Jamii ya kimataifa yapiga “kura ya ndio” kuhusu ushirikiano wa BRICS

ldleo

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
1,010
1,036
1.jpg
Mkutano wa 15 wa wakuu wa nchi za BRICS umeanza tarehe 22 mjini Johannesburg, Afrika Kusini. Huu ni mkutano wa kwanza wa uso kwa uso wa viongozi wa BRICS katika kipindi cha miaka mitatu, na pia ni mara ya tatu kwa mkutano kama huo kufanyika tena barani Afrika baada ya miaka mitano, jambo ambalo lina umuhimu wa pekee.

Baada ya miaka 17 ya maendeleo, BRICS imekuwa jukwaa muhimu kwa masoko yaliyoibukia hivi karibuni na nchi zinazoendelea kuungana na kujiimarisha. Ikilinganishwa na baadhi ya nchi za Magharibi zinazozingatia siasa za kijiografia na kuleta mgawanyiko na makabiliano mara kwa mara, nchi za BRICS daima zimezingatia kanuni za uwazi, ushirikishi, na ushirikiano wa kunufaishana, kutetea kithabiti utaratibu wa pande nyingi, na kupata mafanikio makubwa ya kushangaza, ambayo yamepongezwa na jumuiya ya kimataifa.

Kwa mujibu wa takwimu, hadi sasa kuna zaidi ya nchi 40 ambazo zimeeleza kutaka kujiunga na BRICS, na nchi 23 kati yao zimeomba rasmi kujiunga na BRICS, kwa kutoa maombi kwa njia ya barua zilizoandikwa na viongozi wa nchi. Wachambuzi wanaona kuwa, kufuatia kujumuishwa kwa Afrika Kusini miaka 12 iliyopita, safari hii mkutano huo unatarajiwa kuamua orodha ya nchi kama kundi la pili la upanuzi wa BRICS na kujadili kutunga kanuni rasmi za kujiunga na BRICS.

Kwa nini BRICS inazidi kuvutia? Kwanza kabisa, ushawishi wa nchi za BRICS duniani unaongezeka siku hadi siku. Katika miaka 17 iliyopita, nchi za BRICS zimezingatia maendeleo ya pamoja, na zimehimiza ushirikiano katika nyanja mbalimbali kama vile biashara, nishati na usalama wa chakula, na kuchangia sana ukuaji wa uchumi duniani. Kulingana na takwimu kutoka taasisi ya utafiti ya Uingereza, mwaka 2022, nchi za BRICS zilichangia zaidi pato la jumla la uchumi wa dunia kuliko Kundi la G7 la Magharibi. Hii haionyeshi tu mabadiliko katika muundo wa uchumi wa dunia, lakini pia maendeleo ya nchi za BRICS. Wakati huo huo, nchi za BRICS zimeanzisha ushirikiano wa karibu na nchi zinazoendelea na kuchangia utatuzi wa changamoto zinazozikabili nchi zinazoendelea kama vile maendeleo endelevu na kutokomeza umaskini. Kwa hivyo, nchi nyingi zaidi zinatumai kujiunga na BRICS ili kuingiza msukumo zaidi katika maendeleo yao ya kiuchumi kupitia kufunzana na ushirikiano.

Sababau nyingine ya BRICS kuzidi kuvutia ni kwamba imevunja mfumo wa nchi moja na kujitahidi kujenga dunia iliyo na ncha nyingi. Kwa muda mrefu, watu wamekuwa hawaridhiki sana na "rafiki au adui" wa baadhi ya nchi za Magharibi, ambazo zinatumia fimbo ya vikwazo na kuzilazimisha nchi nyingine kuwa upande fulani. Nchi nyingi zinazoendelea hasa za Afrika zimetengwa katika mfumo wa usimamizi duniani, na matakwa yao hayakuzingatiwa kwa uzito, wanatumai kuona BRICS kama fursa ya kujikwamua kwenye "umwamba" wa Magharibi na kulinda masilahi yao halali. Kama njia muhimu zaidi ya mawasiliano ya kimkakati kati ya nchi za Kusini duniani, kuwa na wanachama wapya sio tu kutaleta uhai mpya kwa BRICS, bali pia kutaimarisha uwakilishi na sauti ya nchi zinazoendelea na kukuza demokrasia ya mahusiano ya kimataifa.

