Zacht
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 1,009
- 2,197
Gazeti la kila siku la Ufaransa 'Le Figaro' liliripoti ya kwamba Marekani "imefanya kinyume kabisa na kile tulichofikiri wangefanya.
Paris inahofia kwamba Washington inaweza kufikia makubaliano na serikali ya kijeshi ya Niger nyuma ya Ufaransa,wasiwasi umetanda ya kwamba Kuna uwezekano wa Marekani kudhohofisha maslahi yao huko West Africa.
katika hali hiyo Marekani inadumisha ushirikiano wake na Niger kwa kumtuma balozi wake mpya nchini Niger, Kathleen FitzGibbon, ambaye anatazamiwa kuwasili Niamey hivi karibuni, kama ilivyothibitishwa na Wizara ya Mambo ya Nje.
Hatua hii ni ishara tosha ya nia ya Marekani ya kuendelea kujihusisha na kile kinachoendelea nchini Niger.
Kitendo hicho kimemkasirisha Macron na amekitafsiri kama ni usaliti wa kiushirika ambapo amesema.
"Marekani imeisaliti Ufaransa nchini Niger, na haikusema kwamba kilichotokea Niger ni mapinduzi, na sasa inamteua balozi wake."
Uhusiano kati Marekani na ufarasa kwa siku za hivi karibuni umeonekana hauko sawa ,na Marekani ameonyesha Nia ya kutokumuunga mkono Macron kitu ambacho kina tishia maslahi yake Niger.