kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Sothbys kufanya mnada wa almasi yenye karati mia 3 ambayo inakadiriwa kuwa na thamani ya dola milioni 15 za kimarekani

    Sothbys kufanya mnada wa almasi yenye karati mia 3 ambayo inakadiriwa kuwa na thamani ya dola milioni 15 za kimarekani.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kufanya Mapenzi mara kwa mara kunasaidia kuifanya ngozi ya mwanamke iwe nyororo na isiwe na chunusi?

    Hivi ni kweli kuwa kwa mwanamke kufanya mapenzi mara kwa mara kunamsaidia kuondoa chunusi na kuifanya ngozi yake kuwa nyororo na yenye mng'aro angavu? Kuna uelewa wa kitaa kuwa sex inamsaidia sana mwanamke kutokua na chunusi. Na hata wanawake ambao wanajulikana hawafanyi sex mara kwa mara...
  3. JamiiForums Tanzania Waasi wa M23 waomba kufanya mazungumzo na Uhuru Kenyatta

    Kundi la waasi la M23 siku ya Ijumaa lilikaidi wito wa kusitishwa kwa mapigano, likitaja mashambulizi ya mara kwa mara kutoka kwa jeshi la Kongo, FARDC, lakini wakaomba kukutana na mpatanishi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Uhuru Kenyatta na Rais wa Angola Joao Lorenco, kutetea malalamiko yao...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jeshi la Kenya dhidi ya M23: Je, Kenya itaweza kufanya kile ilichofanya Tanzania mwaka 2013?

    Inakuaje brothers and sisters, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Leo ndio siku ya mwisho waliopewa waasi wa Congo ili kusalimisha silaha zao kwa serikali, kinyume na hapo hatua kali za kijeshi zitachukuliwa kwa kundi lolote la waasi ambalo limekaidi amri hiyo. Na oparation hiyo...
  5. JamiiForums Tanzania Ajali ya ndege Bukoba ni matokeo ya uzembe na kufanya kazi kwa mazoea.Tuwajibishane ili tusirudie makosa

    Yamesikika mengi kuhusiana na ajali ya ndege ya PW kule Bukoba, yamesemwa mengi na wanasiasa na wasio wanasiasa. Kila mtu anasema la kwake, lakini moja na lenye uhakika ni kuwa, kuna watu wanapaswa kuwajibishwa kwa ajali ya ndege Bukoba. Tumepoteza ndugu, marafiki na jamaa zetu kwa sababu ya...
  6. JamiiForums Tanzania Mambo 4 ya kufanya Instagram kupata followers zaidi

    Profile visits ni idadi ya watu wanaotembelea ukurasa wako wa Instagram unaweza kuangalia kupitia insights kufahamu kuhusu profile visits kupima maendeleo ya ukurasa wako Ili kuwa na profile visits kubwa unapaswa kufanya mambo yafuatayo BIO OPTIMIZATION Hiki ni kitendo cha kutumia maneno...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Nguvu inayotumika kunyukana kwenye chaguzi za CCM iwaamshe wapinzani wafikirie upya namna ya kufanya siasa

    Inavyoonekana kupata uongozi ndani ya ccm ni jambo la kufa na kupona ndio maana uchaguzi wao una vitimbi na vituko vingi Kwa kiwango cha kufuatiliwa sana na wafuasi na wasiowafuasi. Kilichonitisha ni misuli inayotumika kushinda uchaguzi. Misuli hii inawajengea ccm uzoefu wa kushinda kwa njia...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Vijana kufanya maandamano kumuunga mkono Rais Samia kuelekea 2025

    Vijana wanne kwa kila wilaya wameandaliwa kufanya maandamano Mkoani Dodoma baada ya mkutano mkuu wa uchaguzi wa UVCCM. Maandamano hayo yatakuwa ya kuonyesha vijana wanamuunga mkono Mama Samia awe mgombea pekee wa CCM Mwaka 2025. Pia vijana hao watatoa tamko kali sana kwa wanaompinga Mama Samia...
  9. JamiiForums Tanzania Msitegemee wale wa 'Bwege Nation' kufanya kama wanavyotakiwa kufanya wa Kenya

    "Polisi msiwe na Upande wa Siasa..Tunataka Polisi iwe huru na isibague watu kadri ya Mitizamo yao ya Siasa. Tunataka Polisi iwalinde ndugu zetu wa Upinzani sawa na Inavyowalinda walio Serikalini sababu sisi ni wamoja na wote tunalipa kodi” Rais wa Kenya William Ruto Chanzo: Mitandao ya Kenya...
  10. JamiiForums Tanzania Kama ujenzi wa barabara ya Morogoro - Dar hauzidi bilioni 300, sioni sababu ya kufanya Private Public partnership, kisiasa italeta kelele

    Morogoro Dsm ni kilometa hazizidi 200, hata kama kilometa moja ni bilioni moja, haizidi bilioni 200, hivi kama nchi tunakosa fedha hizi? Na asilimia kubwa ya eneo Hilo fidia ni kidogo. Tiweke mpango wa miaka minne Kila mwaka tutenge bilioni 100, tutaepuka political issues na pia inawezekana...
  11. JamiiForums Tanzania RC Makalla: Serikali haitaweza kufanya kila kitu, mengine fanyeni wenyewe

