kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sleeping Giant

    JamiiForums Tanzania Nimechoka na ndoto za kula na kufanya mitihani

    Wakuu mimi ni 26 Me, mzaliwa wa kanda ya ziwa, taaluma yangu Medical doctor degree, nimeletwa na mambo mawili; Kwanza Naota nakula sana mara nyingi ni wali na matunda na muda mwingine unajaribu kukataa kabisa ila kuna mtu anakubembeleza. Hii ya leo nimeenda sokoni nikakuta matunda mfano wa...
  2. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Katiba ni Sheria Mama. Sheria Yoyote Kinyume na Katiba ni Batili. Wanasheria Wetu, Waliwezaje Kufanya Madudu Haya Kuchomeka Batili Ndani ya Katiba?

    Wanabodi hi ni Makala ya Nipashe ya Jumapili ya Leo, 29 January 2023 Kwa Maslahi ya Taifa, bado inajikita kwenye Katiba yetu, Katiba ndio sheria mama, sheria nyingine yoyote yoyote inayokwenda kinyume na katiba, sheria hiyo ni batili! Serikali yetu kupitia wanasheria wetu manguli, wabobezi na...
  3. Thailand

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinum hata kwenye filamu anaweza kufanya vizuri

    Kwa namna scene za matukio vilivyopangiliwa kwenye wimbo wa Yatapita, now Diamond anaweza ku switch kunako kiwanda cha Bongo movie na akafanya vizuri zaid na kuinua tathinia hiyo kimataifa zaidi. Imagine Diamond anaigiza movie kama hii; Diamond (askali polisi) anayedhalaurika kazini, kitengo...
  4. polokwane

    JamiiForums Tanzania Serikali iache kufanya maamuzi ya mihemko kwenye masuala ya elimu

    Kumekuwa na changamoto kubwa sana viongozi wa Serikali kuja na maamuzi ya mihemko sana linapo kuja tukio lolote lisilofaa lililofanywa na mwalimu. Idara zote zina watu wenye mapungufu sasa tatizo lililopo kwenye Serikali hii kila kiongozi huwa ni msemaji wa elimu na huwa wanakuja na maamuzi...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kufanya kipindi ambacho una wazo la biashara lakini huna mtaji

    Je, ulishawahi kuwa na wazo la kufanya biashara au kazi lakini hauna mtaji? Pengine unahisi fedha ndio changamoto? Usijali, basi upo eneo salama. Unaweza kujifunza mengi kupitia: Upendokitundu Pengine wewe ni mwanafunzi au upo nyumbani, unawaza kufanya biashara au mradi ila umepungukiwa...
  6. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Fahamu Umuhimu wa Kufanya Management Audit na Performance Appraisal

    Habari za wakati huu; Kwanza nianze kwa kuwapa pongezi wale wote ambao wamejitosa na kuamua kuanzisha biashara zao ndogo na za kati.Changamoto ni nyingi na muda ni mchache na Fursa nazo ni nyingi.Watu wengi wanaposikia neno audit huwa wanchofikiri cha kwanza kabisa ni Financial Audit.Hata hivyo...
  7. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Tume ya Uchaguzi ni huru, hatuhitaji kufanya mabadiliko

    Kwa sababu Mbowe alikuwa kiongozi wa Upinzani Bungeni kwa muda mrefu kwa kutegemea hiyo hiyo Tume anayosema siyo huru. Kama Mbowe ameangukia pua Uchaguzi uliopita, siyo kosa la Tume kwa sababu Tume ilikwishathibitisha kwamba inaweza kufanya kazi efficiently.
  8. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Wazazi na walezi, Kosa gani mtoto wako amewahi kufanya ila ukashindwa kumuadhibu sababu na wewe ulilifanya ukiwa mtoto?

    Habarini wana jamvi, Nmesukumwa kuleta hii mada sababu nimekumbuka kitu nikaishia kucheka tu. Mwaka jana mtoto wangu wa pili alipelekwa kuandikishwa shule na mzazi mwenzangu lakini jioni nikakuta timbwili sababu dogo alikua kapoteza begi lote la madaftari. Mama ake alikua anakaribia kumuadhibu...
  9. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kufanya maridhiano ya kijinsia kwenye jamii yetu

    Kuna sumu kali sana baina ya mwanamke na mwanamme kwenye jamii ambayo inahitajika kuondolewa kwa faida ya vizazi vijavyo. Angalia matukio ya kikatili yanayofanyika. Kule Mwanza jamaa kampiga risasi mke wake wanaume wanatetea uenda mwanamke hakuwa mwaminifu kwenye ndoa kule Dar dada kachoma moto...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Jifunze mambo yanayosababisha ushindwe kufanya jambo kwa viwango vikubwa

    Habarini, Ningependa tujifunze baadhi ya makosa tunayoyafanya,na husababisha tushindwe kufanya mambo kwa viwango vikubwa. Ningependa kutumia kitabu cha ONE THING. Kitabu kinachoelezea kuwa umuhimu wa kufanya mambo kwa mpangilio. Suala ni kwamba wote huwa tuna malengo,ila malengo au ndoto zetu...
  11. Lafacha

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ni software gani au program ambayo inaweza kufanya haya?

