Nchi ya Tanzania kuelekea 2025 Rais Samia Suluhu amedhibiti mfumuko wa bei|| US, UK, Uturuki, Ujerumani hali ni mbaya.
===
Nchi tajiri kabisa dunia ya Marekani inayomiliki zaidi ya asilimia 20 ya Uchumi wote wa dunia hii nayo ni muhanga wa hili,
Marekani inashuhudia mfumuko mkubwa na mbaya...