kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Heparin

    PreGE2025 Nape Nnauye: Nashangaa Watanzania wanaokwenda kusikiliza upuuzi wa Lissu. Tumkemee, tumtenge na tumlaani

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Tanzania, Nape Nnauye amelaani vikali kauli iliyotolewa na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kuhusu madai ya Rais Samia kuwaondoa Wamasai wa Ngorongoro kisa yeye ni Mzanzibari. Waziri Nape amesema kauli hii inapaswa kupingwa na...
  2. B

    Kwa sasa sioni Mtu Mwenye Nguvu na Bold Man kama Hayati Membe kuelekea 2025

    Katiba ya Chama iko wazi. Inapofika wakati wa uchaguzi mkuu wa Urais Madiwani na Wabunge basi ndani ya chama kila mwenye sifa anaruhusiwa kuchukua form na kugombea. Endapo kama ana viwango na sifa takiwa basi Kamati Kuu ya CCM inaweza kumpitisha kama Mgombea wao. Achana na zile stori za...
  3. Deogratias Mutungi

    Zanzibar, CCM vs ACT-Wazalendo kuelekea 2025

    Sera na mipango ya rais Mwinyi inavyoimaliza ACT- Wazalendo kuelekea 2025 Deogratias Mutungi Utawala bora, Uchumi imara, Demokrasia safi, nidhamu na maadili ya viongozi, Ufanisi na mweleko wa mafanikio ya serikali yoyote ile ulimwenguni upimwa kwa sera na mipango yake kimamlaka na ndani ya...
  4. P

    PreGE2025 Bunge siyo sehemu ya kumwagiana sifa wala uwanja wa kampeni, mnatia aibu!

    Wakuu, Wewe mbunge unajua upo hapo kuwakilisha wananchi, au unawakilisha kundi fulani kama watu wenye ulemavu nk, lakini mwanzo mwisho mama ametenda hiki, mama ametenda kile, hakuna kama yeye, dunia haijawahi kuona kama huyu! Hivi hamuoni aibu? Hamsikii haya kwa huu ujinga mnaofanya? Yaani...
  5. J

    Tukumbuke: Komredi Polepole ameweka rekodi ya kuipa CCM Ushindi wa 84% kwa Rais wa JMT na 98% kwa Wabunge wa Kuchaguliwa 2020!

    Hiyo ndio rekodi inayotamba CCM tangu Mfumo wa Vyama Vingi uanze Kwa Chadema rekodi bado inashikiliwa na hayati Ngombale Mwiru aliyewezesha kupata 39% ya kura za Rais na Wabunge Zaidi ya 50 mwaka 2015 alipokuwa Mwenezi wa Lowassa Komredi Makala tuna Imani Kubwa kwako 2025 Ahsanteni Sana 😄😄
  6. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Kihenzile afuturisha na kufanya Dua ya kumuombea Rais Samia

    Mbunge wa Jimbo la Mufindi na Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile leo April 06,2024 ameungana na Viongozi wa Dini , Serikali pamoja na Wananchi kupata Iftar ya pamoja iliyoambatana na dua ya kumuombea Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kuleta maendeleo katika...
  7. P

    PreGE2025 Waziri Nape, kutukosesha mtandao wa ClubHouse nchi nzima sababu ya watu wachache ndio upeo wako ulipoishia?

    Wakuu, Mtando wa ClubHouse umezuiwa kupatika nchini toka mwaka jana (2023) mwanzoni, ambapo huwezi kupata kupata huo mpakata utumie VPN. Hii ni ukiukwaji wa haki ya kujieleza na kupata kupata habari, ni kwenda kinyume na Katiba ya Tanzania inayotoa haki ya mtu kuwasiliana na kupata habari bila...
  8. Heparin

    PreGE2025 Sarakasi za Wabunge majimboni

    Wakuu, Chaguzi zimekaribia kuanza na tayari Wabunge wetu wameshaanza kurejea majimboni kushirikiana na wapiga kura wao kwenye masuala mbalimbali. Binafsi naona hizi ni sarakasi tu na uzi huu utakuwa maalumu kwa wabunge wa aina hii. Mimi nimeweka video zangu, shiriki pia kuleta video na picha...
  9. Ojuolegbha

    PreGE2025 LGE2024 Chatanda awataka Wanawake kujitokeza kugombea nafasi za uongozi katika maeneo yao

    Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda amewataka Wanawake nchini kuendelea kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali za Uongozi katika Maeneo yao kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu mwakani 2025. Akizungumza katika Semina ya mafunzo kwa...
  10. MamaSamia2025

    PreGE2025 Arusha mjini CCM twende na nani kwenye ubunge 2025?

