kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Iran kwa Urusi kumponza, Ulaya waanza kujadili cha kufanya

    Uzalendo ulishinda Iran ikaamua kutoa msaada kwa Urusi ambayo inachezea kichapo, ila sasa huo msaada utaiponza Iran maana EU waanza kujadili watakachoifanyia Iran, ikiwemo vikwazo kwa makampuni ya Iran na mambo mengine. Iran wamejaribu kujitetea sana na kukana kutoa msaada wowote ila ndio basi...
  2. MK254

    JamiiForums Tanzania Askari wa kidini Iran waanza kuingia kwenye shule za wasichana na kufanya mauaji kwa wanaoshukiwa kuandamana

    Mapolisi ya kijihadi yanazunguka kwenye shule za wasichana na kutembeza kichapo cha mbwa kwa vibinti huku wakisababisha mauaji, hii yote kisa wanampigania "mungu" na uislamu.... Huku mayatollah yakiendelea kulaumu Marekani na Israel.... Security forces are increasingly raiding schools and...
  3. Troublemaker

    JamiiForums Tanzania Kufanya biashara na Watanzania mtandaoni ni taabu sana

    Sijui hata nani kawaloga. Unaweka maelezo yote kamili bei na njia ya mawasiliano etc. Anakuja mtu anakuuliza maswali ambayo majibu yake kwenye maelezo ulishaweka. Yaani mwisho wa siku ni usumbufu tu. Anakwambia naomba picha zaidi wakati picha za kutosha umeshaweka kwenye tangazo. Mwingine...
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa kikosi cha Urusi nchini Ukraine asema hali ni tete katika jiji la Kherson

    Kwa kichapo ambacho Warusi wamekua wakipokea, tumeshuhudia hadi timu humu JF walikua wameufyata kwa aibu, ila baada ya huyu jenerali kuteuliwa kuongoza mashambulizi, ghafla nimeona muamko mpya kote. Watu wanamsifia kwamba huwa hana huruma, ana sifa za kuua watoto na wananchi wa kawaida kule...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Chagua Kisingizio Kimoja tu cha Kujitetea kwa Mashabiki wa hovyo baada ya Msudani kufanya yake

    1. Refa katuonea Saba 2. Tumefanyiwa Fujo 3. Tulipuliziwa Dawa Vyumbani 4. Tumerogwa sana 5. TFF ilitutenga haikutupa Mbinu 6. Mashabiki zetu walizuiwa Kuingia Uwanjani 7. Tumejitahidi ila Malaika Bahati hakuwa upande Wetu Bado GENTAMYCINE tena kwa Kujiamini kabisa nasisitiza kuwa hata Jumapili...
  6. Konseli Mkuu Andrew

    JamiiForums Tanzania Napendekeza taasisi binafsi ziruhusiwe kufanya uchunguzi katika Cyber Crimes

    Serikali kupitia wizara husika inapasa kufanya mabadiliko kidogo katika sheria ya uhalifu wa kimtandao ya mwaka 2015 yaani Cyber Crimes Act , 2015 kwani tangu ilipoanzishwa na kupitishwa na Bunge tarehe 22 .05.2015 polisi ndio wamepewa mamlaka ya kufuatilia uhalifu na uchunguzi juu ya masuala ya...
  7. music mimi

    JamiiForums Tanzania Najipanga kufanya harusi rahisi sana, naomba mawazo yenu

    Tofauti na watu wengi mimi siyo muumini wa harusi kubwa zenye mbwembwe nyingi. Hivyo nimepanga harusi yangu iwe rahisi sana na nitagharamia kila kitu mwenyewe. Sijui mke mtarajiwa atachukuliaje ila nitajitahidi kumuelewesha wazo langu mpaka aelewe. Wazazi nao nitawaelewesha maana wao ni...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mchambuzi Oscar Oscar atabiri Yanga kupindua matokeo Sudan kwa kufanya hivi

    Mchambuzi Oscar Oscar ametoa mtazamo wake kuhusu marudiano ya Yanga na Al Hilal.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini kufanya kazi kwa Wahindi ni changamoto sana?

    Nimetafakari sana juu ya hali ya wafanyakazi wanaofanya kazi katika kampuni na mashirika mengi yanayoendeshwa na Wahindi na kugundua kuwa kuna vitu havipo sawa, hasa kwenye ngazi za kiutendaji. Kuanzia kariakoo mpaka sehemu nyingine nchini asilimia kubwa ya wafanyakazi huwa hawapewi mikataba...
  10. Gidamarirda

    JamiiForums Tanzania Umewahi Kufanya Ultrasound Katika Kipindi cha Ujauzito?

