kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Seven77

    PreGE2025 Mgombea Urais wa CCM 2030 lazima awe kijana with zero corruption status. Je, ni nani kati ya hawa?

    Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana. Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye maarifa ya kutosha na umri usiozidi miaka 50. Kwasasa AgendA ya dunia ni kuchagua mtu anayechukia...
  2. Jaji Mfawidhi

    PreGE2025 Upendo Peneza ametemwa na CHADEMA lakini hataki kuachana nayo?

    Upendo Furaha Peneza (amezaliwa mnamo 1989) ni wamasiasa mtanzania na mwanachama wa CCM alipohamia kutoka CHADEMA tarehe 22 Januari 2024. Alichaguliwa kuwa mbunge wa viti maalum kwa miaka 2015-2020 Peneza alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa kundi la Wabunge Vijana katika bunge la akitokea...
  3. Abdul Nondo

    PreGE2025 Dhamira ipo wapi katika kuwa na Uchaguzi Huru na wa Haki 2025?

    Dhamira na malengo ya kufanya mchakato wa mabadiliko ya sheria za uchaguzi chini ya Serikali ya awamu ya sita ilikuwa ni kuboresha mazingira ya kiuchaguzi nchini kupitia mabadiliko ya Tume ya Uchaguzi ili kupata Tume huru ya uchaguzi ambayo viongozi wake wanapatikana kwa mchakato kupitia kamati...
  4. chiembe

    PreGE2025 Tundu Lissu, wanaposema wako nyuma yako kamanda, sasa ni muda wako wa kukusanya takwimu, 2025 usije sema umeibiwa kura

    Sasa ni muda wa Tundu Antipas Lissu kukusanya takwimu ili 2025 tusilaumiane. Maana wakiwa kwenye KeyBoard huwa wanatamba mko pamoja. Muda huu ndio kura za maoni za uchaguzi, tinajua kwenye ile kumi, tano alitoa Mbowe, tano Lema, hata Malisa hajakuombea mchango
  5. J

    PreGE2025 Tundu Lissu: Job Ndugai hakuchaguliwa na mtu yoyote!

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema amesema Jimbo la Kongwa halina Mbunge na yule Ndugai alipachikwa tu Ndugu zangu hapa Kongwa jimboni hakuna Mbunge hivyo nawaomba anzeni safari ya kuchagua viongozi wa Chadema kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka Huu Jambo TV
  6. M

    PreGE2025 Ugumu wa maisha Tanzania wawaathiri wapinzani tu wanaccm maisha yao ni mazuri

    Hakika sasa ndio nimejua kwanini Wajinga wengi wapo CCM. Hali ya Ugumu wa Maisha ya wananchi waathirika wakubwa ni Wanachama wa Chadema na ndio maana viongozi wao wanataka Mabadiliko makubwa ya KATIBA MPYA na TUME huru ya Uchaguzi yafanyike. Mabadiliko haya yatabadili mambo mengi ya Kiuchumi...
  7. J

    PreGE2025 Nondo amvaa Khamis Mobeto kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi. Kongole Azam

    Asubuhi hii, nimebahatika kuona mjadala wa wanasiasa kupitia UTV ambapo mwenyekiti wa ngome ya vijana ya ACT wazalendo, amemvaa vilivyo naibu katibu mwenezi wa CCM Zanzibar Khamis Mobeto. Katika mjadala huo, Mwenezi huyo wa CCM amenukuliwa akisema Tume huru ya uchaguzi itaanza baada ya...
  8. Tlaatlaah

    PreGE2025 Tetesi: CHADEMA kuingiza nchini magari mapya zaidi ya 25 kwa kazi maalumu kuelekea uchaguzi

    Magari hayo ni ya kimkakati na kazi maalumu. Yatasambazwa kwenye kila kanda, katika kanda zote za kichama nchi nzima. Magari haya yatakua chini ya usimamizi wa viongozi waandamizi wa kanda watakaochaguliwa hivi karibuni katika uchaguzi wa ndani ya chama unaondelea. Mnyetishaji alisisitiza...
  9. Erythrocyte

    PreGE2025 Kibaigwa: Wananchi Wazuia Msafara wa Tundu Lissu, walazimisha awahutubie

    Walipopata Taarifa kwamba Msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema utapita kwenye kijiji chao, Wananchi hao waliamua kumiminika Barabarani na kuzuia Msafara huo, kwa lengo la kupata neno la Matumaini kutoka kwake, Juhudi za Polisi kuondoa wananchi walioziba Barabara zimeshindikana Akihutubia...
  10. chiembe

    PreGE2025 Upendo Peneza awahamasisha wanachadema sasa waandamane kuelekea ofisi za chama chao kupinga rushwa

    Kumekucha! Maguzu masese. Upendo Peneza ana hoja, kwamba, kwa muda mrefu wanachadema wamekuwa wakiandamana kwa kuisingizia serikali kwamba kuna rushwa ndani yake. Upendo Peneza anasema, kwa kuwa ndani ya Chadema imethibitika pamevunda na kuoza kwa rushwa, basi maandamano ya wanachadema...
  11. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Naibu Waziri Daniel Sillo Akabidhi Magunia 10 ya Mahindi kwa Wahanga wa Mafuriko Manyara

    Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Daniel Baran Sillo ametoa magunia 10 ya Mahindi ya chakula kwa waathirika wa mafuriko waliopo katika Kijiji cha Manyara. Akizungumza mara baada ya kukabidhi chakula hicho Mei 19, 2024 katika Ziara Maalum ya...
  12. Tryagain

    PreGE2025 CHADEMA itaendelea kuwa chama kidogo kwa CCM milele

    CHADEMA NI UNDER DOG WA CCM MIAKA NENDA RUDI Hivi karibu tumeona na kushuhudia matendo ya ajabu sana ndani ya Chadema, chama ambacho kilijitanabaisha kama mbadala wa CCM, kwamba kimefikia hadhi ya kuwa chama dola, kwamba ni chama ambacho kinaweza kusimama na wananchi na kuendesha siasa zake...
  13. Tlaatlaah

    PreGE2025 Uchaguzi mkuu ujao upinzani Tanzania uunganishe nguvu au wagombee hivi hivi kiholela kama kawaida?

    Chama Cha Mapinduzi kipo imara zaidi kwa sasa kuliko nyakati nyingine zozote zilizopita... Kinaungwa mkono na makundi maalumu karibu yote, wanawake, vijana na wazee, lakini pia kinaaminika na kuungwa mkono na taasisi za kidini, taasisi za kiraia, mashirika ya kitaifa na kimataifa. Na kwahivyo...
  14. Mtu wa Majira na Nyakati

    PreGE2025 CHADEMA mpeni Tundu Lissu nafasi ya uenyekiti Taifa

    Mbowe ni Kiongozi mzuri Ila, kiongozi mzuri ni yule anayekubali kuondoka madarakani watu wakiwa bado wanampenda. Tunakushukuru sana Mbowe Mwamba. Ila ebu tumpatie na Lissu tuone atafanya nini. Asante Sana.
  15. Cute Wife

    PreGE2025 Kumbukizi: Viongozi Tabora CHADEMA walizichapa kisa uchaguzi

    Tukio hili lilitokea November 17, 2023, lakini limeibuliwa jana 4/5/2024 kama tukio jipya. Je, walioibua tukio hili na kusema ni ya karibuni walikuwa na nia gani? ===== Katibu wa baraza la vijana wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA BAVICHA Mkoa wa Tabora amezuiliwa kufanya mkutano...
  16. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 KITETO: Kata ya Engusero yapokea ambulance mpya, wananchi wamshukuru Rais Samia

    Wananchi wa Kata ya Engusero Jimbo la Kiteto wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia Gari jipya la wagonjwa ambalo litawaondolea adha ya Usafiri wa wagonjwa katika Kata hiyo na Tarafa nzima ya Matui. Pia, Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mhe...
  17. R

    PreGE2025 LGE2024 Watumishi wa umma wakiwemo walimu simamieni Haki katika Chaguzi zijazo 2024 na 2025

    Salaam, shalom!! Leo ni mei mosi, siku pekee na muhimu Kwa wafanyakazi Nchini. Watumishi wa umma wanasherehekea mei mosi katika mazingira magumu, mishahara isiyotosheleza, Kodi kubwa, kukosa motivation wakiwa kazini mf walimu ,kikokotoo Kwa wastaafu, mfumuko wa Bei, nk nk. Kwa kuwa Sheria za...
  18. J

    PreGE2025 Makalla: Uchaguzi Mkuu utakuwa Huru, Haki, Wazi. CHADEMA, ACT, CUF, TLP rukeni sarakasi zote ila kumbukeni hatuna mbadala wa Tanzania

    Katibu wa NEC Itikadi ,Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa. Mhe Amos Makalla, amesema chama Cha Mapinduzi CCM kitakuwa mstari wa mbele katika kutekeleza kwa vitendo haki, usawa na wajibu. Nia ya CCM Tanzania kuwa na uchaguzi ulio huru, wa haki na wenye kuaminika. Ndg Makalla alimwakilisha...
  19. Ojuolegbha

    PreGE2025 Mkutano wa Wadau wa Habari kuhusu Wajibu wa Vyombo vya Habari katika Kuhakikisha Kunakuwepo Uchaguzi Unaoaminika

    Mkutano wa Wadau wa Habari kuhusu Wajibu wa Vyombo vya Habari katika Kuhakikisha Kunakuwepo Uchaguzi Unaoaminika.
  20. Comrade Ally Maftah

    PreGE2025 Maandalizi ya kushinda uchaguzi

    MAANDALIZI YA KUSHINDA UCHAGUZI. Na Comrade Ally Maftah Uchaguzi ni mchakato unaohitaji maandalizi ya muda mrefu yenye umakini mkubwa, maandalizi hayo yanahusisha kujenga jumuia inayokupa nguvu kifikra na kiuchumi, vifuatavyo ni vitu muhimu vya kuzingatia katika kujenga ushawishi 1. Jenga...
Back
Top Bottom