Kujenga dunia nzuri ya kuheshimiana na kutafuta maendeleo ya pamoja ni matarajio ya pamoja ya jamii ya binadamu. Kwa sasa, kutoka mabadiliko ya hali ya hewa, usalama wa chakula, hadi msukosuko wa nishati, changamoto za kimataifa zinazidi kuwa kali na za dharura. Wakati mfumo wa jadi wa usimamizi duniani unapokuwa unashindwa kukabiliana na hali mpya, jumuiya ya kimataifa inatarajia kwa hamu BRICS kuchukua jukumu kuu na kuleta mapambazuko duniani. Kama moja ya nchi za Kusini duniani na nchi iliyopendekeza dhana ya "BRICS+", China itaunga mkono kithabiti upanuzi wa BRICS na kukaribisha washirika zaidi wenye nia moja kujiunga na familia ya BRICS mapema.
 
View attachment 2724763Mkutano wa 15 wa wakuu wa nchi za BRICS umeanza tarehe 22 mjini Johannesburg, Afrika Kusini. Huu ni mkutano wa kwanza wa uso kwa uso wa viongozi wa BRICS katika kipindi cha miaka mitatu, na pia ni mara ya tatu kwa mkutano kama huo kufanyika tena barani Afrika baada ya miaka mitano, jambo ambalo lina umuhimu wa pekee.

Itapendeza sana tukiwa katika hii BRICK
 
Brics forever
 
Itapendeza sana tukiwa katika hii BRICK
Mkuu termux wala haihitaji nguvu nyingi kujua kama tutatkua ndani ya BRICS. Kwani tutakua TU.
Nasema hivi kwa sababu Brics imeundwa na rafiki zetu wakubwa kabisa hapa Duniani.
Ambao ni south Afrika,china,Urusi na India.hawa ni mrafiki zetu wa damu.sasa Hawa lazima qatuvute nasi tuingie huko kama taifa.
Tanzania na nchi hizo ni kama Pete na kidole.
 
Nchi nyingi kutaka kujiunga na BRICS , nyuma ya pazia baadhi ya nchi zinaiunga RUSSIA ila hawataki kuonyesha wazi kuwa zimeichoka US
Zinaiunga Russia katika nini??
Russia hata sio muhimu kihivyo huko BRICS, China ndio muhimu zaidi.

Pia India iko BRICS ila inashirikiana kiusalama na Marekani dhidi ya China,

Mshirika mkubwa wa biashara wa South Africa ni China ikifuatiwa na Marekani na nchi za Ulaya
 
View attachment 2724763Mkutano wa 15 wa wakuu wa nchi za BRICS umeanza tarehe 22 mjini Johannesburg, Afrika Kusini. Huu ni mkutano wa kwanza wa uso kwa uso wa viongozi wa BRICS katika kipindi cha miaka mitatu, na pia ni mara ya tatu kwa mkutano kama huo kufanyika tena barani Afrika baada ya miaka mitano, jambo ambalo lina umuhimu wa pekee.

Baada ya miaka 17 ya maendeleo, BRICS imekuwa jukwaa muhimu kwa masoko yaliyoibukia hivi karibuni na nchi zinazoendelea kuungana na kujiimarisha. Ikilinganishwa na baadhi ya nchi za Magharibi zinazozingatia siasa za kijiografia na kuleta mgawanyiko na makabiliano mara kwa mara, nchi za BRICS daima zimezingatia kanuni za uwazi, ushirikishi, na ushirikiano wa kunufaishana, kutetea kithabiti utaratibu wa pande nyingi, na kupata mafanikio makubwa ya kushangaza, ambayo yamepongezwa na jumuiya ya kimataifa.

Kwa mujibu wa takwimu, hadi sasa kuna zaidi ya nchi 40 ambazo zimeeleza kutaka kujiunga na BRICS, na nchi 23 kati yao zimeomba rasmi kujiunga na BRICS, kwa kutoa maombi kwa njia ya barua zilizoandikwa na viongozi wa nchi. Wachambuzi wanaona kuwa, kufuatia kujumuishwa kwa Afrika Kusini miaka 12 iliyopita, safari hii mkutano huo unatarajiwa kuamua orodha ya nchi kama kundi la pili la upanuzi wa BRICS na kujadili kutunga kanuni rasmi za kujiunga na BRICS.

