TFF Yaingia Mkataba na Sandaland The Only one Kuhusu Udhamini Wa Jezi

kinje ketile

JF-Expert Member
Dec 12, 2015
4,314
8,306
TFF Imetangaza Kuingia Mkataba wa Udhamini na Kampuni ya Sandaland The Only one wa Utengenezaji na Usambazaji Wa Jezi za Timu za Taifa za Tanzania Wenye Thamani ya Tsh Bilioni 3 kwa Muda Wa Miaka mitano.

Jezi za Timu zote za Taifa zitahusika,Taifa Stars,Timu za Wanawake na timu ngazi zote za Taifa.

Mwendo wa Soka Letu unaendelea kuwa Bora na hivyo Wadhamini Wanazidi kujitokeza.
Yawezekana Kufuzu Afcon Imekuwa ni chagizo..
 
Tanzania kuna kampuni za kutengeneza na kusambaza kit ngapi? Naona sandaland ( simba na taifa stars ) gsm ( yanga ) tipo ( kitayose ) binslum ( coastal ) bongo ( kmc ). Azam wao wana Bagamoyo sugar ,

Taja zingine
 
Mkuu bagamoyo sugar sio kit supplier ni mdhamin tu wa Azam
 
Tanzania kuna kampuni za kutengeneza na kusambaza kit ngapi? Naona sandaland ( simba na taifa stars ) gsm ( yanga ) tipo ( kitayose ) binslum ( coastal ) bongo ( kmc ). Azam wao wana Bagamoyo sugar ,

Taja zingine
Leo ndo nimejua Bagamoyo sugar wantengeneza pia jezi!!
 
TFF Imetangaza Kuingia Mkataba wa Udhamini na Kampuni ya Sandaland The Only one wa Utengenezaji na Usambazaji Wa Jezi za Timu za Taifa za Tanzania Wenye Thamani ya Tsh Bilioni 3 kwa Muda Wa Miaka mitano.

Jezi za Timu zote za Taifa zitahusika,Taifa Stars,Timu za Wanawake na timu ngazi zote za Taifa.

Mwendo wa Soka Letu unaendelea kuwa Bora na hivyo Wadhamini Wanazidi kujitokeza.
Yawezekana Kufuzu Afcon Imekuwa ni chagizo..
Nilichofurahia hapa ni haya ya kwanza nikiringanisha na ule mkataba wa DP WORLD.
 
Back
Top Bottom