Naombeni taarifa zaidi kuhusu Kazi ya labour officer (Afisa Kazi)

Mzee wa old school

JF-Expert Member
May 16, 2021
508
834
Habari zenu wana jamvi...
Nimeulizwa hapa na machalii mtaani nimekosa jibu, nimejaribu kutafuta katika google ya ubongo wangu mtu wakimuuliza nimekosa nikakumbuka kuwa kuna jamvi lipo linawajuvi wa mambo.. bila shaka nitapata taarifa sahihi..

Hivyo BASI, Naombeni taarifa zaidi juu ya Kazi ya Afisa Kazi au kimombo labour officer.. majukumu yake ni yepi,. Na pia.. ana faida gani au umuhimu gani.... Na sifa zake ni zipi Ili mtu awe na nafasi hiyo? Na pia kimaslahi hii shughuli ikoje? Nimeleta kwenu naami nitapata mrejesho bora zaidi..
 
Kazi kwelikweli, hujui kazi za HR?

Nenda duka la serikali kanunuwe vitabu vya sheria za kazi usome.
 
Back
Top Bottom