kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Financial Analyst

    Usiombe kuangalia mechi kwa TV alafu kuna jirani yako yeye anasikilizia kwa redio pia kaweka sauti kubwa , inakera mnoo.

    Mjini redio zinafanya nini? si mrudi kijijini mkalime.
  2. Richard

    Ifahamu Wizara ya Usalama wa taifa ya China na majukumu yake kwa nchi hiyo kubwa Duniani

    https://www.youtube.com/watch?v=j1UH7Yn6gSg Hii ni makala ya pili inozungumzia nchi ambazo zina wizara kamili inoshughulikia Usalama wa taifa. Wiki ilopita nilizungumzia umuhimu wa raisi ajae kufikiria kuanzisha wizara ya Usalama wa taifa ambayo itashughulikia usalama wa nchi na mipaka yake na...
  3. baz kaiza

    Police nyie ni jamaa zetu na ndugu zetu pia. Punguzeni kutumia nguvu kubwa tunajua mpo kazini

    Ndiyo police nyie ni ndugu zetu na wengine ni marafiki zetu na jamaa zetu pia. Tunajua nyie mko kazani lakini punguzeni kutumia nguvu kubwa pasipo na ulazima. Tukio la leo mahakamani sio tukio la kiungwana watanzania bado ni watu ambao wanaelekezeka bila hata kutumia nguvu kubwa. Tutawatia...
  4. Yoda

    WaNigeria elfu ishirini wakusanyika kushuhudia ubwabwa wa jollof kuwahi kupikwa katika sufuria kubwa zaidi duniani!

    Huko Nigeria mpishi mmoja aitwaye Hilda ameweza kuwakusanya raia 20,000 Waafrika wenzake wa nchi hiyo wakati katika tukio lake la kupika wali wa jollof katika sufuria kubwa zaid lillovunja rekodi ya ukubwa duniani.
  5. The Burning Spear

    GE2025 Nguvu wanayotumia CCM kukusanya watu kwenye mikutano ni kubwa mno na inawatesa

    GT Asikwambie mtu. Hakuna mda CCM wanateseka kama kipindi hiki unajua kumshawishi mtu ahudhurie mkutano ambao hana shida nao ni kazi ngumu sana. Yaani kumpa.hela tu huyo mtu peke.yake haitoshi maana anaweza kula hela na akaingia chocho ha ha 😂 😄 Sasa inabidi uwakusanye watu kama mbuzi...
  6. Superbug

    Je ofisi nyingi za umma zile kubwa ziko bugged na vinasa sauti na kamera za Siri?

    Hapa naulizia swali tu Kwa hapa Ethiopia.
  7. Lord Denning

    GE2025 Ethiopia, Bwawa la Umeme kubwa zaidi kwa fedha za ndani na michango huku CCM wakichangisha Bil.86 kwa ajili ya Kampeni alafu tuunanuna Umeme Ethiopia

    Siku zote nasema. Bila kuwaondoa CCM madarakani, Tanzania tutakuwa tunacheza biashara ya pata potea kila siku. Nchini Ethiopia, Serikali yao wamekamilisha ujenzi wa Bwawa la Umeme kubwa zaidi Afrika kwa kutumia fedha za ndani na michango ya Wananchi wao hasa Diaspora. Hayo yakifanyika, hapa...
  8. Sales man

    Ukiongalia idadi ya Guests ambao wapo online , ni kubwa sana leo licha ya watu kutumia VPN

    Muda mwingine serikalini kuna watu wanashangaza hawaoni kuwa wameipa Promo JF ya bure Ebu tazamane maudhurio yalivyo Makubwa Leo muone wenyewe.
  9. GENTAMYCINE

    Nawaombeni mpigie mstari hiyo sentensi isemayo...''kama hakutakuwa na Maelekezo mengi''.... kisha ichambue kwa kutumi Akili Kubwa ili uielewe

    ''Yanga wameamua kuwapa Singida Black stars silaha Khalid Aucho na Clatous Chama ambazo hata wao wenyewe zinaweza kuwadhuru siku ambayo watakutana kama hakutakuwa na maelekezo mengi ,Singida wana timu bora sana kama watamuacha mwili apange kikosi chake mwenyewe kwa namna ambavyo anataka yeye...
  10. Imani rubaba

    Siri za Masoko: Jinsi ya Kufanya Bidhaa Zako Zinunuliwe kwa Faida Kubwa

    Changamoto kubwa ya kilimo na ufugaji si uzalishaji – ni soko. Wengi hufanya kazi kubwa shambani au bandani, lakini mwisho wa siku bei ni ndogo, wanunuzi hawapo, au madalali ndio hunufaika. 👉 Siri ni hii: Soko si mahali, ni maarifa. Ukiwa na taarifa sahihi za bei na mahitaji, hupotezi...
  11. Nyankurungu2020

    Sabaya onyesha kuwa na njaa na dhiki za kisiasa. Atamka hadharani kuwq hata akipelekwa gerezani kwa uonevu CCM ni dude kubwa

