Msaada kuhusu PES 2017 kwenye kompyuta

Acehood

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,510
2,475
Habari wakuu wa tech.

Nina game la mpira PES 2017 kwenye kompyuta yangu nikiwa na patch ya 2023. Juzi nimepiga Windows mpya game ikagoma kuplay ikihitaji baadhi ya files, hivyo anikaamua kubadilisha HDD yenye windows na kuweka nyingine ambayo huwa natumia kwenye laptop.

Sawa game lina play ila wachezaji wapo timu zao za zamani kama vile Lukaku yupo Chelsea wakati mwanzoni alikuwa inter Milan.

Hii imetokea baada ya kubadilisha hard disk drive iliyobeba windows.

NB: Setup ya game na ya patch sina kwa sasa, vyote viko installed kwenye HDD nyingine.

Msaada wakuu.
 
Kama hukufuta chchote kinachohusiana na patch ya 2023 kweny folder ambalo uneinstall game ni simple tu.
Download Pes master alaf u regenerate kila ktu kitakaa poa
 
Asante mkuu. Ngoja nijaribu nitaleta mrejesho
 
Habari wakuu wa tech.

Nina game la mpira PES 2017 kwenye kompyuta yangu nikiwa na patch ya 2023. Juzi nimepiga Windows mpya game ikagoma kuplay ikihitaji baadhi ya files, hivyo anikaamua kubadilisha HDD yenye windows na kuweka nyingine ambayo huwa natumia kwenye laptop.

Sawa game lina play ila wachezaji wapo timu zao za zamani kama vile Lukaku yupo Chelsea wakati mwanzoni alikuwa inter Milan.

Hii imetokea baada ya kubadilisha hard disk drive iliyobeba windows.

NB: Setup ya game na ya patch sina kwa sasa, vyote viko installed kwenye HDD nyingine.

Msaada wakuu.
Kuna file la transfer update patch ya mwaka 2023 Ikiwa na wachezaji wapya insbidi uliweke kwenye documents Kisha utaona folder la Konami alafu utaona imeandikwa pro. Evolution soccer 2017 ifungue ndani utaons Neno Edit0000 hakikisha unaweka file lako la Edit0000 humo utaweza kufanya update ya wachezaji
 
Back
Top Bottom