Kwa nini BRICS inazidi kuvutia? Kwanza kabisa, ushawishi wa nchi za BRICS duniani unaongezeka siku hadi siku. Katika miaka 17 iliyopita, nchi za BRICS zimezingatia maendeleo ya pamoja, na zimehimiza ushirikiano katika nyanja mbalimbali kama vile biashara, nishati na usalama wa chakula, na kuchangia sana ukuaji wa uchumi duniani. Kulingana na takwimu kutoka taasisi ya utafiti ya Uingereza, mwaka 2022, nchi za BRICS zilichangia zaidi pato la jumla la uchumi wa dunia kuliko Kundi la G7 la Magharibi. Hii haionyeshi tu mabadiliko katika muundo wa uchumi wa dunia, lakini pia maendeleo ya nchi za BRICS. Wakati huo huo, nchi za BRICS zimeanzisha ushirikiano wa karibu na nchi zinazoendelea na kuchangia utatuzi wa changamoto zinazozikabili nchi zinazoendelea kama vile maendeleo endelevu na kutokomeza umaskini. Kwa hivyo, nchi nyingi zaidi zinatumai kujiunga na BRICS ili kuingiza msukumo zaidi katika maendeleo yao ya kiuchumi kupitia kufunzana na ushirikiano.

Sababau nyingine ya BRICS kuzidi kuvutia ni kwamba imevunja mfumo wa nchi moja na kujitahidi kujenga dunia iliyo na ncha nyingi. Kwa muda mrefu, watu wamekuwa hawaridhiki sana na "rafiki au adui" wa baadhi ya nchi za Magharibi, ambazo zinatumia fimbo ya vikwazo na kuzilazimisha nchi nyingine kuwa upande fulani. Nchi nyingi zinazoendelea hasa za Afrika zimetengwa katika mfumo wa usimamizi duniani, na matakwa yao hayakuzingatiwa kwa uzito, wanatumai kuona BRICS kama fursa ya kujikwamua kwenye "umwamba" wa Magharibi na kulinda masilahi yao halali. Kama njia muhimu zaidi ya mawasiliano ya kimkakati kati ya nchi za Kusini duniani, kuwa na wanachama wapya sio tu kutaleta uhai mpya kwa BRICS, bali pia kutaimarisha uwakilishi na sauti ya nchi zinazoendelea na kukuza demokrasia ya mahusiano ya kimataifa.

Kujenga dunia nzuri ya kuheshimiana na kutafuta maendeleo ya pamoja ni matarajio ya pamoja ya jamii ya binadamu. Kwa sasa, kutoka mabadiliko ya hali ya hewa, usalama wa chakula, hadi msukosuko wa nishati, changamoto za kimataifa zinazidi kuwa kali na za dharura. Wakati mfumo wa jadi wa usimamizi duniani unapokuwa unashindwa kukabiliana na hali mpya, jumuiya ya kimataifa inatarajia kwa hamu BRICS kuchukua jukumu kuu na kuleta mapambazuko duniani. Kama moja ya nchi za Kusini duniani na nchi iliyopendekeza dhana ya "BRICS+", China itaunga mkono kithabiti upanuzi wa BRICS na kukaribisha washirika zaidi wenye nia moja kujiunga na familia ya BRICS mapema.
Ivi hawa Afrika Kusini tatizo la mgao wa umeme limeondoka kwenye nchi yao ndio washughulikie mambo ya Brics?
 
Hivi G7 watakubali kupoteza Hegemony yao kirahisi au itabidi wakiwashe ndio iamuliwe mfumo mpya wa dunia?
 
BRICS = Brazil Russia India China South Africa halafu Algeria anataka kujiunga , lzm hawa mzizi wa muungano watataka kujiona miamba na huo ndo mwanzo wa kuanguka kwa huo umoja , tuupe miaka 25 utakuwa chali cha mende , muungano lazm uwe na terms za kuwaleta wote pamoja mfano NATO , SADC , ECOWAS , EU etc
 
Back
Top Bottom