kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ChoiceVariable

    PreGE2025 Gazeti la Mwananchi: Sekretarieti ya CCM Imejaa Watu "Machawa"

    Kwa mujibu wa maelezo ya gazeti la Mwananchi wakinukuu maoni ya Luqman Moloto anasema Sekretarieti ya CCM Imejaa Watu "Machawa" au Tegemezi ambao wanakitegemea chama kuliko Chama kuwategemea wao ukilinganisha na Wapinzani. My Take CCM ni chama Pendwa, maoni haya yanaonesha Mwananchi ni...
  2. Bams

    PreGE2025 Kuhusu nafasi ya Urais ndani ya CCM: Kinana amedanganya, na kwa vyovyote hana dhamira njema

    Kinana amesema uwongo kuwa eti CCM imekuwa na utaratibu wa kutoruhusu kuwepo na ushindani ndani ya CCM wa kumpata mgombea wa chama kwenye kiti cha Urais pale ambapo Rais aliyepo madarakani hajamaliza vipindi viwili vya Urais wake. Amesema hayo akimlenga Rais wa Sasa. Uwongo wa Kinana upo katika...
  3. Erythrocyte

    PreGE2025 Bariadi: CHADEMA haikusubiri mwaka Upauke. Yaanza vikao vya Ushindi haraka

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, leo tarehe 2/01/2024, Chadema huko Bariadi imeanza rasmi kazi ya kubadilisha uongozi wa Nchi, hawakutaka kusubiri mwaka upauke. Taarifa rasmi hii hapa.
  4. ChoiceVariable

    PreGE2025 Majaliwa & Kinana washauri CCM itoe Fomu 1 ya Mgombea Urais 2025

    Kwa Mujibu wa Kinana na Majaliwa mwaka 2025 CCM itatoa fomu Moja tuu ya mgombea Urais Kwa sababu ni utamaduni wa ccm mgombea Rais lazima aendelee kuwa mgombea Kwa awamu ya Pili. My Take Utaratibu wa fomu Moja alianzisha Mwendazake ======= Mbunge wa Ruangwa (CCM), Kassim Majaliwa amesema...
  5. Idofu

    PreGE2025 Je, 2025 Kassim Majaliwa atagombea Ubunge?

    Nauliza tu kwa wabobevu wa siasa je, 2025 Mh. Waziri Mkuu atagombea tena Ubunge? Na kama atagombea na Mh .Rais akamteua mtu mwingine kuwa Waziri Mkuu, hadhi yake itakuwaje Bungeni?
  6. Mmawia

    PreGE2025 Wana Ruangwa tunajua kushukuru, wanawake wagalagala mbele ya Majaliwa kama shukrani kwa utendaji wake!

    Hapa chini ni wananchi wa Ruangwa wakifurahia jambo lao. Mbele ya waziri mkuu na mbele ya makamu mwenyekiti wa ccm wananchi wanaonyesha furaha yao. Hakika wanachama wa ccm tunajua jinsi ya kutoa shukrani kwa watawala wetu. Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea...
  7. Erythrocyte

    PreGE2025 Asiyekubalika kwao anawezaje kushawishi Wananchi Wamchague Samia?

    Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kasimu Majaliwa ametangaza hadharani huko kwao Ruangwa kwamba kwenye Jimbo hilo Rais Samia atashinda Uchaguzi kwa 100%, hapa anazungumzia uchaguzi wa 2025, hata hivyo hakuna kikao chochote ambacho CCM ilikaa kuteua Mgombea Urais wala hakuna mahali popote ambapo Tume...
  8. P

    PreGE2025 Tunategemea mwandishi kama huyu atasimama kuibua maovu nchini kama ananunulika na minofu ya nyama tu?

    Wakuu heri ya mwaka mpya, Kweli tunategemea mwandishi kama huyu atasimama imara kuibua maovu nchini? Kweli mwandishi wa hivi atakuwa mstari wa mbele kuibua kero zinazowakumba wananchi kama nyama tu mefanya kuwa chawa kiasi hiki? Mwandishi unasifia kununuliwa viatu vya gharama? Sijui kununulia...
  9. Pascal Mayalla

    PreGE2025 Tuombe Mwaka 2024 Uwe ni Mwaka wa Mageuzi ya Kweli ya Kidemokrasia ya Kweli Tanzania. Tume Huru, Uchaguzi Huru na wa Haki! Happy New Year!

    Leo 31/12/2023 tunauaga mwaka 2023 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2024, hivyo naomba nianze makala yangu hii ya kwa kuwatakia heri ya mwaka mpya 2024 kwa rai moja tuu, "Mwaka 2024 ni Mwaka wa Mageuzi ya Kidemokrasia Tanzania" kwa kimombo "A Democratic Turning Point" Ni mwaka ambao, tunabadili...
  10. Analogia Malenga

    PreGE2025 Kwa staili hii tutegemee nini kuelekea uchaguzi?

    Huyu muandishi kapewa nyama ya mbuzi za kula siku mbili tatu anaanza kuongea maneno ya kusifia huyo mbunge wake Tabasamu. Je, tasnia ndio inakufa kwa kupata waandishi ambao hawatajua kazi zao za msingi na kujipendekeza kwa wagombea. Kama hali inakuwa hivi je waandishi watafanya kazi yao ya...
  11. Mto Songwe

    PreGE2025 Je, ni sahihi kuruhusu wajinga wengi kuchagua viongozi au wachache wenye akili kufanya hivyo?

