kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama mlikuwa hamlijui hili kuhusu Marumo Gallants FC basi leo mlijue

    1. Kwao huwa hawafungiki na Wageni 2. Kwao hucheza kwa Spidi ya Kutukuka na isiyoelezeka 3. Uwanja wao wa Nyumbani ni mkubwa na mpana kuliko mbovu wa Jangwani na wa Watalii wa Kigamboni 4. Wakiwa Kwao wana Fitna za Kisayansi. 5. Usithubutu Kuwaroga kwani licha ya Wao Kuujua huo Uchawi ila...
  2. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Hoja nzito ya Halima James Mdee kuhusu kilimo, iliyojibiwa kipuuzi na waziri Bashe!!

    Halima James Mdee alitoa hoja nzito sana na yenye mashiko kuhusu wizara ya kilimo kugawa ardhi na gharama ya kusafisha ekari kwa ml 16 . Halima Mdee alikuwa anapinga kwamba ghaRama za kusafisha shamba ekari Moja haiwezi kuwa ml 16..na kwamba hizo ekari zinazotarajiwa kugawiwa kwa vijana...
  3. Wildlifer

    JamiiForums Tanzania Kikwete Vs Hayati Magufuli: Magufuli yuko sahihi kuhusu Katiba Mpya

    Salam! Wote tunajua mchakato wa kuandika Katiba mpya Tanzania wakati wa Kikwete na hadi kukwama kwake. Wote tunajua msimamo wa Magufuli wa kutokutaka kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya. Sasa Rais Hassan ameanzisha mchakato wa Katiba Mpya. Mimi ni Realist. Na napenda tuwe realist katika...
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Waandishi wetu jamani, eti maswali yao kwa Marumo Gallats ni kuhusu Mayelle na Mzize

    Tunatia aibu kama taifa kuwa na waandishi wa aina hii. TCRA iinue kiwango cha vyuo vinavyotoa taaluma ya habari, wanafunzi wanaojiunga na vyuo vya habari na watu wanaofanya kazi za habari. Products ziko chini sana mpaka wageni wanawashangaa waandishi wetu. Yaani hawa waandishi kwa namna nyingine...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali imetoa ufafanuzi kuhusu ununuzi wa hisa za Tanga Cement unaofanywa na Twiga Cement

    SERIKALI IMETOA UFAFANUZI KUHUSU UNUNUZI WA TANGA CEMENT UNAOFANYWA NA TWIGA CEMENT Serikali imetoa ufafanuzi kuhusu ununuzi wa hisa za Tanga Cement unaofanywa na Twiga Cement, kuwa umefuata taratibu za kisheria na kwamba kampuni inayopinga ununuzi huo ya Chalinze Cement imeshafutiwa usajili...
  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Yanga yapigwa faini na CAF kwa makosa 3 likiwemo kuwasha fataki uwanjani wakati wa mchezo

    =============== Katika lugha inayotumika kwenye barua official sehemu za pesa huwa zinaanza kwa tarakimu zilizotenganishwa kwa comma, kisha aina ya pesa kwa initials baada ya hapo kuwepo kwa mabano ya maneno) Mfano 2,000 USD (Two thousand US Dollars) 2,000 Tshs (Two thousand Tanzanian...
  7. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Sintofahamu yaibuka kuhusu uwanja wa ndege wa Dodoma kutokuwa na taa za kuwezesha ndege kuruka na kutua usiku

    Sintofahamu hiyo pia imeongezeka baada ya jana Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) kutoa taarifa kwamba uwanja wa ndege wa Songwe mkoani Songwe umewekwa taa na huduma za ndege zinatolewa kwa saa 24. Ukosefu wa taa kwenye uwanja huo ulibainika baada ya ndege ya Precision namba PW 602...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila kumshtaki Mahakamani Rais Ruto kuhusu vifo vya waumini vilivyotokea Shakahola

    Kongozi wa Umoja wa Azimio, Raila Odinga amesema anachukua uamuzi huo dhidi ya Rais wa Kenya, William Ruto ambaye ameunda Kamati ya kuchukunguza miili 110 iliyofukuliwa katika eneo la #Shakahola lilipo katika Kanisa la Good News International Church, ambapo takribani Watu 320 wameripotiwa...
  9. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amemuagiza Msajili wa Vyama vya Siasa kuitisha kikao maalum cha Baraza la Vyama vya Siasa kuhusu kuanza kwa mchakato wa Katiba Mpya

    Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhes. Samia Suluhu Hassan amemuagiza Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Mutungi, kuitisha kikao maalum cha Baraza la Vyama vya Siasa. Lengo ni kuwashirikisha wadau katika kutathmini utekelezaji wa mapendekezo ya Kikosi Kazi kilichokuwa kikiratibu maoni ya...
  10. angel_papaa

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu sharing kwenye biashara ndogondogo

    Kabla ya kuingia kwenye share, vitu gani lazima vizingatiwe???
  11. K

    JamiiForums Tanzania Je, ni wakati wa vijana kufikiria kutafuta kazi nje ya nchi?

