Msaada: Biashara unayoweza kufanya kwa mtaji wa Tsh. Milioni 20

Miss_Mariaah

JF-Expert Member
Nov 9, 2022
1,053
2,423
Good evening wadau,

Naombeni mawazo yenu na experience ni biashara gani au investment ambayo nitaweza kufanya Kwa mtaji wa Tsh. Milioni 20.

Napendelea ile biashara ambayo ni stress free, na ambayo inaweza kusimama vizuri bila direct involvement kwenye biashara.
 
Kila biashara ina changamoto zake, sasa unataka biashara ambayo itasimama yenyewe bila direct involvement hapo pagumu utaishia kuibiwa tuu kwenye biashara kidogo kidogo mpaka mtaji unakata. Kama huwezi kuanzia biashara ambayo utaisimamia vizuri basi kaweke pesa zako UTT au fungua online shop wewe hapo utaariji mtu wa delivery na customer care tuu ambaye hatahusika na biashara yako direct kwa hiyo hawezi kukuibia.
 
kila biashara ina changamoto zake , sasa unataka biashara ambayo itasimama yenyewe bila direct involvement hapo pagumu utaishia kuibiwa tuu kwenye biashara kidogo kidogo mpaka mtaji unakata kama huwezi kuanzia biashara ambayo utaisimamia vizuri basi kaweke pesa zako UTT au fungua online shop wewe hapo utaariji mtu wa delivery na customer care tuu ambaye hatahusika na biashara yako direct kwa hiyo hawezi kukuibia
Au awe anabeti. Anatengeneza mkeka wa kesho Leo usiku, asubuhi anaingia kazini. Jioni anasubiri maokoto huku akiandaa mkeka mwingine.
 
Back
Top Bottom