    Na Je unafahamu Umuhimu wa Kufanya Kipimo Cha Ultrasound katika Kipindi cha mimba? Niko hapa kujibu maswali uliyonayo kuhusu kipimo cha Ultrasound!
  11. Championship

    JamiiForums Tanzania John Bocco huwa anaingizwa kufanya nini kwenye mechi za kimataifa?

    Bocco anayo rekodi nzuri pale Simba na hakika mchango wake ndani na nje ya uwanja hauwezi kusahaulika. Ila kwasasa ni vizuri uhalisia ukazingatiwa, John umri umemtupa mkono. Mechi za kimataifa zinataka kasi na umakini mkubwa. Leo amepoteza mipira mingi sana kwa dakika chache alizocheza...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari mkipata nafasi ya kufanya mahojiano na rais/mstaafu muulize tuhuma za wizi wa kura

    Juzi baadhi ya wanahari walipata fursa ya kuhojiana mstaafu Kikwete wakati wa birthday yake. Kama ilivyo kawaida ya waandishi wetu walishindwa kumuuliza maswali magumu. Maswali mengi yalikuwa ya kiudaku. Angeombwa atoe maoni yake juu ya tuhuma za wizi wa kura katika chaguzi mbalimbali. Bila...
  13. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Tanzania kufanya msako dawa nne zilizozuiliwa na WHO

    Serikali ya Tanzania imesema, inafanya ukaguzi maalumu ili kubaini iwapo aina nne ya dawa zilizopigwa marufuku na Shirika la Afya Duniani (WHO), zimeingia katika mzunguko nchini humo. Jana Jumatano, Oktoba 5, 2022, WHO ilizitangaza dawa hizo kutoka India kuwa ni hatari na zimesababisha vifo kwa...
  14. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania WanaCHADEMA tubadilike, ACT-Wazalendo wanatuzidi sana kufanya siasa za weledi, sisi tumebakiza kulalama Twitter

    Utasikia vijana wa CHADEMA wapo Twitter kulalama bila kutumia political sense of morals. Utasikia wanakomalia mambo ya ajabuajabu tu bila hata kujali juu ya mambo ambayo yatakipaisha chama chetu. Harakati za kisiasa bila common sense. Ona wenzetu. 👇
  15. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo mwanaume unatakiwa na hutakiwi kufanya kwenye mawasiliano ya simu

    1. Usipige simu ikaita hadi ikakata. Huko ni kujikosea heshima. Labda uwe unapigia wazazi. 2. Usimpigie mwanaume mwenzako video call. Labda iwe kuelekeza kazi. 3. Isipigepige simu sana, pia usipige simu ukiwa na shida tu. 4 .........
  16. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufanya kazi kwa miaka saba, Trevor Noah ameachana na The Daily Show

    Mchekeshaji Trevor Noah kutoka SA ameachana na kazi ya kuhost kipindi cha habari na vichekesho cha The Daily Show.
  17. Contraband

    JamiiForums Tanzania Unapotaka kufanya biashara epuka kabisa madalali wa uswahilini. Kilichonikuta kimenipa funzo

    Nipo kwenye mkoa mmoja kwa muda sasa kikazi. Baada ya kukaa kufikiria kwa muda mrefu sana, nikaona ni vema nikijenga ka kibanda cha kujisitiri. Basi katika kuulizia ulizia kuna mtu mmoja alifanikisha kuniunganisha na madalali na akaniahidi kuwa ni wa uhakika katika biashara za viwanja...
  18. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Naweza kufanya mitihani ya board kwa cheti cha diploma?

    Ni matumaini yangu wote wazima humu ndani. Nimesoma diploma ya procurement and logistic management ila baada ya kuingia bachelor degree nikabadilisha course na kusoma business management, naenda miaka 6 sasa hivi bila ajira, naona nilikosea kubadilisha course. Naomba kujua kama ninaweza kufanya...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto akana kufanya kazi kwa siri na Uhuru Kenyatta

    Rais wa Kenya, William Ruto amekanusha madia hayo kuwa alifanya kazi kwa siri na Uhuru Kenyatta wakati wa kampeni za uchaguzi wa Rais wa Agosti 9, 2022. Tetesi ni kuwa walikuwa wakifanya kazi pamoja huku Kenyatta akidanganya umma kuwa anamuunga mkono mgombea wa Azimio, Raila Odinga. Ruto...
  20. Noizee maker

    JamiiForums Tanzania Nilipokosa cha kufanya kwa simu yangu nikaamua kutongoza customer care

    Siku moja niko zangu nimetulia tu hata sijui siku inaendaje,basi wakati nachezea simu mara paap nikapata wazo la kutongoza customer care 😂 Chap tu nikapiga 100 kila nikisikia sauti ya kiume nakata mara paap mtoto akapokea, hello naitwa mary unaitwa nani na unapiga simu kutoka wapi? Nikamjibu...
Back
Top Bottom