Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda amewataka wakuu wa mikoa Nchini kote Siku ya Jumanne, Juni 2, 2026 Kila Mkoa waweke Luninga kubwa ili watu watazame fainali ya michuano ya AFCON kati ya Timu ya Taifa ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 Serengeti Boys na Senegal
Soma pia