kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkurya romantic

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Epuka kufanya haya kwenye uhusiano wako

    Katika harakati zako za kutafuta mpenzi, unaweza kukutana na mwanamke ambaye kwa sababu moja au nyingine anakuondolea uwezo wako wa kufikiri, kutumia mantiki na pia kutumia akili yako ya kuzaliwa. Si lazima awe amekufanyia kitu, lakini inaweza kuwa ni ulevi wako tu unaosababisha ufanye mambo...
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Tanzania Tena! Waisrael waja kufanya uwekezaji Mkubwa wa Mahoteli Zanzibar

    Haya ndo matokeo ya kufanya kazi kwa akili na sio maguvu! Jarida maarufu nchini Israel la The Times of Israel limeripoti kuhusu Waisrael kuja kufanya uwekezaji mkubwa Zanzivar ikiwemo kujenga Hoteli kubwa za kisasa katika kukuza soko la utalii Jarida hili halijaishia hapo bali limekwenda mbali...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ashikiliwa akituhumiwa kufanya jaribio la kumuua Makamu Raia wa Argentina

    Mwanaume mmoja anashikiliwa baada ya jaribio la kutaka kumuua Makamu wa Rais wa Argentina, Cristina Fernandez de Kirchner alipokuwa akiwasalimia Wananchi nje ya nyumba yake Jijini Buenos Aires. Mtuhumiwa amenaswa na picha za video zilizokuwa mubashara akiwa na bastola kisha kuielekeza kwa...
  4. anonymousbeing

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kufanya installation ya PS4 digital

    Naombeni msaada mtu anieleze jinsi ya kufanya bishara ya kuuza ps4 na ps5 digital games bila kujailbreak
  5. U

    JamiiForums Tanzania Kufanya uchaguzi 2025 bila tume huru ni ufisadi

    Habari ndugu wadau.Tangu mwaka 1995 tumekuwa tunafanya uchaguzi hewa na kutumia fedha kiasi kikubwa wakati tuna matatizo ya kumwaga. Sasa naomba tukubaliane kama hatuko tayari kupata katiba mpya na tume huru tusifanye uchaguzi kuwafurahisha wazungu.Tutumie fedha za uchaguzi kutatua changamoto...
  6. De Professor

    JamiiForums Tanzania Nitapata wapi Muuzaji wa Kanga na Bata mzinga kwa Bei ya Shamba?

    Habari zenu wakuu. Pasipo kupiga chenga nyingi ni kwamba ninataka kuweka mifugo shambani hasa Kanga na Bata Mzinga, Nipo Dar ila kwa wauzaji wa Dar bei zao zipo juu sana nataka kwa Bei ya shamba. Kama wewe unao kimojawapo au unaweza kuniunganisha na wauzaji wa bei ya chini kabisa nipatie tafadhali.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje binti unataka kumuoa, anakubali ila anakuwekea ulazima wa kufanya sherehe ya harusi?

    Hii imetokea kwa wanaume wawili ninaowafahamu wako in their late 20's wana wachumba zao washatambulishana hadi kwa wazazi. Katika story za hapa na pale hao wakaka wanalalamika kuwa wanawapenda wachumba zao na wanataka kuwaoa, shida hao wadada wanasema wanataka sherehe ya harusi wakati vipato...
  8. masikini tajiri

    JamiiForums Tanzania SoC02 Namna ya kufanya kazi na maadui sehemu ya kazi

    Umewahi kupata wazo kuwa mtu kazini kwako hana nia njema na wewe? Je, wakati mwingine unahisi kuna watu fulani unaofanya nao kazi ni wabaya wako? Inawezekana isiwe uadui wa moja kwa moja lakini kuna ile hali ya kutokuamni wenzako. Unajisikia haupo salama unapomsikiliza mtu lakini hujui ni...
  9. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania mtaacha lini kufanya kazi kisiasa?

    Aliyefukuzwa TRC apekuliwa na polisi Summary Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limefanya upekuzi nyumbani kwa aliyekuwa Meneja Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limefanya upekuzi nyumbani kwa aliyekuwa Meneja wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Kanda ya...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aendelea kufanya makubwa wilaya ya Ludewa, amwaga mabilioni

    RAIS SAMIA AENDELEA KUFANYA MAKUBWA WILAYA YA LUDEWA, AMWANGA MABILIONI. Rais Samia Suluhu Hassan amepania kupeleka maendeleo makubwa Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe kama ambavyo amekuwa akifanya kwa Nchi nzima kwa ujumla. Rais Samia kupitia TARURA amefanikiwa kufungua Barabara ya Lifuma-...
  11. Mkemia Fred James

