kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Liverpool VPN

    Nilichojifunza Nanenane: Kufanya Kazi Halmashauri ni kupoteza muda na kukaribisha umasikini tu

    INTRODUCTION: Kwanza kabisa Mimi Mr. Liverpool ni mtumishi wa umma ndani ya Halmashauri kwa muda wa miaka 11. Miaka 5 nimekuwa Shule na 6 ndio kazini. Niko kwenye Halmashauri iliyo chaka sanaaa. SCENARIO Tokea nifike Nanenane 01/08 Mbeya nimekuwa nikitembelea mabanda ya ofisi nyengine...
  2. Expensive life

    Mtanzania ndio binadamu pekee bila kumbembeleza hawezi kufanya kazi ipasavyo

    Ndugu zangu mimi ni mtanzania, ila watanzania tunahitaji mabadiliko makubwa sana hasa kwenye sekta ya ajira. Watanzania tunaringa, wavivu japo siyo wote ila asilimia kubwa tupo hivyo, nenda kwenye mabank, hosptalini, nida, manispaa, tra kwenye viwanda nakadhalika, aiseeh utachoka. Alafu umkute...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Wanawake hawapendi kuulizwa maswali. Fanya tu watakuona wewe ndiye dume

    WANAWAKE HAWAPENDI KUULIZWA MASWALI, WEE FANYA TUU; WATAKUONA WEWE NDIYE DUME. Anaandika, Robert Heriel. Taikon Master. Kuuliza uliza maswali ni dalili ya kutokujiamini, Wakati Wanawake wanataka mwanaume anayejiamini. Kutokujua nini unafanya, Wakati Wanawake wanataka wanaume wajuvi na waalimu...
  4. Nkaburu

    Morroco has advanced to round of 16, cha kustaajabisha, imetangazwa kuwa ni timu ya kwanza ya [Arab Nation] kufanya hivyo.

    Timu ya Taifa ya Wanawake ya Morroco ime advance kutoka group stage ya FIFAWWC inayoendelea huko Austarlia na New Zealand na kuingia kwenye group of 16, Wapewe Maua yao. Wakati ikitangazwa hivyo, wanahabari walidai Morroco ni Nchi ya Kwanza kutoka [Arab Nation] kufanya hivyo. Kwa kuzingatia...
  5. Ndondombi Mulin

    Mwanaume, unachopaswa kufanya ukiwa kwenye Mgogoro wa ulezi wa Watoto na Mwanamke

    Mwanaume, NDOA ikishafeli, na Wakati tu mgogoro wa kugombania watoto utapoanza na wewe ukakomaa nao, hapo kaa ukijua tayari umeshindwa kabla hujaanza. Yaani hapo Mwanamke tayari anakuwa amekushinda. Mkienda Mahakamani, utashindwa. Ukienda Kanisani, huko pia utashindwa. Ukienda Ustawi wa...
  6. Chakaza

    UVCCM Chato: Hatutaruhusu kuona hata hatua moja ya Tundu Lissu ikikanyaga Chato. Tupo tayari kwa lolote

    Kumekucha. Mbwa ukimzoea sana atakufata hadi msikitini. Ndiyo yanayotokea Chato, umoja huo wa vijana Chato unatoa tamko bila hofu ya dola kuwa hawatakubali kuona Lissu anakanyaga Chato na watafanya lolote huku wakitumia jina la Rais Samia kama kinga ya uovu wao. Najiuliza, hivi UVCCM wamefikia...
  7. S

    Naombeni kujua mtu akikwambia nimeenda sehemu maalamu kufanya kazi maalumu ina maana gani?

    kuna mtu wangu wa karibu kuna muda anasafiri ukimuuliza ulikua wapi anasema kufanya kazi maalumu na sehemu maalumu hapo ndo sielewagi kabisa..natamani anaeelewa haya mambo anielezee
  8. M

    Ukibahatika kuwa na hela nyingi usizitumie kufanya uovu. Kuna faida gani kuoa mwanaume mwenzio sababu ya pesa?

    WanaJF ninaandika huu uzi baada ya kusoma machapisho mbalimbali mitandaoni na mimi mwenyewe kujionea mambo mengi maovu. Watu wengi wenye pesa wamekuwa chanzo cha maovu mengi sana. Ni kawaida watu wengi wenye pesa kutaka kufanya mambo ambayo ni ufedhuli uliopotiliza. Kuna wengi wanatumia fedha...
  9. BARD AI

    Odinga na Ruto kufanya mazungumzo chini ya Rais Mstaafu Olesegun Obasanjo

    Viongozi wa Muungano wa Azimio la Umoja One na Kenya Kwanza wamefikia uamuzi huo ili kutafuta mwafaka wa maandamano ya kupinga Serikali yanayoongozwa na Raila Odinga. Katika taarifa iliyotolewa leo Julai 29, 2023 imeeleza kuwa majadiliano hayo yanatarajiwa kumhusisha Rais wa zamani wa Nigeria...
  10. peno hasegawa

    Madiwani wa CCM Jimbo la Hai, washindwa kufanya mikutano ya hadhara na wananchi wa Kata zao tangu mwaka 2020 hadi sasa.

