kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Moise Katumbi ataka uchaguzi ufutwe. Viongozi wa Upinzani wapanga kufanya maandamano

    Uchaguzi wa urais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) unakabiliwa na mgogoro wa uhalali kutokana na wito wa upinzani wa kufuta kura kutokana na udanganyifu uliodaiwa. Wapinzani watano, ikiwa ni pamoja na aliyekuwa Gavana wa Mkoa Moise Katumbi, walisema Jumamosi kwamba kura hiyo haipaswi...
  2. JamiiForums Tanzania Huku Hizbullah ikizidisha mapigo, Israel yasema ni bora kufanya mazungumzo kuliko kuendelea kupigana

    Huku baadhi ya vikosi vya jeshi la Israel vikishangilia kuondoshwa Gaza baada ya kipigo,kule kaskazini ya Israel mpakani na Lebanon wanamgambo ya Hizbulla hawajaonesha dalili ya kuathiriwa na mashambulizi ya anga ya jeshi la Israel. Baada ya kipigo cha jana na leo kulenga maeneo ya vikosi vya...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Kijaji Awaasa Vijana Kufanya Kazi kwa Uadilifu na Kujituma Wanapopata Ajira Viwandani

    Waziri Dkt. Kijaji Awaasa Vijana Kufanya Kazi kwa Uadilifu na Kujituma Wanapopata Ajira Viwandani Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) ametoa rai kwa vijana wa kitanzania kuwa na uadilifu na kujituma wanapopata ajira viwandani ili waendelee kunufaika kwa pamoja na...
  4. JamiiForums Tanzania Makonda: Nimechoka kufanya mikutano peke yangu! Watoa taarifa wanafanyia mikutano wapi?

    Katibu wa itikadi na Uenezi CCM bwana Paul Makonda amesema tangu ameanza kufanya mikutano ya kisiasa na kwenda kwa wananchi hawaoni watoa taarifa wakifanya mikutano! Anasema amechoka kufanya mikutano peke yake anauliza eti watoa taarifa wanafanyia mikutano wapi? Mbona wanamuacha anatamba peke...
  5. JamiiForums Tanzania Ongeza haya mambo 6 kwenye mikakati yako ya kuukabili 2024 kifedha na kimaendeleo

    1: Matajiri ni matajiri sio kwa sababu wanafedha. Matajiri wanafedha kwa sababu ni matajiri. Namaanisha nini? Wekeza kujenga uwezo wako pesa ni matokeo ya mindset za kitajiri. Na moja ya mindest ni kuamini kila pesa unayoipata hauipati ili uitumbue unaipata ili ilete pesa nyingine. 2: Boresha...
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri: Kabla Serikali haijaruhusu Watanzania kufanya vibarua Israel wajirithishe uwezo wa sasa wa Israel kujilinda na kulinda raia wake

    Kuna habari kuwa Israel imeamua kuwanyima ajira wapalestina na sasa anataka kitafuta vibarua wapya mashambani kutoka Afrika na kwingineko duniani. Hii nimeisoma humuhumu JF. Nashauri kabla hatujarisk kuwapeleka raia huko kupiga shekeli basi tujirithishe uwezo wa nchi hiyo kujinda. Kama bado...
  7. JamiiForums Tanzania Nisome 'short courses' zipi ili kuweza kufanya kazi (managerial position) kwenye migodi mikubwa ya uchimbaji madini?

    Hello wanajukwaa, Kichwa cha habari chahusika. Mining industry. Ninapenda sana kazi za migodini, at management level. Shauku yangu na ndoto yangu kubwa ni kufanya kazi (managerial position) kwenye migodi mikubwa ya big/giant investors (foreigners or local) nchini Tanzania, specifically...
  8. JamiiForums Tanzania Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Waaswa Kufanya Kazi kwa Kushirikiana

    Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Waaswa Kufanya Kazi kwa Kushirikiana Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama ametoa wito kwa watumishi walio chini yake kufanya kazi kwa kutegemeana na kushirikiana bila kutengeneza makundi. Ametoa rai hiyo Mkoani...
  9. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi waziri kufanya shughuli za Kiserikali akiwa amevaa gwanda za CCM?

    Waziri wa Nchi, @ortamisemitz Mhe. Mohamed Mchengerwa amekabidhi magari ya usimamizi shirikishi wa shughuli za Afya kwenye Halmashauri za Mkoa wa Kilimanjaro. Mhe. Mchengerwa amekabidhi magari hayo baada ya hafla ya uwasilishaji wa tarifa ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020 - 2025...
  10. JamiiForums Tanzania Nini cha kufanya kutenganisha kiwanja?

