Watanzania wengi wamekuwa wakipata taabu kuifahamu FREEMASONRY Sasa utaenda kuifahamu kwa undani ikiwa utaleta maswali yenye tija, msingi, uhalisia hivyo utapata majibu kwa usahihi kabisa.
Huu ni ukumbi wa FREEMASONRY, unapatikana jijini moshi, Kilimanjaro. Jengo hili lilizinduliwa mnamo...
Ndg zangu Watanganyika bila kuwasalimia ninakumbuka kuwa ACT wazalendo na Chadema wametoa msimamo wao kuwa bandari yetu Isiuzwe kwa warabu au wajomba wa Samia huko Oman.
Je, ni nini msimamo wa CCM? Au wao kukaa kimya Ndio wameshakubali bandari iuzwe?
CCM njooni JF Leo tar 10.6.2023 kabla...
Ibara ya 4 - Wigo wa Ushirikiano na Taasisi za Utekelezaji
(2) "Tanzania itawajulisha Dubai kuhusu fursa zingine zinazohusiana na bandari na maeneo huru..."
Mapendekezo: Ondoa neno "itawajulisha"/"will"na badala yake weka neno "inaweza"/"May" ili Tanzania iweze kuwajulisha Dubai. Ukizingatia...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuwa Mawakala wa meli (shipping agents) hawafanyi kazi kwa muda wa Saa 24 katika siku saba (7) za wiki, Shirika la Uwaka wa Meli Tanzania (TASAC) limetoa ufafanuzi.
TASAC imesema kuwa Wadau wa Sekta ya Usafiri majini kupitia Kamati ya Maboresho ya Bandari...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema hadi kufikia Desemba 31, mwaka huu kila mtu mzima nchini anatakiwa kuwa na Namba ya Mlipa Kodi (TIN).
Hayo yameelezwa na Ofisa Mkuu wa Usimamizi wa Kodi (TRA), Hamadi Mteri wakati wa ufunguzi wa semina kwa wanachama wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa...
BANDARI IMEUZWA au IMEKODISHWA?
Suala la Bandari limekuwa gumzo. Hata Bubu wanaongea na woga unajaa ujasiri. Waliozoea kuongea wamekuwa bubu. Kwanini?
1. Je, imeuzwa au imekodishwa?
2. Je, imeuzwa au tumekodi mwendeshaji?
3. Je, ni kweli tayari imeuzwa, imekodishwa au kuajiri hiyo...
Habari ndugu zangu, mimi ni kijana nilijikita kwenye Software development sasa kuna app yangu nimeitengeneza sasa nina tafuta wawekezaji, nilikua nina uliza naweza kujiunga vipi na hawa sahara ventures ili nipate nafasi ya ku pitch project yangu?
"Inaitwa Memorandum of Understanding- Concession Agreement au Lease Agreement au utaratibu mwingine utafuata baada ya mchakato yakinifu kukamilika. Don’t worry 😉"
Tuliosoma Cuba tukiangalia na kavideo alikopost tunatambua uzalendo wake kwenye hoja hii.
=======
Kuna upotoshaji mkubwa kwamba kilichopo sasa ni MoU na Mkataba wa Awali tu hivyo hatuwezi kujadili kwamba Serikali imeingia mkataba na Dubai. Nafikiri tuwekane sawa kidogo na tupate tafsiri ya hayo maneno yana maana gani hasa.
Maana na Tafsiri halisi ya MoU - Memorandum of Understanding au...
Hivi,
1. Kama bandari inabinafsishwa gati na 5 hadi 8 na kuachwa gati namba 9 hadi 11 kwanini kelele ziwe nyingi kiasi kwamba ni bandari yote inauzwa?
2. Kama huyo anayekuja anakuja kuboresha miundominu na utoaji huduma sasa mbona wafanyabiashara ndio wanapiga kelele hawataki kabisa kwani si...
Mabadiliko kuhusu uwajibikaji au utawala bora katika nyanja mbalimbali kama elimu, afya, malezi, teknolojia, na sheria linaweza kuwa na athari kubwa katika kuboresha huduma na maendeleo katika maeneo hayo. Hapa chini nimeandika andiko linalojumuisha maoni na mawazo kadhaa kuhusu mabadiliko hayo...
Bandari, viwanja vya ndege, electric power supply plants, reli na barabara ni maeneo mhimu sana kiuchumi na kiusalama wa taifa lo lote duniani. Hili halina ubishi. Hivyo umiliki na mamlaka ya uendeshaji yanapaswa kuwa ya taifa lenyewe kwa asilimia 100%. Mamlaka haya hayapaswi kuporwa na mtu...
Walipoondolewa Wamasai kule Loliondo, kuna watu walitetea sana maamuzi yale wakidhani maamuzi kama yale yataishiwa kwa Wamasai tu, hawakujua yale maamuzi yalikuwa yanaweka precedence mbaya kwa siku zijazo.
Leo tunavuna tulichopanda halafu tunalialia!
Tumelaniwa!
Maneno yamekuwa mengi ila sijafanikiwa kuona mtu anatuwekea huo mkataba tajwa humu au kokote ukiachilia mbali ya amakubaliano ya awali. Kwa aliyenao ingependeza akaupandisha hapa ili tuanzne uchambuzi wa kweli kweli
Baada ya mashauriano ya viongozi waku waliopo safarini nje ya nchi Mwenyekiti wa Chama Taifa Mheshimiwa Freeman Mbowe, Makamu Mwenvekiti Bara Mheshimiwa Tundu Lissu a Katibu Mkuu Mheshimiwa John Mnyika kwamba, kwa sababu ya unyeti na uharaka wa suala hili la makubaliano kati ya Tanzania na...
Habari ndugu wadau!
Naomba mwenye ABC Kuhusu masuala ya urubani atusaidie kujibu kwa ufafanuzi machache kuhusu ndege inavyoruka na kutua.
Pamoja na mengine; Naomba ufafanuzi
1. Kazi ya kifeni kule mbele kulikochongoka ni nini?
2. Je ndege inayoruka ndani ya Tanzania inatakiwa kutembea umbali...
Kunatafutwa namna ya kusema wananchi waliunga mkono.
Wananchi wana ambiwa watoe mawazo kuhusu ubinafishaji bila kuweka wazi mkataba sasa mawazo yao hasa ni ya nini?
Wakuu, kuna tetesi zinasambaa kuwa baadhi ya Wabunge wamelipwa fedha ili kuupigia kura ya ndiyo mkataba huo wenye utata.
Pia inatumika nguvu kubwa kuonesha vigezo vyote vimefuatwa ambapo kwa sasa kuna wanaoitwa Wadau wameitwa kwaajili ya kujadili kwa haraka halafu itaingizwa kwenye maelezo ya...
Habari ndugu zangu,
Samahani kwa kuwasumbua naombeni msaada wa kuhusu application za ajira katika mfumo wa ajira portal nilikuwa nauliza kama kuna tangazo la kazi linahitaji applicants wawe na diploma.
Je, mtu mwenye degree akijaribu kuapply nafasi hiyo hiyo inayohitaji diploma holders itakubali?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.