    Huu ni upumbavu na ujinga. Unapelekwa gerezani kwa kesi ya unyag'anyi wa kutumia silaha ya kubumba. Alafu unasota gerezani mpaka unakuwa hoi Unatoka gerezani na mahakama inathibitisha kuwa haukufanya kosa la kunyag'anya mali kwa kutumia silaha. Kwa upuuzi na dhiki za kisiasa unatamka...
  12. Setfree

    Wajue watu hawa wenye IQ kubwa walioamua kuwa Wakristo

    Katika ulimwengu wa leo, kuna watu wanaofikiri kwamba wanaomwamini Yesu Kristo na kuwa walokole ni “watu wenye ufahamu mdogo” au "wenye changamoto ya afya ya akili." Lakini historia na ukweli wa sasa unashuhudia vinginevyo. Kuna watu wanaotambulika kuwa wana kiwango cha juu cha akili (high IQ)...
  13. K

    Kosa kubwa la Polepole ni kuongelea CCM kuliko taifa

    Kosa kubwa la Polepole ni kuongelea CCM kuliko taifa. Kama kwa nyakati hizi unaongelea kumwaga oil ya CCM na kupuuza utekaji, haki na demokrasia kwa ujumla wake utakosa watu wa kukusikiliza. CCM pamoja na kujigamba hawafiki hata 50% ya Watanzania. Chadema wanasikika kwasababu wanaongelea mambo...
  14. Heritage123

    Jinsi nilivyogundua machimbo yaliyofichwa Kariakoo na kuanza biashara yangu bila kuwa na stoki, duka wala gharama

    “Kariakoo sio soko. Ni vita ya akili. Wachache wanaotoka na faida ni wale wanaojua wapi pa kuchimba.” — Sehemu ya maneno niliyosikia kwa fundi mmoja nikiwa nimepotea Kariakoo mwaka 2019. KILICHONIKUTA SIKU YA KWANZA KARIAKOO Mwaka 2019 nilikuwa na wazo tu la biashara — kuuza viatu mtandaoni...
  15. Victor Mlaki

    Ujenzi na ubomoaji wa hoja: Janga kubwa kwa viongozi wetu

    Naanza kumaizi kuwa upo umuhimu wa jamii yetu kujifunza maarifa ya ujenzi wa hoja ili kupunguza mitindinganyo ya hoja inayoendelea jambo linalowapa nafasi wachache wanaojua kujenga na kubomoa hoja hata kama wakisimamia hoja dhaifu. Nimefuatilia majibizano mengi ya hoja na nilichoweza kubaini ni...
  16. Common Folk

    Mama Mkwe ni Rais wa Nchi, yeye kama Mume ni Waziri wa Wizara kubwa kuliko zote, Mke wake naye anaenda kupata Ubunge.

    Kwani tukisema nchi inakaribia kuwa ya ki Falme au ki Monarchy tutakosea? ======================================== Katika familia zenye hadhi kubwa ya kisiasa na utawala hapa nchini, huwezi a kuacha kuitaja familia ya Mohamed Mchengerwa. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Tawala za Mikoa...
  17. Yoda

    Marekani na Uingereza walifanya kosa kubwa la kimkakati kuungana na USSR dhidi ya Hitler na Ujeruman yake

    Katika vitu Wamarekani wataendelea kuvijutia ni kuungana na USSR chini ya Stalin kumpiga vita Hitler, lile huenda lilkuwa kosa kubwa la kimkakati la muda mrefu. Hata kama Hitler alikuwa anawaua Wayahudi, wangemuacha kwanza au wamsaidie auangushe utawala wa USSR kisha baadaye ndipo washughulike...
  18. R

    GE2025 Mh. Nchimbi: Tuchagueni tutaleta Katiba Mpya! Tuna tatizo kubwa- Mzaha kwa watanganyika!

    Mbona nilikuwa naona kama anaweza kuwa mwenzetu! Hawa watu hawako serious na watanganyika, .....ona mzaha anaowafanyia majuha wa Tanganyika! Eti tuchagueni tutaleta katiba!
  19. Waufukweni

    Ajali ya Behewa la Machuma imesababisha Foleni kubwa hapa Kituo cha SGR

    Wakuu! Kuna behewa lililokuwa limebeba machuma limeanguka hapa Kituo cha SGR, Dar es Salaam na kusababisha foleni kubwa ya magari eneo hilo.
  20. Atl Printing

    Offer kubwa ya printing tshits na kofia

    Habari Wadau, Atl printing ndani ya mwezi huu wa Tisa tuna offer ya printing Tshirt (Sports,Polo na First & Time) logo kwa 15,000 TU, na kofia kwa 10,000. Pia kwa nahitaji ya printing kwa Promotion Material zote pamoja na Large format utajipatia kwa bei nzuri. Tunapatika Congo & Rufiji, Dar...
Back
Top Bottom