Nilipokosa cha kufanya kwa simu yangu nikaamua kutongoza customer care

Noizee maker

Member
Sep 4, 2022
93
484
Siku moja niko zangu nimetulia tu hata sijui siku inaendaje,basi wakati nachezea simu mara paap nikapata wazo la kutongoza customer care 😂

Chap tu nikapiga 100 kila nikisikia sauti ya kiume nakata mara paap mtoto akapokea, hello naitwa mary unaitwa nani na unapiga simu kutoka wapi?

Nikamjibu jina langu naitwa noizee napiga simu kutoka Sinza. Kwa sauti nyororo mtoto akajibu okay asante kwa kutupigia nini tatizo lako tupate kukuhudumia?

Baada ya kusikia hivyo kichwa langu likadata nkazuga kwanza, nikamjibu sms zangu zote nazotuma hazifiki sijui hata shida nn wakati nina salio kama la mwezi hivi. Kwa sauti nyororo mtoto akajibu shida hiyo ni kwenye laini hii tunayowasiliana nikamjibu ndio akasema subiri kidogo usikate simu wakati nalishughulikia tatizo lako

Baada ya sekunde kadhaa mtoto akajibu tatizo lako limeshashughulikiwa unatatizo lingine ,hapo nikajikuta naropoka tu. Ukweli kabisa nimefurahi ulivyomkarimu na nimevutiwa na nimefurahi kukusikia tu kwa simu amini ya kuwa umenitia uwazimu hebu kama upo single nipe hiyo nafasi adimu. Kwa kukazia kidogo mtoto akajibu heeeh mbona umefika mbali? Je kama nimeolewa,nikampooza kdg mm nilikuwa najaribu tu nafasi mamaaa

Akajibu noizee acha usumbufu kata simu unajua hii ni simu ya ofisini? Nikamjibu sawa hamna shida kama unataka kunipa jibu langu utanicheck humu kwa no yangu. Haukupita mda mrefu ikaingia sms "save no yangu ndo mm yule customer care " Daah kifuatacho maongezi yaliendelea kama kawaida na mpaka sasa nishamuona yupo vzr story ikaishia hapo@noizee maker
 
Mimi nilifanyakaz call center wakat nasoma nimeish sana na wateja yaan i mean sana mpaka nikawa naogopa kuacha kaz nitapoteza access to the kingdom.

Ila Mungu ni mwema sana nilizivuka salama zile changamoto za ujana japo ziliniletea karma nyingi mno mno maana hakuna chozi litakalienda bila kulipiwa nililipia gharama kubwa za uzumbukuku wangu nakuhusia pia kijana kwamba hakuna heshima kwenye ukahaba zaid ya laana tu za hapa na pale
 
sasa kijana kama ww ukapewa mradi uliosimama wenye thamani ya 34m na ac bank ukawekewa salio la 12m hvi utaweza kuendeleza mradi au utaanguka. nimeweka mahesabu makubwa ili ujiamini but kwa akili ya uandishi wako naona kabisa mradi na bank ac zote zitayeyuka
 
Chai
IMG_20220922_173557.jpg
 
28 Reactions
Reply
Back
Top Bottom