JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,462
1691681346349.png
Fernando Villavicencio ameshambuliwa wakati akitoka kwenye mkutano wa kampeni wa uchaguzi ujao wa Rais katika Mji wa Kaskazini wa Quito.

Mwanasiasa huyo ambaye pia ni Mbunge baada ya kuhitimisha kampeni akiwa anelekea kupanda gari ndipo Mwanaume akajitokeza na kumpiga risasi tatu kichwani, mtuhumiwa pia amefariki baada ya kushambuliwa kwa risasi na walinzi.

Rais wa sasa Guillermo Lasso amenukuliwa akisema "uhalifu hautapita bila kuadhibiwa".

Raundi ya kwanza ya Uchaguzi wa Urais inatarajiwa kufanyika Agosti 20, 2023.
---

Candidate in Ecuador's presidential election Fernando Villavicencio shot dead

A candidate in Ecuador's forthcoming presidential election has been shot dead at a campaign rally.

Fernando Villavicencio, a member of the country's national assembly, was attacked as he left the event in the northern city of Quito on Wednesday.

A member of his campaign team told local media Mr Villavicencio was getting into a car when a man stepped forward and shot him in the head.

Current president Guillermo Lasso vowed the "crime will not go unpunished".

Witnesses said Mr Villavicencio, 59, was shot three times.

The suspect was also shot in an exchange of bullets with security and later died from his injuries, the country's attorney general said on social media.

The first round of the presidential election is scheduled to take place on 20 August.

Mr Lasso, who will not be on the ballot, said he was "outraged and shocked" by the killing, adding: "Organised crime has come a long way, but the full weight of the law is going to fall on them."

recent rise in violent crime, fuelled by the growing presence of drug cartels in Ecuador, has been a central issue in this year's presidential campaign.

Last month, Mr Lasso declared states of emergency and night curfews in three provinces following a number of killings linked to organised crime.

As well as security, Mr Villavicencio's campaign had focused on tackling corruption, a topic he had covered in an earlier career as a journalist, and reducing environmental destruction.

Last week, he said he and his team had been threatened by the leader of a gang linked to drug trafficking.

Mr Villavicencio was one of eight candidates in the first round of the election, although not the frontrunner.

Source: BBC
 
Mgombea katika uchaguzi ujao wa urais nchini Ecuador ambaye alifanya kampeni dhidi ya ufisadi na magenge ya uhalifu ameuawa kwa kupigwa risasi kwenye mkutano wa kampeni.

Fernando Villavicencio, mjumbe wa bunge la kitaifa la nchi hiyo, alishambuliwa alipokuwa akiondoka kwenye hafla hiyo katika mji mkuu, Quito, siku ya Jumatano.

Yeye ni mmoja wa wagombea wachache wanaodai juu ya uhusiano kati ya uhalifu uliopangwa na maafisa wa serikali nchini Ecuador.

Genge la wahalifu liitwalo Los Lobos (The Wolves) limedai kuhusika. Los Lobos ni genge la pili kwa ukubwa nchini Ecuador lenye wanachama 8,000, wengi wao wakiwa gerezani.

Genge hilo limehusika katika mapigano kadhaa ya hivi majuzi yaliyosababisha vifo vingi, ambapo wafungwa wengi wameuawa kikatili.

Kundi la watu waliojitenga na genge la Los Choneros, Los Lobos inaaminika kuwa na uhusiano na Jalisco New Generation Cartel (CJNG) yenye makao yake Mexico, ambayo inasafirisha cocaine.

Tuhuma za mauaji hayo ziliangukia kwa mara ya kwanza Los Choneros, ambayo ilikuwa imemtishia Bw Villavicencio wiki iliyopita, lakini Los Lobos ilidai kuhusika katika video ambayo washiriki wa genge waliovalia vazi walionyesha ishara za genge na kutikisa silaha zao.

Ecuador kihistoria imekuwa nchi salama na tulivu katika eneo la Amerika ya Kusini, lakini uhalifu umeongezeka katika miaka ya hivi karibuni, ukichochewa na kuongezeka kwa uwepo wa magenge ya madawa ya kulevya ya Colombia na Mexico, ambayo yamejipenyeza katika magenge ya wahalifu wa ndani.

Mauaji hayo yametokea chini ya wiki mbili kabla ya uchaguzi wa rais, ambapo suala la ukosefu wa usalama linaonekana kama jambo linalosumbua zaidi.

