kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gavano23

    JamiiForums Tanzania Usalili wa TA INFORMATION SYSTEMS IFM

    Wale wadau wa IT em tusaidiane mawazo jana nilifanikiwa kufanya mtihani wa TA information systems IFM lakini cha kunishangaza nilikutana na pepa ya system administrator...mpaka kuna swali 1 linasema as system administrator ......je hili ni sahihi? Au ni uhuni wa utumishi ktk kuendesha michakato...
  2. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania ZIARA : Shaka Kufanya ziara Kwenye daraja Jipya la Wami lenye urefu wa mita 510 lililogharimu TZS 76BL,Je nani kuliwa kichwa?

    Nawasalimu kwa jina la JTM, Ziara za Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi wa CCM Taifa ndugu Shaka Hamdu Shaka zimekuwa zikiacha vilio kwa wazembe na wapigaji katika maeneo ya miradi mbalimbali hapa chini, Je, tutarajie pia kesho kunamtu ataliwa kichwa na Katibu huyu wa NEC itikadi &Uenezi wa CCM...
  3. kavulata

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya kutuamulia Tanzania na Uganda nini Cha kufanya ni kutudharau?

    Bunge la Ulaya limesema kuwa ni marufuku Tanzania na Uganda kujenga bomba la mafuta na gesi kutoka Uganda kwenda Tanga Tanzania kwakuwa mradi unachafua mazingira na unadhulumu watu linakopita ni sawa? Maswali hapa ni: 1. Wazungu wanapata wapi nguvu hii ya kutuamulia sisi nini kizuri na nini...
  4. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Je, binadamu anawezaje kufanya miujiza?

    Toka kujielewa kwangu mimi nimependa sana kurahisisha kazi ila kama tujuavyo mashine zinaturahisishia kazi ila sidhani kama inazidi miujiza najua kuna wataalamu wengi humu waje watueleze mimi binafsi napenda miujiza ya kunyanyua vitu bila kushika ni jinsi gani nitafanya hili bila kutumia...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Charles Kitwanga: Sioni umuhimu wa Nchi kufanya Sensa kila baada ya miaka 10

    Mwanasiasa, Charles Kitwanga amesema haoni umuhimu wa Serikali kufanya Sensa nyingine baada ya miaka 10 kwa kuwa kuna njia nyingine za kupata idadi ya watu tofauti na hiyo iliyotumika. Amesema kwa kuwa idadi ya watu imeshajulikana, Serikali itengeneze utaratibu wa kidigitali wa kuongeza watu...
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani huwezi kufanya kwenye gari yako?

    Hapa jamvini kuna wenye magari na wapo ambao wanaendelea kuyatafuta magari na siku hizi gari sio anasa tena ni hitaji la muhimu, hivyo basi ndoto ya wengi ni kuwa na gari. Ukiwa na gari yako, je vitu gani ungependa kulifanyia gari yako? Na vipi usingependa kulifanyia gari yako? Mwingine...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali kufanya marekebisho Sheria ya Leseni za Biashara

    Kutokana na mabadiliko ya teknolojia, uchumi na mwenendo wa biashara, Serikali imeanza mchakato wa maboresho ya sheria ya leseni za biashara sura namba 208. Huu ni mwaka wa 50 tangu sheria hiyo itungwe mwaka 1972, hivyo maendeleo ya sekta ya biashara yamesababisha haja ya mabadiliko yake...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Baada ya kwenda kufanya manunuzi, nimeazimia kumrudisha nyumbani kwao

    Kwema wakuu, Nianze kwa kusalimia wanaume wenzangu wote mliooa. Shikamooni! Taikon wikiendi nilitembelewa na hsemeji yenu. Safari hii akaniambia kuwa amekuja moja kwa moja, yaani anataka tufanye maisha. Nilifurahi sana si unajua tena. Basi jana tulienda kuhemea vitu vya ndani. Nilichokutana...
  9. royal tourtz

    JamiiForums Tanzania naomba kujua namna ya kufanya biashara ya kuweka mashine ya kubetisha, kama gal sport

    za mda huu waku hapa, nimekuwa nikiona watu wanafungua office ya kubetisha kama gal sport na nyingine kama hizo, kama kuna mtu anajua taratibu zake za kufata na namna ya kupata faida naomba anielekeze hapa
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini Polisi wameanza kufanya kazi za Trafiki?