    2025 iko pale kwenye kona je, wapiga kura wa Arusha mjini tumeshatafakari wa kwenda naye kwenye uchaguzi dhidi ya Godbless Lema. Huko CHADEMA inajulikana kuwa ni mgombea wao wa Ubunge ni Lema. Mchakato wao wa kumpata mgombea Ubunge huwa ni kiini macho tu. Tayari mgombea wao ni Lema na hata yeye...
  11. ChoiceVariable

    Bilioni 286 kujenga uwanja Mpya wa 'Samia Suluhu Hassan Arusha Stadium' Kwa ajili ya AFCON 2027

    Serikali imeingia mkataba wa kuanza Ujenzi wa uwanja Mpya Jijini Arusha Maarufu kama Samia Suluhu Hassan Stadium ambao ni Mahsusi Kwa Ajili ya Maandalizi ya AFCON 2027. Uwanja huo utagharimu zaidi ya Shilingi Bilioni 286. Kazi iendelee 👇👇 https://youtu.be/q05ytnyfpa0?si=jLrsYa4X_7tKcjKO...
  12. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Chatanda Kuchangia Mifuko 50 ya Saruji na Pesa Milioni Moja Gereza la Mbozi - Songwe

    CHATANDA KUCHANGIA MIFUKO 50 YA CEMENT NA PESA MILIONI MOJA GEREZA LA MBOZI - SONGWE Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania Cde Mary Pius Chatanda( MCC) ameahidi kuchangia mifuko 50 ya cement na milioni Moja ya tiles Kwa ajili ya ujenzi wa jengo la matibabu katika gereza la Wilaya ya Mbozi...
  13. Stephano Mgendanyi

    Mwenyekiti UWT Dar, Mwajabu: Juhudi zetu wanawake hazipotei bure zimepelekea kuinuana kiuchumi

    JUHUDI ZETU WANAWAKE HAZIPOTEI BURE ZIMEPELEKEA KUINUANA KIUCHUMI NA NDIO DHAMIRA YA RAIS DKT. SAMIA - CDE. MWAJABU Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake (UWT) Mkoa wa Dar es salaam Ndugu. Mwajabu Mbwambo, ameshiriki katika hafla ya Usiku wa Mwanamke wa Kigamboni akiwa ndiye Mgeni rasmi katika...
  14. Momazi

    PreGE2025 Najiandaa kugombea ubunge jimbo la Mwibara 2025

    Kama mada inavyosema Mimi ni mtanzania niliyezaliwa, Kijiji Cha Nakatuba kata ya Chitengule Jimbo la MWIBARA. Nimeamua nigombee UBUNGE jimbo la Mwibara 2025. Nimeamua kuonesha nia ya kuligombania hili Jimbo maana mbunge aliyopo madarakani ni kama tu amejikatia tamaa maana sidhani kama atarudi...
  15. T

    PreGE2025 Kwanini CHADEMA watashindwa mapema kuelekea 2025 hata baada ya maandamano?

    Ndugu wanajukwaa, Sio mara Moja au mbili maandamano kuonesha matokeo chanya huko duniani kiasi Cha kubadili kabisa hali na mfumo mzima wa maisha lakini pia yameonesha ni chaguo la mwisho la kufikisha ujumbe fulani kama machaguo mengine yameshindwa kutoa majibu. Mahali pengine duniani ambapo...
  16. Tlaatlaah

    PreGE2025 Tuzungumze mipango ya Upinzani Tanzania kuelekea 2025

    Wanalenga nini hasa hili kundi? Kumuomdoa incumbet mamlakani? kwa hoja na mipango gani... Kupata nguvu na nafasi za kisiasa kwa kushiriki na kushinda uchaguzi? Je wanatumia mbinu na mtindo gani wa mawasilianao ya wao kwa wao na kuwasiliana na umma? Na je wanayo winning formular ya kushinda...
  17. J

    PreGE2025 Upendo Peneza: Jengo la HQ ya CHADEMA Mikocheni limenunuliwa kwa Fedha za Ruzuku na michango (makato) ya Wabunge

    Aliyekuwa mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema na Mbunge wa Viti maalum amesema Jengo la makao makuu Mapya ya Chadema kule Mikocheni limenunuliwa kwa Fedha za Ruzuku na michango ya Wabunge wa Viti maalum na Wabunge wa Kawaida Peneza amesema ilifika Wakati waliionea aibu nyumba ile ya mtaa wa Ufipa...
  18. P

    PreGE2025 Kampeni za Uchaguzi 2025 zimeanza?

    Wakuu, Msikilize kiongozi huyu aliye ambiwa amkaribishe Makonda, yaani ni kampeni kabisa zimeanza. "Wilaya ya Hai sasa imepata maendeleo makubwa, ninachotaka kuwaomba msifanye makosa, kina mama na akina baba twendeni na Dr. Samia Suluhu Hassan. "Tunakwenda kwenye uchaguzi mwaka kesho...
  19. Nigrastratatract nerve

    PreGE2025 Upendo Peneza ahamia CCM, awananga CHADEMA

    Aliyekuwa Mbunge wa Vitu Maalum Chadema, Mweka Hazina wa Kanda ya Victoria na Mgombea Ubunge Jimbo la Geita kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ndg. Upendo Peneza, amehamia CCM leo katika mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi. Safari hii haijaanza...
  20. TZ-1

    PreGE2025 LGE2024 Rais Samia: Jeshi na vikosi vyote vya Ulinzi vikae tayari kwa lolote wakati wa uchaguzi

    Ombi langu kwenu (JWTZ) ni kwamba mwaka huu na mwakani tunaelekea kwenye chaguzi za nchi yetu na hapa ndipo usalama mkubwa ndani ya nchi unapotakiwa kuangaliwa kwa ukaribu zaidi, niwaombe sana Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwenye Kamandi zenu tofauti kujipanga kwa ajili hii, mwaka huu tunaanza...
Back
Top Bottom