  19. JamiiForums Tanzania Kumbuka hili kuhusu mwanamke uliyenaye akipoteza hisia na wewe

    Utaona mwanamke haeleweki endapo hakupendi tena. Kumbuka tena, ukiona mwanamke haeleweki kwako ujue anapoteza hisia na wewe. Leo atakuonesha furaha kesho atakununia/ anakua kama hajawahi kukujua. Atakuambia hili saivi alafu baadae atabadilisha. Atakuwekea ugumu kukutana naye. Au kulala naye...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna kitu kinaniumiza kuhusu Wanaume

    Nahisi Kuna mambo mnapitia na yanawaumiza ila mmekosa pa kusemea. Wanawake tumepewa kipaumbele sawa, lakini nahisi wanaume wamesahulika kusikilizwa. Hizi mambo naona ndo zinachangia; 1. Kuuua wake zao 2. Kuchukia wanawake especially singlemoms 3. Kujiua wenyewe Sasa Kwa niaba ya jamii na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…