Kwanini Polisi wameanza kufanya kazi za Trafiki?

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,032
Tofauti na tulivyozoea, polisi kitengo cha trafiki wenye uniform nyeupe ndio wawe wanashugulika na mambo ya magari, kwa sasa polisi wa vitengo vingine wanaingia barabarani kufanya kazi za matrafiki.

Mbaya zaidi inaonekana wazi lengo ni kucheza mchezo uleule wa matrafiki!
 
Kama uko makini Tanzania hatuna jeshi la usalama barabarani, ila tuna jeshi la polisi ambamo ndani yake kuna kitengo ama vikosi vya usalama barabarani (traffic police), kwa misingi hiyo hakuna lililo haribika ni vitengo tu vya ofisi yao ila wote ni polisi
Wana umuhimu Mkubwa hivyo kujazana barabarani au pia wanatakiwa kuwathibiti panya road!?
 
Tofauti na tulivyozoea polisi kitengo cha matrafki wenye uniform nyeupe ndio wawe wanashugulika na mambo ya magari, kwa sasa nao polisi wa vitengo vingine wanaingia barabarani kufanya kazi za matrafki, mbaya zaidi inaonekana wazi lengo ni kucheza mchezo ule ule wa matrafki

Njaa hiyo wako kwenye kula kwa urefu wa kamba zao
 
Tofauti na tulivyozoea, polisi kitengo cha trafiki wenye uniform nyeupe ndio wawe wanashugulika na mambo ya magari, kwa sasa polisi wa vitengo vingine wanaingia barabarani kufanya kazi za matrafki.

Mbaya zaidi inaonekana wazi lengo ni kucheza mchezo ule ule wa matrafki!
IGP mpya suruali zimempwaya

jambo la kushangaza vibaka mtaani wameongezeka na polisi wameacha majukumu yao
 
Huku panya road wanasumbua, polisi wanajazana barabarani kutega ya brashi...
 
Tofauti na tulivyozoea, polisi kitengo cha trafiki wenye uniform nyeupe ndio wawe wanashugulika na mambo ya magari, kwa sasa polisi wa vitengo vingine wanaingia barabarani kufanya kazi za matrafiki.

Mbaya zaidi inaonekana wazi lengo ni kucheza mchezo uleule wa matrafiki!

Bora ukutane na huyo wa kushoto siyo hiyo n*'ombe nyingine hapo:

IMG_20220912_214022_917.jpg
 
Back
Top Bottom