    Tofauti na tulivyozoea, polisi kitengo cha trafiki wenye uniform nyeupe ndio wawe wanashugulika na mambo ya magari, kwa sasa polisi wa vitengo vingine wanaingia barabarani kufanya kazi za matrafiki. Mbaya zaidi inaonekana wazi lengo ni kucheza mchezo uleule wa matrafiki!
  11. MK254

    JamiiForums Tanzania Urusi wakiri kupokea kichapo Kharkiv, huku wananchi wa Ukraine wakijitokeza kufanya usafi

    Wizara ya ulinzi ya Urusi imekiri kuondoa wanajeshi wake Balakliya na Izyum, hii ni kutokana na mapigo wanayopokea kutoka kwa wazalendo wa Ukraine na huu ushindi umewapa mzuka mpya raia wa Ukraine ambao wengi wamejitokeza kufanya usafi....... ========================== CHUHUIV, Ukraine — After...
  12. MSONGA The Consultant

    JamiiForums Tanzania Kuwa Kinara Sokoni (Being The Market Leader) Bila Kufanya Matangazo

    Mara nyingi ninapokutana na wamiliki au wakurugenzi wa makampuni (Business Executives), huwa nawauliza ni njia ipi huwa wanatumia kujijenga sokoni "market leading branding" wengi wanasema kufanya matangazo (advertising) ndio njia muafaka, kwa sababu; matangazo hujenga uelewa wa huduma au...
  13. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Afande Sele: Magufuli alikopa na kufanya makubwa, sasa hivi wanakopa na hakuna linaloonekana

    "Unajua kwenye each one teach one hatupingi mikopo, lakini tunapinga aina ya mikopo na kile ambacho kinatumika kupitia hiyo mikopo. Yaani, hiyo mikopo ina impact gani kwa wananchi inayoeleweka. Ni kama vile wewe umeenda kwa bwasheee kukopa unga au mafuta kwa sababu watoto wako wale" "Sasa wewe...
  14. Kindokomile

    JamiiForums Tanzania SoC02 Madalali wa vyumba kusimamiwa na Mwenyekiti wa Mtaa na shughuli zao kufanya kwa teknolojia kuondoa changamoto zinazowakumba wao na wateja wao

    MADALALI WA VYUMBA MAJUKUMU YAO KUSIMAMIWA NA MWENYEKITI WA MTAA ILI KUPATA SULUHISHO LA KUTATUA CHANGAMOTO ZINAZOWAKUMBA MADALALI PAMOJA NA WATEJA WAO KATIKA SHUGHULI ZAO ZA KILA SIKU. Madalali ni watu ambao wanarahisisha shughuli za mahitaji ya watu kwa urahisi kwa kuwa daraja baina ya mwenye...
  15. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Bado tunamsubiri Tundu Lissu na dereva wake ili kufanya uchunguzi

    Dar es Salaam. Ikiwa ni miaka mitano imepita tangu Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu kushambuliwa, Jeshi la polisi limesema bado linaendelea kumsubiria mwanasiasa huyo na dereva wake. Lissu ambaye anaishi nchini Ubelgiji alishambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 Septemba 7, 2017...
  16. I

    JamiiForums Tanzania SoC02 Lengo la kufanya biashara au kuanzisha biashara

    kwanini tunafanya biashara? Mfanya biashra ambae hufanikiwa ni mfanya biashara ambaye huanzisha biashara akiwa amejiwekea malengo yake binafsi. Malengo aliyojiwekea mfanya biashara ndicho kitu pekee kitakacho mfanya au kitakachoonyesha kuwa mfanya biashara huyo amefanikiwa atafanikiwa. Ni kweli...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwanaume hawezi kukupenda kama anavyompenda mke wake, never ever!

    Anaandika Robert Heriel. Haijalishi atakuambia nini, haijalishi atakupa nini. Mwanaume hawezi kukupenda Kama anavyompenda mkewe. Hilo wala sio siri, wanaume wote duniani tupo hivyo. Asije akakudanganya mtu kuwa ati anakupenda kuliko mkewe huo ni uongo na amekuona hamnazo kichwa maji. Ndio...
  18. Joh97

    JamiiForums Tanzania Elimu ya biashara kwa vijana wanaotaka kuanza

    Vijana tulio wengi mara nyingi tunakwama sana kwenye biashara kutokana na kupeana mawazo ya maandishi na siyo ya mazoezi unakuta vijana wengi tunakuwa na mitaji ambayo kweli tuki isimamia vyema ni rahisi kufanikiwa ila tunashindwa namna ya kufanya bishara kinachotufelisha mara nyingi ni...
  19. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Ni halali Wazanzibari kufanya kazi za Watanganyika?

    Hivi ni halali kwa Wazanzibari kuajiriwa Tanganyika kama waalimu bila ya kuwa na vibali vya kufanya kazi? Ni halali Wazanzibari kuajiriwa kama watendaji wa mitaa na Kata? Ni halali kwa Mzanzibari kuteuliwa kuwa Mkuu wa mkoa au wilaya huku Tanganyika? Ni sawa kwa Mzanzibari kupewa Leseni ya...
  20. Maji Chai

    JamiiForums Tanzania Natafuta real risk taker tujilipue kufanya western union carding( dirty money is also money)

    Wakuu habari, Kama kichwa kinavyojieleza sitaki kuteta sana naenda straight forward mtaani kumekuwa kugumu kwelikweli mishe hazionekani all legit work zimeadimika tozo zimekuwa nyingi nimefikiri ya kufanya na sasa nimefikia into a conclusion kufanya carding tu nijiokoe na haya maisha. Kama...
Back
Top Bottom