Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 16,688
- 25,467
"Mama Manyema" anayefanya biashara ya Chakula kariakoo, ana siri kubwa!
1. Hana fremu wala kizimba!
2. Hajapima afya kama miongozo ya afya wala hakaguliwi.
3. Haijulikani anapopikia kwakuwa huleta chakula kwa kirikuu na toroli/guta toka Temeke Sudani!
4. Mama hatoi risiti wala hana leseni ya manispaa wala BRELA.
5. Mama hana TIN wala halipi kodi.
6. OSHA, TBS, bibi afya wanampita kama mgonjwa wa EBOLA.
7. Mama hana Risiti
#Ujanja ni kutochukua Fremu/Hakuna wa Kukidai.