    Jana nilikuwa sehemu vijana walifanikiwa kumalizana mizozo ya viwanja Sasa wamekubaliana kugawana kiwanja cha mama yao Chenye hati moja Wanataka msaada jinsi ya kutenganisha hati moja ziwe mbili, kila mtu awe na kiwanja chake Sijui wenye kupitia haya wapi wanaanzia kuweza kuwa na kila mtu na...
  11. JamiiForums Tanzania Ukihisi umelogwa fanya haya

    Kama unahisi una dalili za kulogwa kutoka na mikosi balaa nuksi nk basi nakushauri nenda kwenye mikono ya Mungu. Kasali Msikitini wakuombee ama wenzetu mnaweza kupitia kwa Kuhani Musa Mwamposa Yuko kiboko wa wachawi Buza Na wengineo Usikimbilie kwa waganga shetani hamtoi shetan mwenzie...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kushirikiana naye mradi wa kilimo

    Habari ya sasa hivi Nina project ya Agriculture inajihusisha na wakulima wadogo, natafuta mtu ambaye tunaweza kufanya naye (partner) Document zote zipo vigezo financial free pia awe na interest na kilimo Mawasiliano 0757279834 0657888494 whatsap dgtafrica@gmail.com
  13. JamiiForums Tanzania Wenyeji wa Hanang' tupewe upendeleo kufanya Counseling (Kwa kilugha)

    Sisi wenyeji wa Hanang' tunaoishi nje ya Hanang' (jobless) tupewe kipaumbele kuwafanyia counseling ndugu zetu hawa (Kwa kilugha) 0788 786742 NB: hiyo posho na sisi tunahitaji
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini timu za Tanzania zote mbili zinashika mkia kwenye makundi Yao ya CAF champions league

    Embu tujadili shida iko wapi kwa klabu zetu za Tanzania kushindwa kufanya vyema kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika?🤔 Wote wanashika mkia kwenye makundi yao wakiwa na pointi 2 tu.
  15. JamiiForums Tanzania Bashe kilimo sio makaratasi, acha kuitumia BBT kuwapotezea muda vijana, ajenda yako hasa ni ipi?

    Mradi huu ni maono ya waziri Hussein Bashe, unaongozwa kwa mahesabu makali sana, tulijua kundi la kwanza litakaa field miezi miwili au mitatu kisha wagawiwe mashamba yao kama walivyokuwa wameahidiwa ili waende wakayasimamie wenyewe lakini mpaka sasa wamewashikilia na kuwaweka pamoja huu ni mwaka...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kujiunga jeshi isiwe sababu ya kufanya kazi za kutweza utu. Anachofanya mwanajeshi huyu ninaamini hata yeye hakipendi

    Nafahamu mwanajeshi ameapa kufa kwa ajili ya kulinda taifa lake. Lakn kamwe hakuapa kuwa hata kinyesi atakishika kwa mikono. Hakuapa kuwa hata mkojo atauzoa kwa mdomo. Hakuapa kuwa kwenye shughuli za uokoaji atatumia mikono yake kutafuta maiti kwenye tope. Serikali imenunua magari 270 ya...
  17. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kufanya ziara Hanang yenye lengo la kutoa Rambirambi kwa Wahanga

    Taarifa iliyotolewa na Chama Chake hii hapa .
  18. JamiiForums Tanzania Misaada keyboard ya laptop herufi I na backspace zimeacha kufanya kazi

    Rejea kichwa cha uzi huu,naomba msaada wenu,sijajua kama itakuwa ni kubadilisha keyboard yote au la, laptop ni Dell inspiron natanguliza shukurani.
  19. JamiiForums Tanzania Mpira wa 'Adidas Euro 2024' itatumia "Microchip" kuwasaidia waamuzi kufanya maamuzi ya mpira wa mikono

    'Microchip' ilitumika katika mfumo wa 'semi-automated offside decision-making' katika Kombe la Dunia la FIFA la mwaka jana nchini Qatar. 'Microchip' ndani ya mpira wa Adidas wa Euro 2024 itatumika kuwasaidia waamuzi kufanya maamuzi ya mpira wa mikono kwenye michuano ijayo ya majira ya joto...
  20. JamiiForums Tanzania Pata huduma bora ya usafi Mwisho wa mwaka

    Karibu kupata huduma ya usafi kipindi hiki cha mwisho wa mwaka. Ninajivunia kutoa; Usafi wa kina, utapata usafi thabiti na wa kina katika kila kona ya nyumba yako. Muda ufaao, Ninazingatia muda wako mteja, yaani nakuletea huduma ya usafi bila usumbufu. Fanya sikukuu zako ziwe zenye furaha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…