Maswali yangu ni kama ifuatavyo:
1)Tukiachana na blah blah faida inayopatikana kwa kuukimbiza mwenge ni nini hasa baada ya mabilioni kuteketea kwenye ukimbizaji wa mwenge ni kitu gani kinapatikana.
2)Mwenge huwa unahifadhiwa wapi(Mkoa) na mahali gani(jengo)?
3)Kiongozi wa mbio za mwenge huwa...
Kwa muda Sasa kumekuwa na mijadara hisia mingi kuhusu kuwepo Kwa viumbe wa ajabu kutoka sayari za mbali "Aliens", pamoja na technolojia yao ya usafiri almaarufu kama UFO(unidentified flying object).
Dhana hii imekuwepo sana uko Marekani Kwa muda na wakeleketwa wa hii hoja wamekwenda mbali...
Enyi wanasheria mnioneshe ibara yoyote kwenye katiba yetu ya 1977 inayoelezea wajibu, haki na madaraka ya mkulima/ mfugaji katika kumiliki ardhi, kulima/ kufuga na kupata masoko.
Au nionesheni ibara inayoonesha haki, wajibu na madaraka ya mfanyabiashara ktk kupata soko, kupanga bei ya bidhaa...
habari wakuu naomba ushauri kazi zangu zinahusisha kwa kiasi fulani wateja kuwa na internet hivyo najikuta nalazimika kuwaunganisha wateja wangu na watu wa internet provider mara nyingi.
nimepiga calculation zangu nimekuta nimeunganisha takriban wateja 16 ndani ya mwezi tu hawa wote...
September 14, 2023, kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Wajumbe watano wa bodi ya Kiwanda cha Uchapaji cha Taifa (Kiuta), wanakabiliwa na tuhuma za kuuza hati ya kitalu namba 13 ya eneo la kiwanda hicho bila kushirikisha uhalali wa idadi kubwa ya...
Habari za wakti huu;
Leo nimeona nilete mjadala kidogo kuhusu Biashara ya Clearing and Forwaring Agency.Kabla ya kuingia kwenye mjadala niweke wazi kwamba mm sifanyi shughuli za C&F.Hivyo basi maoni na mtazamo wangu upo zaidi kibiashara na kiujumla na ninaamni kwamba wengine watajifunza na wale...
Habari za wakati huu wapendwa
Naomba msaada wa haraka kuhusu usajili wa jina la biashara BRELA
Nilifanya usajilin wa jina la biashara lakini kuna baadhi ya taarifa zilipelea hivyo kutakiwa kurekebishwa na nyingine kuongezwa lakini nilipoingia kwenye akaunti yangu napata ugumu wa kuendelea...
TFF Imetangaza Kuingia Mkataba wa Udhamini na Kampuni ya Sandaland The Only one wa Utengenezaji na Usambazaji Wa Jezi za Timu za Taifa za Tanzania Wenye Thamani ya Tsh Bilioni 3 kwa Muda Wa Miaka mitano.
Jezi za Timu zote za Taifa zitahusika,Taifa Stars,Timu za Wanawake na timu ngazi zote za...
Hongereni kwa majukumu ya kazi wadau wa mawasiliano. Naomba kutoa ushauri kwa makampuni ya simu kuondoa matumizi la line nyingi kwa huduma zinazofanana.
Wazo hili limenijia baada ya kutakiwa kusajili line nyingi kwa matumizi yaleyale kama jina langu. Nilifungua biashara A ambayo nilihitaji kuwa...
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ahutubia Kamati ya Vyama vya Siasa Jijini Dar es Salaam
Dar es Salaam, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alitoa hotuba muhimu leo katika mkutano wa Kamati ya Vyama vya Siasa uliofanyika jijini Dar es Salaam. Hotuba...
VVU/UKIMWI vinasalia kuwa janga kuu la afya ya Umma duniani, janga lililogunduliwa zaidi ya miaka 40 iliyopita likiwa limechukua uhai wa watu zaidi ya milioni 40.4 huku maambukizi yakiendelea katika nchi zote duniani.
Hadi kufukia mwishoni mwa mwaka 2022, kulikuwa na wastani wa watu milioni...
Tanzania, TUMELIWA. Taarifa tulizozipokea ni kwamba, bwala la kufulia umeme la Mwl. Nyerere limeanza kutoa nyufa kabla ya kujazwa maji. Mara nyingi hii inatokana na watu kupiga hela, mkandarasi anabaki hana cha kufanya zaidi ya kulipua kazi.
Hii picha inajielezea.
====
Pia soma: TANESCO...
Mheshimu sana kiongozi anayeongea bila kusoma mahali...
Baba wa Taifa alikuwa na maono ya Mbali sana.
Nafikiri tutazidi kujifunza kutoka kwake for years. Utafakiri alikuwa analijua hili la DPW Pamoja na kubadili Sheria zetu.
Moja kwa moja kwenye mada naomba kujua stahiki za mtumishi anapokuwa " UHAMISHO WA MUDA" ambao nafikiri ni siku 90 au 120 kama sijakosea.
Mimi Niko uhamisho wa muda hivyo naomba kujua haki zangu na ikiwezekana wajuzi niwekee ni sheria za kiutumishi zinasimamia jambo hili.Naona boss ananichezea...
Wakiwa kwenye Mkutano mkubwa wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF), Rais Samia wa Tanzania na Rais William Ruto wa Kenya walitaniana kuhusu Matumizi Sahihi ya Lugha za Kiswahili na Kingereza
Swali la Utani: Kati ya Kenya na Tanzania, wapi Kingereza kinazungumzwa kwa ufasaha?
Rais Samia kama unavyopenda kutumia mtandao wa X kuelezea mambo yanayohusu nchi na Watanzania ikiwemo kutoa taarifa mbalimbali za Serikali yako, nakushauri utumie mtandao huo kupata maoni ya wananchi ni namna gani wameupokea mkataba wa Bandari ambao umekuwa gumzo kuu hapa nchini.
Rais Samia...
Wasalaam nyote,
Kwenye kikao/Mkutano wa Rais Ruto na Rais Hassan, na wadau wengine Rais Ruto anasikika akisema fursa kubwa ijayo ya utajiri ipo kwenye kilimo, ameweka bayana kuwa yeye ni mdau wa kilimo, kwa kiasi amekosoa kazi ya immigration wetu kule mpakani, japo amesifu mabadiriko na...
Nilichogundua Binadamu huwa anakuaga na mipango Mingi akiwa Hana hela.
Mfano back the days Mimi na classmates zangu tuliwahi kupanga Mambo ya kuoa nk but now hao classmates wapo Sehemu nzuri wengine katika Taasisi kubwa na wengine wafanyabiashara so Hakuna hata mmoja kaoa na hawataki kusikia...
Wasalaam nyote,
Katika mikutano ya chadema hivi sasa ya +255 , swala la kuhamasisha umma kuhusu uhuni wa kuuzwa bandari zetu lipewe uzito kila sehemu, CCM hawana dhamira njema na dhati kwa nchi hii, viongozi wengi ni ni wanachama wa illuminati na freemasons.
Msitarajie huruma haitatokea...