kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sildenafil Citrate

    PreGE2025 CHADEMA yakubali kufanya mdahalo na CCM kwa masharti

    Baada ya tamko la Mwenyekiti wa Chama Taifa Mheshimiwa Freeman Aikaeli Mbowe kuhusu maazimio ya Kamati Kuu ya Chama kuitisha maandamano ya amani tarehe 24 Januari, 2024 Jijini Dar Es salaam, ameibuka Katibu wa itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi na kutoa kauli potofu dhidi ya Maazimio ya...
  2. Ojuolegbha

    Ujenzi wa flyover kuondoa foleni Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema ujenzi wa barabara za juu (Flyover) Mwanakwerekwe na Amani kuondoa tatizo la foleni Zanzibar. Rais Dkt. Mwinyi amesema hayo alipoweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa barabara ya kutoka uwanja wa ndege hadi...
  3. Nigrastratatract nerve

    PreGE2025 CCM achaneni na Samia 2025, leteni mtu mwingine kabla ya uchaguzi afanye reform kwa hali iliyopo, chama kiingie kwenye uchaguzi kikiwa kimeaminika

    Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa chama chochote cha siasa kikipuuza maoni ya wananchi kitalia kilio ambacho hatakuwepo wa kukinyamazisha Ni dhahiri CCM imepoteza mwelekeo haijali kabisa changamoto wanazopitia wananchi wamekuwa wakiwaza tu kuchapisha fomu moja wamesahau hata kutekeleza...
  4. J

    PreGE2025 Rais Samia alipochaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM 2022 zilikuwa ni Baraka za yeye kuwa Rais wa JMT hadi 2030. Ni mtu mjinga tu asiyeelewa hili!

    Binafsi nilishangaa sana kumsikia Komredi Kinana akizungumza suala la Fomu Moja kana kwamba ndio anatoa Mwongozo CCM kupitia mkutano mkuu wa taifa ilishamchagua kwa Kura Dr Samia kuwa Rais wa JMT hadi 2030 2025 ni wakati wa Vyama Vya Upinzani kujaribu bahati yao kama wataweza kumtoa kwa kura...
  5. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Waziri Mhagama ampa Big Up Rais Mwinyi ujenzi wa Skuli za Ghorofa Zanzibar

    Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu Bunge Sera na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama amepongeza juhudi zinazofanywa na serikali ya awamu ya nane ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kuboresha mazingira ya elimu yanayoendana na adhma ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964. Waziri Mhagama ameeleza hayo...
  6. BARD AI

    PreGE2025 Mbunge Jerry Silaa akataliwa na Wananchi wa Jimbo la Ukonga mbele ya Waziri Ulega

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega akizungumza na wafanyabiashara wa Ukonga, aliwaambia wananchi hao kuwa wanasalimiwa na Mbunge wao, ambaye pia ni waziri wa Ardhi, Jerry Slaa, lakini wananchi hao walionesha kutokubaliana na salamu hizo. Baadhi ya wananchi walionesha kuwa wanataka...
  7. Kipenzi Changu

    PreGE2025 Wasiolalamika kukatika umeme wazawadiwa baiskeli na CCM

    Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
  8. chiembe

    PreGE2025 CHADEMA yazidi "Kukunwa" na uongozi wa Rais Samia, sasa zamu ya Salum Mwalimu, ammwagia sifa kufanikisha maridhiano

    CHADEMA wameona haina haja ya kusubiri mawe yaseme, wanasema wenyewe, ilikuwa Mbowe, sasa ni zamu ya Salum Mwalimu. Kuliko abane kikohozi kimpalie, kaona bora aseme. Kiongozi huyu wa ngazi ya kitaifa, amemwaga sifa kwa Rais Samia kufanikisha maridhiano. Hakika Rais Samia ni kiongozi bora...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    PreGE2025 Kutoa fomu moja ni dalili ya uoga na kutokukubalika!

    Kwema Wakuu! Wanaoshauri timu moja itolewe wanajaribu kueleza na kumpa taarifa Rais kuwa hakubaliki. Au tuseme wanajaribu kumtisha Rais kuwa kwa hali ilivyo hakubaliki. Katika lugha za kisaikolojia mtu akisema kuwa, hakuna haja ya kuchapisha fomu nyingi za kuwania Urais au nafasi fulani. Hiyo...
  10. Erythrocyte

    PreGE2025 Maswa: CHADEMA yafanya Mkutano Mkuu wa Jimbo, hawakusema wanataka fomu 1 tu ya Mgombea wao wa Urais 2025

    Kama ulikuwa hujui basi nakujuza Rasmi kwamba , Chadema haisubiri mwaka upauke, tayari wameanza kwa kasi mipango yao. Wanachonifurahisha ni kwamba, hawana kiherehere na Mgombea urais wa 2025, wanapanga mambo yao na kukabidhiana majukumu, yale mambo ya sijui ichapishwe fomu 1 ya urais ili...
  11. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Mbunge Nicodemus Maganga: Wilaya ya Mbogwe kuwa na mabadiliko makubwa ifikapo mwaka 2027

