Anaitwa Kim Clement. Alikuwa nabii muimbaji. Alifariki November 2016 akiwa na miaka 60. Alishatabiri vita ya Ukraine na Russia. Alitabiri kwamba kuna roho itaingilia kati itakayomfanya Putin aondoe jeshi kwenye nchi huru aliyoivamia. Alitabiri kuwa Putin atauwawa nchini mwake. Utabiri wake...
Wandugu. Umofia kwema?
Siku za hivi karibuni tumepata mashambulizi makali kutoka kwa Genge la Bashe. Baadhi ya watu ambao ninaamini huenda ni wanaume wa Dar wamekuwa wakishadadia kile kinachoendelea dodoma wakiwa hawajui hali halisi ya mashambani. Naomba kutoa ufafanuzi kwa hoja zifuatazo.
1...
Hii ni video ndefu tu, Ina maswali mengi Kuhusu majibu. Kama una bando unaweza kusikiliza ila Kwa kifupi ni kwamba kulikua na Mambo mengi sana yalifanyika kienyeji mno.
Kumbe Kuna wabunge walisafirishwa kwenda DUBAI bila kujua kilichowapeleka! Bunge la CCM limekua genge la Wahuni kiasi hiki...
Umoja wa Mataifa umetoa tahadhari hiyo baada ya Mamlaka za Tunisia kudaiwa kuminya Uhuru wa Kujieleza huku kukiwa na taarifa za Mwandishi wa habari maarufu kukamatwa kwa tuhuma za kumtusi Rais Kais Saied.
Kamisheni ya Haki za Kibinadamu imesema "Msako dhidi ya Majaji, Wanasiasa, Viongozi wa...
Kwa kifupi huyu ndugu yangu (Shangazi ni mtu poa, nimemfahamu toka utotoni, na sehemu kubwa ya utoto wangu nimekulia kwake, hajawahi kunikwaza kwa chochote, ila kwa hii miaka 5 iliopita ameanza tabia ambayo inanipa maswali kichwani, hadi sasa hivi roho yangu inakua kama inamkwepa..
Yaani kila...
Kama kichwa cha habari kinavyosema, katika pita pita yangu mtandaoni nimekumbana na hii video. Kwa mtazano wangu, huyu jamaa ana upeo, muono na mawazo mapana sana na ana kipaji cha kuzifikisha fikra zake kwa ufasaha na utulivu wa viwango vya juu kabisa. Ana uchungu na ujinga wetu Waafrika na...
1. Viongozi wote wa tume ya uchaguzi wanatakiwa wachaguliwe na wananchi na wasiwe na chama chochote wala wasihudhurie vikao vya chama chochote wao wafanye kazi yao. Hivyo wajitokeze watu kadhaa kuwania nafasi hizo kisha wapigiwe kura.
2. Spika wa bunge na naibu spika wanatakiwa wachaguliwe na...
Siku 4 za utafutaji wa 'Submarine' ya Titan zimetamatika Juni 22, 2023 kwa kutolewa taarifa mbaya ya kufariki kwa Watu 5 waliokuwa ndani yake wakielekea kutalii katika eneo yalipo Mabaki ya Meli ya Titanic.
Jeshi la Wanamaji la Marekani (US Navy) limeripoti kuwa kilisikia kishindo saa chache...
Hello,
Naomba ifahamike upumbavu uliopo kwenye huu mkataba wa DP world kuendesha bandari za Tanganyika ni kichaa tu na mkusudi na mwenye hila na Tanganyika ndio anaweza thubutu, na huu ni upofu wa kila kitu.
Nadhani kuna dhamira ya kuvunja muungano Kwa kuibua chagizo za kipuuzi kuhusu...