    Kwenye nchi zilizoendelea kwasasa kuna uhaba mkubwa wa vijana wa kufanya kazi lakini wakati huohuo kuna janga kubwa la vijana wasikuwa na kazi Tanzania. Pamoja ni jitihada nyingi za serikali za kusaidia vijana kupata kazi na kufanya shughuli za kilimo ni lazima vijana nao wajiongeze walau kuweka...
  12. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Ni nini kauli ya Serikali ya Tanzania/ IGP Dodoma kuhusu kifo cha Nasra mwanafunzi wa UDOM?

    Ninaomba michango kuhusiana na thread hii tafadhali?
  13. Mus_musa

    JamiiForums Tanzania Naomba maelezo kuhusu Subaru Impreza G4

    Habari. Kwa waliowahi kutumia hii gari naomba watuambie ikoje ubora wake kuanzia spea zake, fuel consumption iko vipi Asante!
  14. 0

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya maoni ya Wazanzibar kuhusu ujenzi wa daraja Dar to Zanzibar

    Kupitia hizi comments za Wazanzibar nimejifunza kuwa wenzetu wanachuki na sisi kwa kiwango kikubwa sana. Ukisoma maoni yao kwa umakini mkubwa utakuja kugundua kuna baadhi ya chuki wamepandikizwa kupitia dini zao. Mfano kuna comment inasema "Wazanzibar waliwaua ndugu zao waislam weupe ili...
  15. Victoire

    JamiiForums Tanzania Alichopost Spika Tulia Ackson baada ya hoja yake kuhusu kugawanywa jimbo la Mbeya Mjini

    Huyu ndo Speaker/Rais wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ila nimeamini viongozi wetu ndo reflection ya wananchi. Speaker yupo hivi, wananchi je? Zaidi, soma: Spika Dkt. Tulia aomba jimbo la Mbeya Mjini kugawanywa
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Vipaumbele 9 vilivyowasilishwa na Waziri Ulega Bungeni kuhusu Wizara ya Mifugo na Uvuvi

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega, amewasilisha BAJETI ya Wizara hiyo Bungeni Leo Mei 02, 2023, huku hatua kadhaa zenye lengo la kuifanya iwe na mchango zaidi kwenye Pato la Taifa (GDP) na kupambana na umasikini kwa wafugaji na wavuvi zikitangazwa. Waziri Abdallah Ulega, amesema kwamba...
  17. Ileje

    JamiiForums Tanzania Bongo Zozo ana hoja kuhusu uraia pacha kwa Watanzania

    Kulingana na hoja za Bongo Zozo raia wa Tanzania waliopo ughaibuni wananyimwa fursa ya kuendeleza nchi yao. Aidha Tanzania inakosa fursa ya kupata huduma kutoka kwao Tuna Jambo la kujadili ili tupate muafaka!
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania TANZIA Wafanyakazi Wawili wa Ofisi ya CAG wafariki dunia

    Taarifa kamili hii hapa. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Bw. Charles E. Kichere anasikitika kutangaza kifo cha Bw. Geofrey Lawrence Makonyu, Mkaguzi Kitengo cha Walipa Kodi Wakubwa ambae amefariki akiwa Yaounde nchini Cameroon akiwa katika majukumu ya kikazi. Marehemu...
  19. Wakili

    JamiiForums Tanzania Ujue ukweli kuhusu NASA

    Heshima kwenu wote humu ndani. Leo napenda kushare na ninyi hii siri. Je wajua kua NASA, ni taasisi ya siri ya kijeshi ya jeshi la Marekani, ambayo serikali ya Marekani ime-invest millions of dollars ili kufanya majaribio ya makombora ya masafa ya mbali yaani ICBM, Inter Continental Balistic...
  20. MwanawaMUNGU41

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

    Habari wadau, Baada ya kuwa kwenye ajira kwa miaka 10 na kuona msoto uko pale pale,nimeamua kuingia kwenye kilimo kama njia ya kuongeza kipato cha ziada. Nimeanza kwa kukodi shamba Ruvu kwani mimi niko Dar na niko kamili kwa kuanza na heka 2. GHARAMA Nimekodi shamba laki 3(@150,000),nikafyeka...
Back
Top Bottom