Sources: Via BBC Swahili.
 
Attachments

  • 1691670777376.gif
    1691670777376.gif
    42 bytes · Views: 6
Suala usalama kwa nchi za america kusini ni mtambuka hasa drugs cartel wanasumbua sana...
 
images (85).jpeg
Screenshot_20230810-152820_1.jpg

Ni nani huyu Fernando Villavicencio mpaka kupelekea kupigwa risasi na kufa baada ya kufanya kampeni ya uchaguzi huko Quito mnamo Agosti 9 jioni ? vyanzo vilisema.

1. Kitaaluma ni journalist na amewai kutumia kalamu yake kufichua maovu mengi ya vigogo wa serikali ya equator..

2. Anasifika Kwa kupinga Rushwa na ubadhirifu katika serikali..

3. Anasifika katika kukemea magenge ya madawa ya kulevya...

E.t.c...

Mgombea huyu alipigwa risasi na kufa papo papo punde baada ya kumaliza kampeni Jana jioni akiwa kwenye maegesho ya magari baada ya kampeni za uraisi Jana jion...

Kifo cha Villavicencio kilithibitishwa na Rais Guillermo Lasso ambaye katika taarifa yake kwenye Twitter, iliyopewa jina la X, alisema kuwa "uhalifu huu lazima utaadhibiwa".

Mzee huyo mwenye umri wa miaka 59 alikuwa mmoja wa wagombea wanane waliokuwa wakiwania katika uchaguzi wa urais uliopangwa kufanyika Agosti 20.

Rais Lasso aliwaita maafisa wake wakuu wa usalama kwa mkutano wa dharura kufuatia kifo cha Villavicencio. Lasso alisema kuwa tukio hili "limeshtua nchi nzima".

"Uhalifu uliopangwa umekwenda mbali sana, lakini uzito kamili wa sheria utatumika kuwabaini nakuwa shuhurikia ipasavyo", Lasso alisema katika taarifa yake kwa vyombo vya habari akilihitubia taifa lake.

Ni nini maoni yako juu ya mambo kama haya yanapo tokea...
 
Fernando Villavicencio ameshambuliwa wakati akitoka kwenye mkutano wa kampeni wa uchaguzi ujao wa Rais katika Mji wa Kaskazini wa Quito.

Mwanasiasa huyo ambaye pia ni Mbunge baada ya kuhitimisha kampeni akiwa anelekea kupanda gari ndipo Mwanaume akajitokeza na kumpiga risasi tatu kichwani, mtuhumiwa pia amefariki baada ya kushambuliwa kwa risasi na walinzi.

Rais wa sasa Guillermo Lasso amenukuliwa akisema "uhalifu hautapita bila kuadhibiwa".

Raundi ya kwanza ya Uchaguzi wa Urais inatarajiwa kufanyika Agosti 20, 2023.
---

Candidate in Ecuador's presidential election Fernando Villavicencio shot dead

A candidate in Ecuador's forthcoming presidential election has been shot dead at a campaign rally.

Fernando Villavicencio, a member of the country's national assembly, was attacked as he left the event in the northern city of Quito on Wednesday.

A member of his campaign team told local media Mr Villavicencio was getting into a car when a man stepped forward and shot him in the head.

Current president Guillermo Lasso vowed the "crime will not go unpunished".

Witnesses said Mr Villavicencio, 59, was shot three times.

The suspect was also shot in an exchange of bullets with security and later died from his injuries, the country's attorney general said on social media.

The first round of the presidential election is scheduled to take place on 20 August.

Mr Lasso, who will not be on the ballot, said he was "outraged and shocked" by the killing, adding: "Organised crime has come a long way, but the full weight of the law is going to fall on them."

recent rise in violent crime, fuelled by the growing presence of drug cartels in Ecuador, has been a central issue in this year's presidential campaign.

Last month, Mr Lasso declared states of emergency and night curfews in three provinces following a number of killings linked to organised crime.

As well as security, Mr Villavicencio's campaign had focused on tackling corruption, a topic he had covered in an earlier career as a journalist, and reducing environmental destruction.

Last week, he said he and his team had been threatened by the leader of a gang linked to drug trafficking.

Mr Villavicencio was one of eight candidates in the first round of the election, although not the frontrunner.

Source: BBC
Nogesha habari kwa Video
 
Back
Top Bottom