    Kumekuwa na sintofahamu kubwa ya madiwani wote waliochaguliwa na CCM Jimbo la Hai kushindwa kufanya mikutano ya hadhara na wananchi wa Kata zao. Tumefuatilia kuuliza tunaambiwa hata chama cha mapinduzi wilaya ya Hai hakifuatilii madiwani wao na wananchi wameshazoea kuishi bila mikutano na...
  11. F

    Rais Samia aepuke kufanya mambo ya kitaifa kimyakimya ni ishara ya kukosa uwazi na kutokujiamini

    Juzi tumemsikia Raila Odinga akisema rais Samia alikwenda Nairobi kwa lengo la kuwapatanisha Raila na Odinga katika tafrani zao za kisiasa. Sisi watanzania tunajiuliza inakuwaje rais wetu kwenda nchi nyingine kufanya jambo la kisiasa mathalani kufanya upatanishi kimyakimya? Kwani kulikuwa na...
  12. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Condester Sichalwe awasihi waumini Kanisa la Moravian kufanya maombi kwaajili ya Jimbo la Momba

    MBUNGE CONDESTER SICHALWE ASHIRIKI IBADA KANISA LA MORAVIAN KIJIJI NTINGA KATA YA MSANGANO Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe, Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe ameshiriki ibada katika Kanisa la Moravian lililopo Kijiji cha Ntinga Kata ya Msangano ambapo amesisitiza watumishi na...
  13. R

    Kama mikataba hii ya rasilimali ni siri, mbona mahakama za kimataifa hazifanyi mjadala wa siri? Kwanini watawala waendelee kufanya siri?

    Kuna kaukimya fulani kanatawala hapa nchini kwa watawala wa chama cha mapinduzi kujitenga kabisa na kile kinachotokea mahakama za kimataifa. Magufuli nakubaliana naye kwamba alichokifanya yeye ilikuwa kutuondoa kwenye hii mikataba ili tuanze upya na mikataba yenye manufaa kwa umma. Wakati huo...
  14. Chachu Ombara

    KWELI Kufanya mapenzi mwanamke akiwa juu ni hatari kwa afya ya uume wa mwanaume

    Wakati napitia pitia mitandaoni kutafuta style mpya kwa ajili ya shangazi yenu ndio nikakutana na hili bandiko kuwa aina ya kujamiiana huku mwanamke akiwa amemkalia mwanaume juu ('woman on top' or 'cowgirl' or 'reverse cowgirl'), hatari kwa afya ya mwanaume kwani hupelekea maumivu makali kwani...
  15. THE BIG SHOW

    Askofu Mwamalanga: Tunalijua genge na kiongozi wake linalompangia Rais nini cha kufanya

    Friends and Enemies, Hali inazidi kuwa mbaya, katika mkutano wa CHADEMA na maaskofu katika suala lao la kulumbana na serikali juu ya masuala ya bandari maaskofu wamezidi kutema kauli zao ambazo ni tatanishi. Amesikika kwa uwazi kabisa Askofu Mwamalanga akisema kwamba wao kama maaskofu...
  16. S

    Kazi yoyote ndani ya Arusha ya halali niko tayari kufanya

    Habari wakuu, mimi ni mwanaume ninayehitaji msaada wenu, mambo yamekwama na hayaendi kabisa. Nimejaribu kupita huko na huko lakini bado sijafanikiwa, mdau yoyote atayeweza nisaidia nipate mahali pa kufanya kazi nitashukuru sana. Nina uzoefu na mambo ya migawaha ya kimataifa, pia naweza...
  17. BARD AI

    KWELI Kukimbia au kufanya Mazoezi katika Barabara zinazotumiwa na Vyombo vya Moto ni hatari kwa Afya

    Licha ya kuwa Mazoezi husaidia kujenga na kulinda Afya, kuna masuala muhimu ya kuzingatia kabla ya kuanza mazoezi ikiwemo kuchagua eneo la kufanyia mazoezi ambalo litakuwa salama kimiundombinu na kimazingira. Katika siku za hivi karibuni watu wengi wamekuwa na utaratibu wa kufanya mazoezi...
  18. F

    Kufanya biashara Kariakoo

    Wakuu kwema? Poleni na majukumu leo Mimi nilienda Kariakoo japo mimi ni mgeni hapa dar nazunguka hivyo hivyo kwa kuulizia. Nilikuwa naomba ushauri nilikuwa Nina wazo la kuuza mayai ya chemsha kariakoo kwa kuzungusha je Kuna kibali cha kuniruhusu au naweza fanya bila shida Kama hao wanaouza...
  19. ikhlas

    Naomba kujuzwa njia sahihi na salama ya kutoa Ujauzito (abortion)

    Wasalam wadau , Dada angu ana mtoto wa mwaka 1 alimzaa kwa opresheni, lkn pia mtoto wke wa kwanza ana miaka 5 pia alimzaa kwa opresheni. Sasa ameshika tena ujauzito una miezi miwili, unampelekesha na afya yke imedhoofika mno, tumeshauriana anataka kuitoa kwa sbb ana mtoto mchanga wa mwaka 1 na...
  20. T

    Kufanya mazoezi barabarani hapa Tanzania ni a suicide move.

    Tukumbushane wakuu, kufanya mazoezi ya jogging barabarani hapa Tanzania ni kujitoa mhanga na kusema uko tayari kufa. Watu kila siku wanakufa kwa kugongwa na magari kwa kufanya mazoezi barabarani lakini watu hawasikii. Mwanza watu 6 wamefariki kwa kugongwa na gari barabarani wakifanya mazoezi.
Back
Top Bottom