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Amos Makalla amewaasa wakazi wa wilaya ya Ubungo kuacha kuwaza kila kitu kitafanywa na Serikali badala yake katika baadhi ya mambo wanatakiwa kufanya wenyewe kwa kushirikiana na wadau kutoka sekta binafsi. Hayo ameyasema leo Jumanne Novemba 15, 2022 baada ya...
  12. JamiiForums Tanzania Kama una kijana hana la kufanya nyumbani, usimuache na watoto wa kike au wa kiume peke yao

    Kisa cha kweli, Mtoto alikuwa analelewa na bibi yake Naye bibi kalundika vijana wasio na kazi wanakula bure na kulala bure, mmoja wa vijana ana tabia ya kuwalawiti watoto huyu wa sasa ni watatu. Issue ikajulikana Mara kutahamaki bibi wa aliyelatiwa anamaliza tatizo kifamilia mwenye mtoto...
  13. JamiiForums Tanzania Watahiniwa 566,840 kufanya Mtihani kidato cha 4 Nov 14

    Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), limesema jumla ya watahiniwa 566, 840 wanatarajiwa kufanya mtihani wa kidato cha nne, utakaoanza kesho Jumatatu katika shule za Tanzania Bara na Zanzibar. Limesema kati yao watahiniwa 533,001 ni shule na 31, 839 wa kujitegemea. Kati ya hao watahiniwa...
  14. JamiiForums Tanzania Namtafuta raia wa Kenya wa kufanya naye biashara

    Hapo vip!! Hapo vip!! Mimi ni mfanyabiashara na napatikana Arusha, ila napenda sana nikimpata Mkenya ambaye yupo tayari kufanya biashara nje ya mipaka. Napenda kufanya biashara na wakenya au Wanaigeria...niwatu ambao naona naweza kufanya nao kazi kwenye biashara.
  15. JamiiForums Tanzania To my early 30, sijawahi kufanya mambo haya

    1. Sijawahi kunywa au kuonja pombe ya aina yoyote. 2. Sijawahi vuta au jaribu sigara ya aina yoyote. 3. Sijawahi kubet na sijui mkeka wanawezaje na sijawahi kucheza kamali ya aina yoyote 4. Sijawahi kwenda kwa mganga nikiwa naumwa au kutafuta njia ya jambo langu lolote 5. Sijawahi kwenda...
  16. JamiiForums Tanzania Zawadi aliyopewa Majaliwa (Shujaa) inaakisi alichofanya? Je, inahamasisha sisi wengine kufanya alichofanya?

    Salama wandugu, Mimi nimefikiria kuhusu hii Tanzania nabaki nasikitika tu,niannze na watu walionusurika najua huko mliko mnafanya ibada za kushukuru, na wengine mnakata keki.Nawaomba kwa uwingi wenu changeni pesa ya kupata nyumba au boti la uvuvi mpeni huyu kijana aliyewaokoa he unajisikiaje...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais wa Rwanda kufanya ziara ya ghafla nchini Tanzania

    Kutokana na kile kinachoendelea kati ya DRC & Rwanda natabiri rais mrefu kuliko wote East Afrika kufanya ziara ya ghafla sana nchini Tanzania ili kuweka mambo sawa
  18. JamiiForums Tanzania Hata mkilia machozi ya damu hatuwezi kuruhusu mateso, miaka yenu mitano mmeshamaliza. Mama yupo sahihi?

    Inashangaza kipindi ambacho taifa linapambana kuhakikisha tunawapatia Watanzania ukombozi wa kweli ndiyo mara ghafla wale jamaa wa kusifu na kuabudu au kwa jina maarufu wakiitwa Thug au S.Gang wakijitahidi kupenyeza ajenda zao mfu na mufulisi katika taifa letu teule. Niwaambie tu, huu muda...
  19. JamiiForums Tanzania Mdogo wangu Nusrat Hanje, kama uko 'serious' ujasiri mkubwa ni kufanya hivi

    Tufanye ni kweli hukujua chochote mpaka baada ya kuapishwa ndiyo ukajua kumbe umeingizwa chaka, na pia unaomba majadiliano nje ya mahakama, kwa haraka ni kwamba kuna mambo umetofautiana na akina Mdee. Kwa umri wako ili kutengeneza tena heshima yako na imani kwa watu wengi basi jiuzulu huo...
  20. JamiiForums Tanzania Yanga msiende kufanya fujo huko Tunisia!

    Katika kufuatilia safari ya Yanga ya siku ya leo kuelekea Tunisia kwa mchezo wa marudiano, msafara huo unahusisha watu 41 huku wachezaji wakiwa 22 na waliobaki ni 'wengine'. Nimekumbuka timu zetu za Olympic ambapo viongozi huwa ni wengi kuliko wachezaji. Sijaelewa watu 19 ni kina nani ila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…