    Ipi ni njia bora ya kupata waliobora ? Je, ni kuruhusu wajinga wengi wasiojua chochote kuhusu masuala ya siasa na maendeleo kuchagua viongozi? Au watu wachache/ kijikundi kidogo kijuacho kuhusu siasa na maendeleo kuchagulia watu uongozi makini wa nchi? Demokrasia ya wengi wape hata kama ni...
  12. R

    PreGE2025 Tulia Ackson afanye nini wananchi wa mbeya wamwonee huruma? Amefanya matamasha mengi ila Wanyakyusa wamemkazia

    Kama kuna Mbunge ameandaa matamasha na kurekodi matukio anayofanya ni Tulia Ackson. Ameandaa wasanii wakubwa , ameandaa mpira , ameandaa vikundi vyakusaidia nakadhalika . Ila hadi sasa bado wananchi wa Mbeya awataki kumwelewa mama wa watu. Amezunguka Mbeya mjini hali ngumu ameenda Rungwe nako...
  13. R

    PreGE2025 Mwaka 2024 watu watabambikiwa kesi nyingi kulinganisha na mwaka 2023 kutokana na presha za uchaguzi

    Zipo dalili kwamba wanasiasa wenye misuli watatumia sana mbinu chafu kupunguza kasi wapinzania wao. Zipo dalili zote kwamba watu wenye fedha hasa wafanyabiashara watasumbuliwa na kulazimika kutumia fedha zao nyingi kuwapa wanasiasa kwa mgongo wa kusaidia jamii. Zipo dalili kwamba haki katika...
  14. B

    PreGE2025 Mbunge Samizi amuunga mkono Rais Samia kwa kugawa majiko ya gesi 400. Wananchi wamchukulia fomu

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, Dkt. Florence George Samizi amesoma Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM kutoka mwaka 2020-2023 ambapo ametumia mkutano mkubwa uliofanyika katika ukumbi wa 10M Kibondo kueleza kwa wananchi wake mambo makubwa aliyoyafanya pamoja na Serikali ya Rais...
  15. GENTAMYCINE

    Mawaziri na Wakuu wa Mikoa mmeshajiandaa kwa 'Keka la Kimkakati' la kuelekea 2025 na Kunivusha salama Oktoba 2025?

    Haya ukisoma tu hii Thread yangu GENTAMYCINE kama Wewe ni mpenda Ushirikiano basi Karoge sana na kama ni muamini Mungu kama Mimi basi nakuombea ufanye mno Dua kwani muda wowote nimeoteshwa na Mizimu yangu Mikali ya Kizanaki ( Mara ) na Kiyao ( Mtwara ) kuwa kuna reshuffle kwa Mawaziri na Wakuu...
  16. Magufuli 05

    Makonda, wanakutumia kuelekea 2025. Wakizingua gombea mwenyewe

    Sina mashaka na upeo na uelewa wako katika hili. Naamini wewe unaijua vizuri CCM. Kwa ufupi Sana,Jamaa wamekuweka hapo kutafuta kura za wasukuma. Bahati nzuri kabisa hii ni fursa kwako ya kujitangaza na ilivyo ajabu Watanzania wamekupokea vizuri Sana. Unaushawishi na kuna maono mazuri...
  17. ankol

    Mambo ya siasa kwenye michezo yasipuuzwe

    Wasalaam wandugu, Kuna kitu naona kina puuzwa siku kadiri zinavyokwenda. Ila huenda ikaja kuwa hatari zaidi mbeleni endapo zitaendelea kupuuzwa. Ni kweli tuna mahaba na vyama vya siasa na wanasaiasa zetu, ila hakuna sehemu nyingine tunayoweza ku express mahaba yetu zaidi ya kwenye kumbi za...
  18. MAGAMBA MATATU

    Makonda kuwa Waziri kwenye Wizara Nyeti 2025 na Mgombea Urais 2030

    Kwanza nawasalimu kwa jina la Jamhuri, pili nawasalimu kwa jina la CCM, tatu karibu sana brother, nakutana mara tatu Makonda, Makonda, Makonda, nchi ili kosa mtu mwenye neno lenye maamuzi, na zaidi Mkoa wa Dar ulipoa sana. Narudia, karibu sana Lumumba head office bro. Kuna wakati inatakiwa uwe...
  19. D

    Kuelekea 2025: Kitu pekee kitakachokiangusha CCM ni Rushwa iliyokithiri

    Wadau, siku zinakwenda mbio. Hazigandi. Uchaguzi Mkuu unakatibia sana. Hapana shaka kwamba chama-tawala CCM kitaendelea kumsimamisha Rais Samia, lakini kitu pekee kitakachokiangusha CCM ni Rushwa iliyokithiri. Serikali ya Samia inanuka Rushwa toka mtaani hadi Ikulu.
  20. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Lupembe atoa pikipiki 12 za thamani ya Mil 30 kwa Makatibu Kata CCM

    Mbunge Lupembe atoa pikipiki 12 za thamani ya Mil 30 kwa Makatibu Kata CCM. MAKATIBU Kata kumi na mbili wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Nsimbo Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi wamefanikiwa kupatiwa pikipiki mpya kila mmoja ambazo zitawasaidia kufanya kazi za chama hicho kuelekea uchanguzi...
Back
Top Bottom