Utangulizi:
Ukisoma katiba ya JMT ibara ya 59 (1) imeanzisha ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali, na ibara ndogo ya (3) ya ibara hiyo ya 59, inaeleza wajibu mkuu ni kuishauri serikali katika mambo yote yanayohusu sheria, zaidi sana ibara ya 59 (5) kwa hadhi ya ofisi yake mwanasheria mkuu...
Wataalamu nchini China wanasema ni jambo la kushangaza kuwa, China kutangaza kwamba chip ya kumbukumbu ya kampuni kubwa ya teknolojia ya Marekani, Micron, imeshindwa kufikia vigezo, kumeibua malalamiko kutoka kwa baadhi ya vyombo vya habari vya nchi za Magharibi, na mtazamo wa “nipe nikupe”...
Ni kwenye PC yake ya juzi kwa vyombo vya habari alipokuwa akijibu maswali ya waandishi wa habari..
Wasio na bundle, hizi hapa 👇👇👇ni baadhi ya quotes za kauli zake
• "Haya makubaliano ndiyo mkataba. Kwa jinsi mkataba huu ulivyo haurekebishiki na ukabaki", Tundu Lissu
• "Kwa jinsi mkataba huu...
Habarini,
Nina barua yenye check namba, niliyoambiwa kwamba nionapo tangazo mamlaka yoyote ya ajira nchini ikiwemo sekretarieti ya ajira niombe ili niweze kupangiwa kituo kulingana na uhitaji uliopo.
Sasa kuona tangazo ni ishu ukiliona leo mpaka baada ya miezi au mwaka pia nafasi ni chache...
Mwaka 2021, Mchungaji Ian Ndlovu kutoka Zimbabwe alisema kuwa Roho wa Mungu amemwambia kuwa awaambie kuhusu Raisi mwanamke kutoka Afrika Mashariki.
Aliambiwa kuwa, wote wanaompenda Raisi huyu mwanamke wanapaswa wamwombee sana maana aliona atapitia matukio mawili huko miaka ya mbele ambapo...
NCHI Yetu bado ina hazina na viongozi wastaafu, Mzee Samwel John Malecela, Mzee Joseph Sinde Warioba, Mzee David Cleopa Msuya, Dk. Salim Ahmed Salim, Mzee Joseph Butiku mbona mko kimya mjadala unaohusu kuuzwa kwa bandari?
Tunawaomba na ninyi kama wazee wetu mtoe neno kuhusu mkataba huu.
Mzee...
Nimemsikia Waziri Mkuu Majaliwa akizungumzia uwezekano wa kufanya mapitio(review) ya azimio lililopitishwa bungeni Intergovermental Agreement(IGA) inayohusu uwekezaji wa DP World hapa Tanganyika. Bunge la sasa hivi la chama kimoja-1) lililipitisha azimio hilo "kwa kishindo" kama ilivyo kawaida...
Wakuu,
Mimi nikiwa kama Mtanzania mwenye akili timamu, nimechukizwa sana na jinsi watanzania mbalimbali walivyolishadadia na kuendelea kuchangia maoni yao kwa wanafunzi waliokuja kutoka Sudan kufanya mafunzo yao ya udaktari kwa vitendo katika chuo cha Afya Muhimbili.
Nasema nimegadhabishwa kwa...
Mod usifute huu uzi na upaste kama ulivyo andikwa kigogo media
Kiburi cha rushwa ,uhuni na ujeuri wa EWURA na waziri wa nishati wafikisha mgogoro wa upungufu wa mafuta ngazi za juu serikalini, chanzo chetu ndani ya EWURA kinatujulisha asubuhi na mapema leo hii.
Baada ya kuona nchi inaingia...
Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari amesema haya...
Kwenye mamlaka ya moja kwa moja waliyonayo kama Wazanzibar kwenye huu MKATABA kwa makusudi kabisa hawajajumuisha bandari ya kwao Zanzibar ilhali ni jambo la MUUNGANO.
Hawa WAZANZIBAR wameuza mali yetu Watanganyika kwa MKATABA wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.