Ukisoma course ya Bachelor of Arts in Economics and Sociology inakupa opportunity ya kufanya kazi sehemu zipi?

Wababa13

Senior Member
Dec 27, 2017
105
70
Jamani naomba kufahamishwa kwa anayeifahamu kwa ukaribu course ya Bachelor of Arts in Economics and Sociology.. mtu aliyesoma hii course ni kwamba anakuwa Sociologist na Economist kwa wakati mmoja?
Naomba majibu tafadhari
 
Soma course (tafuta maarifa) ambayo utaweza kujiajiri na kuajiriwa. Yaani isiwe kuajiriwa peke yake.

Mfano
1. Accounting and finance
2. Computer science and IT
3. Medicine
Etc

Kwa economics and sociology sioni mahali utajiariji endapo utakosa ajira.

Kutokana na mabadiliko ya kiteknolojia ,course nyingi za vyuoni zimepitwa na wakati
 
Back
Top Bottom