    Wakuu heshima yenu, nimekuja mbele yenu nikiwa na swali moja tu ni software gani ambayo inaweza ikanisaidia kuhifadhi taarifa za namna hii. Mfano: Taarifa za watoto waliozaliwa nchi nzima mwaka 2022, nakihitaji nizihifadhi ambapo mtu mwingine akija kwenye hiyo software baada ya kuhifadhi...
  12. mrengo wa kushoto

    JamiiForums Tanzania "Metaverse"....Wazo zuri linaloelekea kufa, je liko mbele sana ya muda? Kitu gani angeweza kufanya tofauti kuokoa ndoto hii?

    Kama tunavyojua Mark Zuckerberg alikuja na wazo la Facebook, Social media na kuwa peoneer katika ulimwengu wa SOCIAL MEDIA na huwezi kuongelea historia yake bila kutaja jina lake tunaweza kumuita THE FATHER OF SOCIAL MEDIA. Miaka ya hivi karibuni amekuja na wazo la "METAVERSE" Nakuwekeza sehemu...
  13. MR.NOMA

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kufanya jambo gani la hovyo mpaka ukajutia?

    Karibuni wakuu, tushirikishane juu ya jambo lolote la hovyo ,ambalo umewahi kulifanya maishani mwako ,hasa kipindi Cha ujana/ utoto na badae ulijutia. Nianze Mimi,; wakati nipo darasa la 2 nikiwahi kufungulia radio ya mzee , nikaweka Kanda ya lackdube nikasililiza mwanzo mwisho. Lakini bahati...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mtanzania adai kuteswa Iraq, alienda kufanya kazi

    Upande wa mashtaka katika kesi ya kusafirisha binadamu inayomkabili Mohamed Masoli umedai mlalamikaji (jina limehifadhiwa) baada ya kufika nchini Iraq kwa ajili ya kufanya kazi za ndani aliteswa na bosi wake, ikiwemo kuingiliwa kimwili na wanaume zaidi ya wawili kwa wakati mmoja. Hayo...
  15. the galaxy a

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi au shughuli yoyote, nipo Dodoma

    Habari, Kama kichwa kinavyo sema hapo juu, mimi ni kijana nina miaka 26 elimu ya stashada ya maendeleo ya jamii kwetu ni mtwara kwasasa nipo Dodoma, Ujuzi nilio nao tofauti na elimu yangu: . Ujuzi wa computer hasa exel,word na publisher . Saluni ya kiume(kunyoa) . Kuandaa miradi, nipo hapa...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa, Tunaotarajia kufanya usaili wa kuandika kada ya MTAKWIMU DARAJA LA PILI, mwajiri MDA's & LGA's.

    Msaada wa aina ya maswali ya usaili kada ya takwimu. Tusaidiane hapa material ya kusoma na topics za kujiandaa.
  17. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe na Mbowe wanaharibu maisha ya watanzania kwa kutanguliza matumbo yao na kufanya siasa za kihuni

    Taifa lolote ili liweze kuendelea lazima liwe na upinzani madhubuti. Upinzani madhubuti utairekebisha serikali inayotawala pale inapokosea na kukandamiza wanaotawaliwa. Eti maridhiano! Maridhiano wakati wananchi wanaishi maisha magumu? Tozo,kodi na gharama za maisha juu. Ni tatizo...
  18. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Yapi ya kufanya na kutofanya wakati mnajadili malipo ya mshahara

    Mambo ya kufanya wakati Mnajadili kuhusu Mshahara na Mwajiri wako Mosi, fanya utafiti kujua je Kwa nafasi uliyoomba wanalipa level ya Mshahara kiasi gani? Hii itakuwezesha kushawishi ulipwe shilingi ngapi kutokana na taarifa ambayo unayo tayar. Pili, Ni Jambo jema kushukuru ofa ya Mshahara...
  19. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Serikali isizuie watu kwenda kufanya kazi Falme za Kiarabu bali itengeneze mazingira maalumu ya watu kuwa salama wawapo huko

    Kumekuwa na zuio la watanzania wanaopata chance kwenda kufanya kazi ugaibuni kuzuiwa kusafiri hasa hasa siku ya safari,licha ya kwamba mtu anakuwa na vielelezo na viambata vyote muhimu kwa madai kwamba wanaenda kufanyiwa vitendo vibaya,Yamkini wapo mabosi wanafanya hivyo la kini si wote ...
  20. IamBrianLeeSnr

    JamiiForums Tanzania Serikali kufanya kongamano la kwanza la kodi kitaifa, linalotarajiwa kufanyika Januari 11, 2023 jijini dar es salaam katika ukumbi wa JNICC

    Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango imeanzisha Kongamano la Kodi Kitaifa litakalowashirikisha wadau mbalimbali ikiwemo Sekta Binafsi ili kajadili namna ya kuboresha Sera za Kodi, kuchochea ukuaji wa uchumi, biashara na uwekezaji nchini. Hayo yameelezwa na Kamishna wa Sera kutoka wizara...
Back
Top Bottom