    Mbunge wa Mbogwe, Mhe. Nicodemus Maganga, amemshukuru Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati kwa kufika Mbogwe kushiriki na wananchi katika Sherehe za kuaga mwaka 2023 na kuukaribisha mwaka 2024 na kuongeza kuwa Wilaya ya Mbogwe imejipanga vizuri katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo ikiwemo...
  12. Kamanda Asiyechoka

    PreGE2025 Kwa udhaifu wa rais Samia 2025 ndio itakuwa fursa mujarabu kwa wapinzani kuchukua nchi kwa mara ya kwanza

    Watu wameshajua kuwa rais huyu hafai kuwa kiongozi Anaendeshwa na kundi fulani , yeye hana maamuzi. Sasa huyu akisimama na kichwa mfano wa Dk Slaaa atapigwa chink kwenye uchaguzi wa urais. Hata kama wakiiba kura.
  13. M

    PreGE2025 Kama muda wa kampeni bado, je wanachofanya Kinana, Majaliwa na Jokate sio kampeni?

    Kaimu KATIBU MKUU wa CCM Bw. Macha hivi karibuni alipokuwa akihutubia katika Jimbo la UBUNGO alisema kuwa ni marufuku kuanza kampeni za UBUNGE na UDIWANI ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM kabla ya Muda wake kufika na akaenda mbali zaidi kuwa Yeyote atakayebainika Jina Lake litakatwa wakati...
  14. S

    PreGE2025 Uzi maalum wa hali ya kimtandao kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025. Intaneti itapatikana au itazimwa kama 2020?

    Wakuu Wote tunakumbuka kipindi cha Magufuli mambo yalivyokuwa. Baada ya purukushani zake za kutishia wapinzani, kuzorotesha uchumi na mwisho kuona majority ya watanzania hawamkubali zikaanza figisu za kutuminya kipindi cha Uchaguzi. Sijui alikuwa na wasiwasi wa nini? Uchaguzi mkuu ulivyofika...
  15. Nyamesocho

    PreGE2025 2024 haya ndiyo matukio makubwa yanayotegemewa na wanasiasa

    Mwaka ndo huu ambao shughuli za wanasiasa kuwa bize zaidi kuliko kipindi kingine Matukio makubwa ambayo yataambatana na shughuli za wanasiasa ni kama ifuatavyo 1,Vikao majimboni vya usiku na mchana,ng'ombe, kuku mbuzi kuchinjwa ni mwaka huu, tunategemea kuwaona wabunge majimboni mwaka huu...
  16. R

    PreGE2025 Kutaka ichapishwe Fomu Moja 2025 kwa Mgombea wa CCM, Demokrasia imezingatiwa?

    Salaam, Shalom!! Jana 2/1/2024, wamesikika viongozi wawili wa chama Cha MAPINDUZI Mzee Kinana na Ndugu Majaliwa Kassim,wakiibua HOJA ya kuzuia wagombea na watia Nia wengine ndani ya chama kutokudiriki kuchukua fomu ya ugombea urais, Kwamba itachapishwa fomu Moja tu Kwa Sa100. Kwa kuwa...
  17. Msanii

    PreGE2025 Nchi ambayo habari kubwa ni za kuwania kugombea nafasi za uchaguzi, ni "Failed State". Aibu ya Tanzania

    Kuanzia wakuu wa vyombo vya usalama, idara, wasomi wabobevu plus thinktanks na manguli wa hoja mitandaoni na jamii wamejikita kwenye vision ya NANI ATAGOMBEA 2025, wengine akina Pascal Mayalla wameenda mbali zaidi kutabiri ama.kujadili nani anafaa kugombea 2030. Kiashiria kikubwa cha nchi...
  18. President of China

    PreGE2025 Mkutano Maalum wa Baraza la vyama vya siasa na wadau wa Demokrasia, January 4, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa mamlaka aliyopewa, alitoa maagizo kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu kuandaa mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa. Lengo la maagizo hayo lilikuwa kutoa fursa kwa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa...
  19. Msitari wa pambizo

    PreGE2025 Kama Rais Samia na Spika Tulia ndio kioo kwa wanawake viongozi samahani kusema hili ila Wanawake hawafai kuwa Viongozi

    Makundi mbali mbali hasa feminists wamekuwa mstari wa mbele kutetea haki za wanawake na usawa hasa katika masuala ya uongozi na wengi wao wamewatolea mfano Rais wa nchi na Spika wa bunge kwamba ni mfano wa wanawake viongozi. Basi niko hapa kuwakosoa na kuwaambia kama lengo ni kutaka usawa wa...
  20. Tajiri wa kinyankole

    PreGE2025 Swali kwa Kinana, lini Rais Samia alipigiwa Kura na wajumbe au amerithi kiti hicho cha urais?

    NI wazi kwamba Samia Suluhu Hassan alirithi kiti cha urais baada ya Hayati Magufuli kufariki dunia huyu ndiye aliyepitishwa na wajumbe wa mkutano mkuu na vikao vya chama hadi akawa rais. Kinana asipotishe umma kwamba desturi ya CCM NI kumwachia rais aliyepo sasa kuendelea na mhula mwingine bila...
Back
Top Bottom