    JamiiForums Tanzania Makosa ambayo "HUPASWI" kufanya Duniani

    1. Usivichukulie "POA" vitu vidogovidogo kwasababu vitakugharimu. 2.Usiseme Uongo kwa kumfurahisha mtu ni heri kumuumiza kwa ukweli.Hio itasawasaidia kuokoa muda na maumivu hapo baadae. 3.Wanadamu wa leo hawaaminiki na hawazoeleki.Usimwambie kila mtu siri za maisha yako hasa katika maswala...
  12. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Hakuna mbunge atakayethubutu kuukosoa utawala wa Rais Samia, kwa sababu kwa kufanya hivyo atahatarisha nafasi yake

    Huo ndiwo ukweli. Wawakilishi wa wananchi hususani wabunge wote ni waoga kuukosoa Utawala wa Samia kwa hofu kubwa ya kutokuteuliwa 2025 kuwa wagombea wa nafasi hiyo. Kama yupo awaye na matarajio hayo ni bora ayafute. Ifahamike wabunge wote waliopo mle bungeni kwa sasa ni zao na bila kupepesa...
  13. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo 10 ambayo Magavana wa Kenya Hawaruhusiwi kufanya

    Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) imebuni kanuni zitakazoweka kikomo na kuelekeza kile Magavana 45 walioapishwa hivi karibuni wanaweza kufanya na wasichoweza kufanya wanapokuwa Ofisini Kupitia Sheria ya Uongozi na Uadilifu, Magavana hawataruhusiwa kufanya biashara kama vile raia...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Bunge laipa TRA siku 30 kufanya maboresho ya mifumo yake

    Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeipa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mwezi mmoja (sawa na siku 30) kuipelekea mpango kazi wa namna walivyojipanga kukabiliana na hoja za kikaguzi zilizoainishwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Makamu Mwenyekiti wa PAC...
  15. Tukuza hospitality

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tunaweza kufanya Mapinduzi ya Kilimo Tanzania kwa kulima wakati wa Kiangazi

    Kwa miongo mingi nchi nyingi zinazoendelea, ikiwemo Tanzania, ambazo kilimo ni nguzo kuu ya uchumi, zimekuwa zikitegemea kwa kiasi kikubwa mvua katika kufanya kilimo. Kilimo cha aina hii kilifanikiwa kwa kiasi chake miaka ya nyuma (tuseme miaka ya 1980 na kurudi nyuma), wakati hali ya hewa ikiwa...
  16. Really Kamodo

    JamiiForums Tanzania Jambo lipi ni muhimu kufanya ili kumuinua kielimu kijana ambaye ni taifa la kesho?

    Tumekua tukikalilishwa sana Watanzania kwamba elimu ni ufunguo wa maisha. NDIYO Elimu ni ufunguo wa maisha, lakini pia tukumbuke kwamba Elimu hiyo tunayowapa vijana wetu inawajenga vipi kifikra vijana wetu. Je, inawasaidia au ndio inawaharibu kisaikorojia? Tunajua hakuna jambo lenye faida tu...
  17. Rhz4567

    JamiiForums Tanzania Msaada wa nini cha kufanya baada ya panya kula pesa

    Panya wametafuna pesa zangu zaidi ya laki tano,pesa zingine wametafuna kabisa Nikizipeleka benki watazikubali kweli kwa hizi nilizo zipiga picha
  18. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FAHAMU: Katiba inamzuia Rais wa Kenya kufanya haya baada ya Uchaguzi Mkuu

    Kwa mujibu wa Katiba ya Kenya, baada tu ya Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9, 2022 Rais alipoteza; Mamlaka ya kuteua Majaji wa Mahakama Kuu, kuteua Afisa yeyote wa Umma, kuteua au kumfukuza kazi Katibu wa Baraza la Mawaziri, Katibu Mkuu na Maafisa wengine wa Serikali. Kwasasa hawezi kutumia Mamlaka ya...
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Serikali ipambane na suala la afya ya akili kwa Watanzania kabla ya kufanya mambo mengine makubwa.

    Hamjambo humu ndani? Tatizo la upungufu wa akili miongoni mwa wanajamii ya Kitanzania limekuwa kubwa sana. Vijana kwa wazee. Serikali iboreshe lishe kwa jamii hali ngumu. Nguvu kazi hasa vijana wana ukosefu wa akili na wengine wana upungufu wa akili kichwani. Vijana wa nchi hii wasomi kwa...
  20. Nangu Nyau

    JamiiForums Tanzania Ujumbe: Taifa hujengwa kwa watu kufanya kazi kwa bidii, nguvu na akili nyingi na sio mizahamizaha na kuendekeza ujinga

    "Asiye fanya kazi na asile" hii aya ipo kwenye kitabu cha Biblia na ni maneno ya Mwenyezi Mungu kupitia nabii wake Yesu kama sijakosea. Waislamu kuna mahala wanaambiwa wakishafanya ibada watawanyike wakatafute ridhki. Hata dini zinaamini kwenye kufanya kazi. Watanzania na Waafrica tunaumiza...
Back
Top Bottom