BASATA: Tulimzuia Nay wa Mitego kufanya shoo kwa kuwa amekataa wito wetu mara mbili

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limesema limetoa wito mara mbili kwa Msanii wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego kufika ofisini kwa ajili ya mazungumzo khusu wimbo wake wa Amkeni lakini hakutokea na hiyo ndio sababu ya taasisi hiyo kumnyima vibali vya kufanya shoo Mkoani Njombe.

Mwanasheria wa BASATA, Christopher Kamgisha amesema “Tumempa wito kwa mara ya tatu afike Ijumaa hii (Septemba 8, 2023), masuala ya Polisi hatuyajui, sisi tunadili na maadili ya Msanii.

Awali, Mwanasheria wa Nay, Wakili Jebra Kambole alisema “BASATA wamempa wito wa maandishi Nay kuwa aende ofisini kwao Ijumaa hii kwa sharti anatakiwa kwenda peke yake bila Mwanasheria, bado tunatafakari sharti hilo kama aende mwenyewe au la na kwa nini iwe hivyo.”

Pia soma - Msanii Nay wa Mitego ahojiwa na Polisi na kufunguliwa kesi ya Uchochezi
 
Aende bila mwanasheria?...kwani akiwa nae shida ipo wapi?.....wakati anakutana na mwanasheria....
Wanataka wamuumize dogo...hahahaha
Very stupid indeed.
 
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limesema limetoa wito mara mbili kwa Msanii wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego kufika ofisini kwa ajili ya mazungumzo khusu wimbo wake wa Amkeni lakini hakutokea na hiyo ndio sababu ya taasisi hiyo kumnyima vibali vya kufanya shoo Mkoani Njombe.

Mwanasheria wa BASATA, Christopher Kamgisha amesema “Tumempa wito kwa mara ya tatu afike Ijumaa hii (Septemba 8, 2023), masuala ya Polisi hatuyajui, sisi tunadili na maadili ya Msanii.

Awali, Mwanasheria wa Nay, Wakili Jebra Kambole alisema “BASATA wamempa wito wa maandishi Nay kuwa aende ofisini kwao Ijumaa hii kwa sharti anatakiwa kwenda peke yake bila Mwanasheria, bado tunatafakari sharti hilo kama aende mwenyewe au la na kwa nini iwe hivyo.”

Pia soma - Msanii Nay wa Mitego ahojiwa na Polisi na kufunguliwa kesi ya Uchochezi
juice ya pilipili ukiinywa lazma ukohoe!!!
 
mlimwita wa nini . mnataka mkamrekebishie mashairi ama , wapuuzi sana nyie yani mnataka wanaowasifia tu na chawa wengine mnataka hata kuwaua, pumbaf sana nyie baraza la kufungia nyimbo. SHAME
 
Mimi nikiwatizama machawa wanaofanya kazi kwa misifa huwa naona aibu kama dhambi hiyo nafanya mimi.
Kuna siku tutakumbuka sio mateso ya maadui wetu ila kimya cha rafiki zetu
 
Hawa Viongozi wa Basata walio madarakani watambue kuwa wakati ni ukuta na tuwajue sasa,ikifika siku wanao watuma hawako madarakani watajutia
 
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limesema limetoa wito mara mbili kwa Msanii wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego kufika ofisini kwa ajili ya mazungumzo khusu wimbo wake wa Amkeni lakini hakutokea na hiyo ndio sababu ya taasisi hiyo kumnyima vibali vya kufanya shoo Mkoani Njombe.

Mwanasheria wa BASATA, Christopher Kamgisha amesema “Tumempa wito kwa mara ya tatu afike Ijumaa hii (Septemba 8, 2023), masuala ya Polisi hatuyajui, sisi tunadili na maadili ya Msanii.

Awali, Mwanasheria wa Nay, Wakili Jebra Kambole alisema “BASATA wamempa wito wa maandishi Nay kuwa aende ofisini kwao Ijumaa hii kwa sharti anatakiwa kwenda peke yake bila Mwanasheria, bado tunatafakari sharti hilo kama aende mwenyewe au la na kwa nini iwe hivyo.”

Pia soma - Msanii Nay wa Mitego ahojiwa na Polisi na kufunguliwa kesi ya Uchochezi
Maadili my foot?
 
Nyie endeleeni kumpa kichwa asiende.

Basata wamekuwa wauungwana sana kumwita mara tatu. Namshauri aende.

Wanaitwa wasanii wakubwa kuliko yeye na wanaenda itakuwa yeye?
 
Hao BASATA waache ujinga,Kuna minyimbo ni matusi matupu huku mtaani hatusikii wakiwaita huko ofisini hebu muacheni Che Guevara wetu afanye mambo yake
 
Hao basata hua nawashangaa Sana jinsi wanajikuta wamebeba suala la kusimamia maadili Tanzania lakini wanacho fanya ni kinyume chake,
yapo manyimbo mengi Sana ambayo wasanii wanaimba kuhamasisha ngono tena ya kinyume na mumbile na kuhamasisha ulevi pamoja uhuni wameziacha kama vile hawazisikii vile na watoto wanapenda Sana hizo nyimbo lakini msanii akitoa wimbo kuikosoa serikali maskio yana wasimama kama mbwa alieona hatari mbele yake,
Hivi lini wataanza kutumia akili zao ipasavyo 🤔🤔 hawa ni wahuni wengine wanakula mishahara bila kufanya kazi yoyote ya maana kama wabunge
 
Back
Top Bottom